Mjini Mipango: Unaweza kuanza hii biashara hata kwa mtaji usiozidi bei ya iPhone moja latest

Hadi mtu awe na hiyo iPhone aje afanye biashara ya kukodisha mbao😂😂 bongo bhana....
Sometimes unaweza kujiona Una akili sana kumbe bure kabisa. Hivi hujakutana mtu ana iPhone ya 2m halafu analia Hana mtaji?
Btw hio iPhone nimeweka kuchangamsha uzi tu na nilijua wapo wenye akili kama nyinyi mtaacha kila kitu mta stick kwenye iPhone tu.
 
Uliza na mtu mwingine usikie mawazo yake kuhusu alichosema fundi. Sometime wanakuwa correct.
 
Uliza na mtu mwingine usikie mawazo yake kuhusu alichosema fundi. Sometime wanakuwa correct.
Zilikuwa zimetumika zaidi ya mara moja na zimepigwa mvua sana masika nzima iliyopita ndio sababu nilikubaliana nae haraka
 
Watu wanaweza kuona mtu yupo tu kumbe ana mazaga yake anayakodi kimya kimya.

Sasa hii ya mbao ni low capital kuna yale ma scaffolding ndio balaa.
Ukiwa open minded unaona fursa nyingi sana.

Na fursa nyingine unaziona kutokana na shughuli unazozifanya, eneo unaloishi na vile unavyotoka kukutana na watu.

Niliambiwa kuna watu wanakodisha viatu hadi nguo kwa siku.
 
Nimekuwa kwenye sekta ya ujenzi kwa muda mrefu sana kwasababu mzee wangu yupo huko.

Nakwambia hakuna watu wabaya kama mafundi.

Fundi lazima atakuibia utake usitake na ukimbana sana anakuachia kazi yako anaondoka.

Wewe ni boss, kazi ya fundi ni kutekeleza. Ukimpa nafasi akupe ushauri kuhusu mambo ya fedha utamuachia hela nyingi sana.

Wewe sikiliza utaalamu wake, kama una make sense tekeleza tena kwa njia yako na sio njia yake.
 
Kwamba ukimbana anakuachia anaondoka[emoji23][emoji23][emoji23]mafundi wa ajabu sana

Yaani kama huyu ilibidi nimuache tu nisijekuonekana msumbufu
Nilipanga fundi mmoja tu ajenge yote lakini mpaka ngazi ya lenta tayari wameshapita watatu[emoji28][emoji28]
Wa kwanza akajenga msingi, kwa jinsi tu alivyoniharibia akakimbia mwenyewe
Wa pili nikampa kisima achimbe, miezi miwili kisima hakijaisha mpaka mvua zikaanza halafu anasema atachimba nikasema huyu simuachi, akaenda kurudisha hela yangu polisi.
Wa tatu, akanyanyua mpaka lenta nae ameshapiga piga sana anavyojua yeye..nikaona isiwe shida nikawa mpole
 
Aise ahsante kwa ufafanuzi.
 
Nilikuwa nampa tu hongera jamaa yangu RRONDO kwani hatua aliyofikia ni kubwa, kutoka msingi hadi lenter, kuhusu makaro hapo mbao lazima zikatwe labda vipande viwe vingi,
kuna uzi km huu tulishaujadili ngoja niutafute ku support
 
Pole sana
 

Hii biashara ipo haswa Mwanza [emoji23][emoji23][emoji23]

Binafsi nami nilipata hiyo huduma ,good idea mtu hatumiia nguvu nyingi kupata hela
 
Ukiwa open minded unaona fursa nyingi sana.

Na fursa nyingine unaziona kutokana na shughuli unazozifanya, eneo unaloishi na vile unavyotoka kukutana na watu.

Niliambiwa kuna watu wanakodisha viatu hadi nguo kwa siku.
Magauni na suti za harusi zinakodishwa sana,same logic kwanini ununue suti 1 or 2m wakati unaivaa siku moja tu?!
 
Anapiga hesabu hivi;

Mfano.

Ufundi 500K.

Hela atakayokupiga kwenye vifaa 500K.

Vifaa vitakavyobaki akauze 100K.

Kwa project ndogo.

Ukimbana hapo kwenye vifaa tu, kama alikuwa na nia ya kukuibia atakukimbia au ataanza kukukwepa kwamba kuna ishu anamalizia. Na humuoni tena.

Ila kama ile anapiga simu unatuma hela, lazima awe kila siku site.
 
Magauni na suti za harusi zinakodishwa sana,same logic kwanini ununue suti 1 or 2m wakati unaivaa siku moja tu?!
Mwingine anaenda kwenye tukio kubwa hana suti ma viatu, anakuachia 200k unampa suti na viatu anakuridishia kesho yake.

Duniani hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…