Mjue Judith Mhina, mwanamama aliyetaka kuinunua Vingunguti na Buguruni Mnyamani kabla hajazuiwa na Hayati Magufuli

Hawa ndio watu tunao wahitaji,masikini wanaharibu miji yetu,dsm ilitakiwa ijengwe majengo mazuri ya kisasa apartments za magorofa kisha watu waje wapange,sio kuruhusu ujenzi holela.
Tumia akili yako vzr kuliko kumuaibisha MUNGU aliye kuumba

Serikali ya Nyerere ilipoweka sheria ya kupanga yenyewe matumizi ya ardhi ilikua na akili kubwa, nje na hivyo nchi itakaa viganjani vya wenye pesa na masikini watakosa pa kukaa hasa watoto wa masikini,maana watakua na kukuta ardhi yote inamikikiwa na matajiri,Serikali kidogo na Kanisa Katoriki kidogo.

Watoto wa masikini wataishi wapi?
 
Kuna kabila dogo Lushoto wanaitwa Wambugu ndiyo wanatumia hayo majina wanafanana kimuonekano na Wairaqw wa Manyara
Yeah, sasa hao Wambugu ni sehemu ya wapare tu, hata kimbugu na kipare ni same same karibia kila kitu.
 
Mji huanzishwa na wanyonge,kamegeni selous mjenge apartments,hao wa mnyamani waliojenga holela ndiyo waanzilishi wa mji,bila wao pasingekuwa na dar es salaam

Tunawashukuru kwa mchango wao ambao ulifaa kipindi hicho ila sio sasa,masikini ni wachafu na hawana hadhi ya kuishi na kujenga miji mikubwa.
 
Tumia akili yako vzr kuliko kumuaibisha MUNGU aliye kuumba

Serikali ya Nyerere ilipoweka sheria ya kupanga yenyewe matumizi ya ardhi ilikua na akili kubwa, nje na hivyo nchi itakaa viganjani vya wenye pesa na masikini watakosa pa kukaa hasa watoto wa masikini,maana watakua na kukuta ardhi yote inamikikiwa na matajiri,Serikali kidogo na Kanisa Katoriki kidogo.

Watoto wa masikini wataishi wapi?
Pumbavu masikini tunaharibu nchi Bana vijumba kama viboksi vya panya
 
Tanzania hii kuna mormons wewe ? Au umejichanganya na autosuggestion feature ya kwenye keypad yako ya simu unachagua Mormons badala ya Moravians ?
Mormons ni fundamental Christians pale Marekani na Wengine wachache America kusini ambao mfumo wao wa kuabudu ,mafundisho na kimaisha wako tofauti sana na madhehebu mengi ,wana mambo yao mengi ya ajabu to say the least Ila sijawahi kulisikia hili dhehebu Africa hii

Wapo wamejaa tele,pole kwa kutokuwa na informations
 
Tumia akili yako vzr kuliko kumuaibisha MUNGU aliye kuumba

Serikali ya Nyerere ilipoweka sheria ya kupanga yenyewe matumizi ya ardhi ilikua na akili kubwa, nje na hivyo nchi itakaa viganjani vya wenye pesa na masikini watakosa pa kukaa hasa watoto wa masikini,maana watakua na kukuta ardhi yote inamikikiwa na matajiri,Serikali kidogo na Kanisa Katoriki kidogo.

Watoto wa masikini wataishi wapi?

Kwahiyo umasikini unautetea sasa,all in all masikini ndio jamii ya hovyo isiyojitambua,mji kama dsm unaharibiwa na masikini waliojaa tele.
 
Hawa ndio watu tunao wahitaji,masikini wanaharibu miji yetu,dsm ilitakiwa ijengwe majengo mazuri ya kisasa apartments za magorofa kisha watu waje wapange,sio kuruhusu ujenzi holela.
Na jambo hili serikali imeendelea kuliach a kwa muda mrefu sasa. Mpaka sasa 2023 bado ujenzi holela unaendelea, kulikoni?
 
Hawa ndio watu tunao wahitaji,masikini wanaharibu miji yetu,dsm ilitakiwa ijengwe majengo mazuri ya kisasa apartments za magorofa kisha watu waje wapange,sio kuruhusu ujenzi holela.
huyo lengo lake lilikuwa kujenga bandari kavu si makazi ya watu
 
Ha ha ha nacheka kama mazuri ,vile bora nikae kwetu mkoani nilime hata viazi ndiyo maana wengine hataki kurudi hata makwao mikoani.
Wamekariri maisha Dar,mji usio na maadili kimalezi ya watoto.
Watu hawana Upendo.
Angalau mikoani kuna utanzania na sio Dar, hapa ni makao makuu ya shetani uchafu wote hapa
 
Back
Top Bottom