Kila mtu na anavyoona nadhani...! Hakuna paswd wala nn mkuu...!Daah Watanzania ni moja ya watu wanaopiga kazi mno kwenye Dunia hii ukiizunguka Mkuu sijui huo uvivu mnauzungumzia wa wapi...hata hapa Tanzania naona watu wanapiga kazi sema fursa nyingi za pesa zina password kubwa...
Mafundi kibokoAnapiga hesabu hivi;
Mfano.
Ufundi 500K.
Hela atakayokupiga kwenye vifaa 500K.
Vifaa vitakavyobaki akauze 100K.
Kwa project ndogo.
Ukimbana hapo kwenye vifaa tu, kama alikuwa na nia ya kukuibia atakukimbia au ataanza kukukwepa kwamba kuna ishu anamalizia. Na humuoni tena.
Ila kama ile anapiga simu unatuma hela, lazima awe kila siku site.
Makokoto, nondo, sementi kibao[emoji35][emoji35]ndio maana mimi najengaga nikichoka natulia[emoji23]shughuli ya lenta inakula pesa sana halafu kazi yenyewe haionekani
Marine board ni kweli kitu kinatokea high standard sana.Sasa fund mwingne anakwambia ununue marine board zile halaf ukate..
Hapo wangekununulisha mbao za 1x10. Had ujute...unaweza shangaa umeokoa zaid ya milion.
Ingawa fund aliwai nambia wanapenda tumia marine sabab ni pana so zege halishuruziki nje na kuweka mafundo fundo..inakuaga mbaya kwenye kupiga plasta badae..
Il ni move ya kijanja sana kukodi...ndomana nasemaga..ukiwa na akil na stratergy unaweza jenga nyumba mtu akadhan ni ya mil70 kumbe ni mil50
Wangari Maathai 😂😂Bwana mdogo naona unahangaika kweli. Pamoja na kubadili ID umebaki mtu Yule Yule. Kwenye maisha you can see a glass half full or half empty.
Kukupeni somo kuwa nyumba sio uwekezaji mzuri haina maana sijengi,dogo nishapita huko pambana Acha roho ya korosho.
Mkuu ukiwasikiliza Hawa wasomi uchwara wa JF utaishi nyumba za kupanga maisha yako yote,au hutofanya biashara inayohusu sekta ya majengoOya mzee wa furushi za mchanga hawa jamaa walikukataa majuzi eti kuzika pesa kumbe walikuwa wana note nondo zako kajenga bana mpaka Renta 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wewe umeamua tu kufanya ligi na mwanzisha uzi, kimsingi alichoeleza kiko wazi na amejibu accordingly. Few sips of water can doMstari wa mwisho
Vijana amkeni fursa zipo zinasubiri udhubutu.
Una safari ndefu sana chief
Siyo uvivu wa kazi tu ni mpaka wa kufikiri, majority hawashughulishi akili.Mkuu unachosema ni sahihi mno! WATANZANIA NI WAVIVU
Uko sahihi hasa ukiwa maeneo yenye ujenzi kama Goba,madale, chanika, kigamboni ila sio SinzaLeo nimeenda kukodisha mbao. Yule jamaa nimemuachia 30,000/- kwa mbao 20! Jamaa ana mbao nyingi tu Kwa ajili ya kukodisha. Nimefikiria unaweza kuanza hii biashara hata Kwa mtaji usiozidi bei ya iPhone moja latest. Imagine huyu mtu akipata wateja wawili tu kama mimi anatengeneza 60,000/- haina kodi wala nini maanake mbao ziko uwani kwake. Vijana amkeni fursa zipo zinasubiri uthubutu.
Isanga family unaona huyu alichojibu? Na yuko sahihi mno kwa 100% nashangaa unasema watanzania ni wachapa kazi...hakuna kitu kama hicho!Siyo uvivu wa kazi tu ni mpaka wa kufikiri, majority hawashughulishi akili.
Kweli kabisa. Bongo mafundi wameshajenga utamaduni kuwa ni lazima waibe. Waipoiba wanajiona kama hawajalipwa fedha zao.Nimekuwa kwenye sekta ya ujenzi kwa muda mrefu sana kwasababu mzee wangu yupo huko.
Nakwambia hakuna watu wabaya kama mafundi.
Fundi lazima atakuibia utake usitake na ukimbana sana anakuachia kazi yako anaondoka.
Wewe ni boss, kazi ya fundi ni kutekeleza. Ukimpa nafasi akupe ushauri kuhusu mambo ya fedha utamuachia hela nyingi sana.
Wewe sikiliza utaalamu wake, kama una make sense tekeleza tena kwa njia yako na sio njia yake.
Ukitaka kujua sisi watanzania ni wavivu basi nenda nchi nyingine. Kazi zinazofanywa na watu wa huko ukimpa mtanzania lazima alalamike. Watanzania tuna sifa tatu kazini: uvivu, ulalamishi na upigaji. Haya mambo yameshakuwa sehemu ya utamaduni wetu.Isanga family unaona huyu alichojibu? Na yuko sahihi mno kwa 100% nashangaa unasema watanzania ni wachapa kazi...hakuna kitu kama hicho!