G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,625
- 8,639
Tumia akili yako vzr kuliko kumuaibisha MUNGU aliye kuumbaHawa ndio watu tunao wahitaji,masikini wanaharibu miji yetu,dsm ilitakiwa ijengwe majengo mazuri ya kisasa apartments za magorofa kisha watu waje wapange,sio kuruhusu ujenzi holela.
Serikali ya Nyerere ilipoweka sheria ya kupanga yenyewe matumizi ya ardhi ilikua na akili kubwa, nje na hivyo nchi itakaa viganjani vya wenye pesa na masikini watakosa pa kukaa hasa watoto wa masikini,maana watakua na kukuta ardhi yote inamikikiwa na matajiri,Serikali kidogo na Kanisa Katoriki kidogo.
Watoto wa masikini wataishi wapi?