Mkasa wa Afande Mwasifiga alivyopoteza kazi baada ya kubishana na hayati Rais Magufuli

Nje na mada jpm aliwahi kukufirimba maybe?
 
Magufuli kajitapa kuvua watu manyota lakini na yeye kavuliwa uhai hakuweza kuzuia kuvuliwa uhai.

Cheo ni dhamana, usinyanyase watu kwa cheo...
Mimi binafsi nimekuelewa sana mkuu tofauti ni kwamba wengi wamelichukulia kwa mtizamo tofauti na ulichomaanisha, tuwape muda huwenda nao wakalifikiria kwa undani zaidi na kuelewa vizuri.
 
Huo ukubwa umeupima na rula
Another fool, wanyakyusa ni moja ya makabila makubwa hapa Tanzania. Mtu mmoja hawezi kuwakilisha tabia za kabila lote.
Huo ukubwa umeupima na rula ipi mpaka useme hivyo? au ndio tabia yenu hiyo ya kujisifia sifia tu wakati hamna lolote.😏😏
 
Kwani mtu akifa anaenda wapi? Mbona kifo ni sawa na kuzaliwa tu!
 
Hujamtaja bado.

Pia, usipende kuweka mategemeo yako kwa watu wengine, waachie uhuru wao wa kujieleza.
aisee inashangaza sanaπŸ˜‚ nahisi kabisa unajihami kabla sijamtaja huyo muhusika....

sasa hauoni kama wewe ndo unaninyima mimi uhuru wa kumtaja huyo mtu.
 
Afande vipi, atakishinda kifo?
 
Si basi kuna muda watu wanajitoa akili makusudi utadhani atambue uhalisia wa waafrika ndiyo vile unasoma tu hoja ya mtu ili yasiwe mengi unakaa kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…