Tumia akili yako vzr kuliko kumuaibisha MUNGU aliye kuumbaHawa ndio watu tunao wahitaji,masikini wanaharibu miji yetu,dsm ilitakiwa ijengwe majengo mazuri ya kisasa apartments za magorofa kisha watu waje wapange,sio kuruhusu ujenzi holela.
Ipo mkuu tena vijana wake wako wengi mtaani wanaeneza habari za kanisa hilo wengi ni wazungu na mataifa mengine ya kiafrica wanavaa mashirt meupe na suruali nyeusi wapo Morroco
Hilo jina lipo kwa Wasambaa na Wapare mostly. Sidhani kama uziguani kuna Mhina.Mhina ni majina ya Wazigua wa Tanga
Ukisikia Dar ardhi ina thamani basi unafikiri huo uthamani unalingana maeneo yote!
Yeah, sasa hao Wambugu ni sehemu ya wapare tu, hata kimbugu na kipare ni same same karibia kila kitu.Kuna kabila dogo Lushoto wanaitwa Wambugu ndiyo wanatumia hayo majina wanafanana kimuonekano na Wairaqw wa Manyara
wata afford hizo bei za kupanga?kisha watu waje wapange
Mji huanzishwa na wanyonge,kamegeni selous mjenge apartments,hao wa mnyamani waliojenga holela ndiyo waanzilishi wa mji,bila wao pasingekuwa na dar es salaam
Pumbavu masikini tunaharibu nchi Bana vijumba kama viboksi vya panyaTumia akili yako vzr kuliko kumuaibisha MUNGU aliye kuumba
Serikali ya Nyerere ilipoweka sheria ya kupanga yenyewe matumizi ya ardhi ilikua na akili kubwa, nje na hivyo nchi itakaa viganjani vya wenye pesa na masikini watakosa pa kukaa hasa watoto wa masikini,maana watakua na kukuta ardhi yote inamikikiwa na matajiri,Serikali kidogo na Kanisa Katoriki kidogo.
Watoto wa masikini wataishi wapi?
Tanzania hii kuna mormons wewe ? Au umejichanganya na autosuggestion feature ya kwenye keypad yako ya simu unachagua Mormons badala ya Moravians ?
Mormons ni fundamental Christians pale Marekani na Wengine wachache America kusini ambao mfumo wao wa kuabudu ,mafundisho na kimaisha wako tofauti sana na madhehebu mengi ,wana mambo yao mengi ya ajabu to say the least Ila sijawahi kulisikia hili dhehebu Africa hii
Alitaka kununua ili kuongeza wigo wa eneo lake la bandari kavu, sio kujenga apartments za maghorofa na majengo mazuri kama usemavyo wewe.
Tumia akili yako vzr kuliko kumuaibisha MUNGU aliye kuumba
Serikali ya Nyerere ilipoweka sheria ya kupanga yenyewe matumizi ya ardhi ilikua na akili kubwa, nje na hivyo nchi itakaa viganjani vya wenye pesa na masikini watakosa pa kukaa hasa watoto wa masikini,maana watakua na kukuta ardhi yote inamikikiwa na matajiri,Serikali kidogo na Kanisa Katoriki kidogo.
Watoto wa masikini wataishi wapi?
TupoWapo wamejaa tele,pole kwa kutokuwa na informations
Na jambo hili serikali imeendelea kuliach a kwa muda mrefu sasa. Mpaka sasa 2023 bado ujenzi holela unaendelea, kulikoni?Hawa ndio watu tunao wahitaji,masikini wanaharibu miji yetu,dsm ilitakiwa ijengwe majengo mazuri ya kisasa apartments za magorofa kisha watu waje wapange,sio kuruhusu ujenzi holela.
Mhina mpate, mhina msambaa, Kiondo mpare, Kiondo msambaaMhina ni majina ya Wazigua wa Tanga
huyo lengo lake lilikuwa kujenga bandari kavu si makazi ya watuHawa ndio watu tunao wahitaji,masikini wanaharibu miji yetu,dsm ilitakiwa ijengwe majengo mazuri ya kisasa apartments za magorofa kisha watu waje wapange,sio kuruhusu ujenzi holela.
Wataendelea kuwepo,hakuna mji mkubwa usio na masikiniWshukuru kwa mchango wao ambao ulifaa kipindi hicho ila sio sasa,masikini ni wachafu na hawana hadhi ya kuishi na kujenga miji mikubwa.
Lazima mnunuliwe,mpewe pesa mkajenge mijengo ya kisasa na sio hizo mbavu za mbwa.Tuacheeeee....na vingunguti yetu kaka tuacheeeee na manzese yetu na kigogo na buguruni
Hahahahahahahahah
Wamekariri maisha Dar,mji usio na maadili kimalezi ya watoto.Ha ha ha nacheka kama mazuri ,vile bora nikae kwetu mkoani nilime hata viazi ndiyo maana wengine hataki kurudi hata makwao mikoani.
Da, yaani wewe jamaa umeipa Dar jina jipya- makao makuu ya shetani. Yaani itabidi nihame tuWamekariri maisha Dar,mji usio na maadili kimalezi ya watoto.
Watu hawana Upendo.
Angalau mikoani kuna utanzania na sio Dar, hapa ni makao makuu ya shetani uchafu wote hapa
Yanayofanyika Dar hayapo mikoani,kama unampenda mwanao Dar sio salamaDa, yaani wewe jamaa umeipa Dar jina jipya- makao makuu ya shetani. Yaani itabidi nihame tu