Mjini Mipango: Unaweza kuanza hii biashara hata kwa mtaji usiozidi bei ya iPhone moja latest

Ukweli mchungu.
 
Fursa zipo nyingi, inategemea unaishi mazingira gani.

Mfano;
1. Nunua mashine za kuchanyanya zege, 80,000 per day.
2. Mashine ya kushindilia, 60,000 per day.
3. Turubai/turubali, 50,000 per day.
4. Compressor, 30,000 per day.
5. Drilling machine, 10,000 per day
6. Welding machine, 10,000 per day
7. Grinding machine, 10,000 per day.

Mafundi hawana hela ya kununua mashine lakini kutoa per day wanayo[emoji39]
 
Nani kasema zinarudi bila matundu? Masharti ni kuwa usiikate mbao yake sasa bila kupiga misumari utajengaje?
Watu wagumu kuelewa, usikate mbao ndio makubaliano. Huwa lazima ununue kidogo kwa ajili ya kukata coz kuna spaces zitajitaji mbao fupi.
 
Mjini shule
 
Halafu anaweza kuwa anatumia mara moja moja sana
 


Hivi shida ni nini hasa best? Au umaskini?...dah
 
Mmataifa uliadimika sana why?
 
Nani kasema zinarudi bila matundu? Masharti ni kuwa usiikate mbao yake sasa bila kupiga misumari utajengaje?
Sasa unaandika huku unakimbia utadhani umemuona sabaya anakupelekea moto

Thread haina nyama maswali kama haya lazima yajitokeze
 
Hiyo #4 safi sana kuna watu mpaka leo inawapa hela ya kula na kuishi+ za bia

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…