RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
- Thread starter
- #101
Sometimes unaweza kujiona Una akili sana kumbe bure kabisa. Hivi hujakutana mtu ana iPhone ya 2m halafu analia Hana mtaji?Hadi mtu awe na hiyo iPhone aje afanye biashara ya kukodisha mbao😂😂 bongo bhana....
Btw hio iPhone nimeweka kuchangamsha uzi tu na nilijua wapo wenye akili kama nyinyi mtaacha kila kitu mta stick kwenye iPhone tu.