Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
"Alitaka kuniinua" maana yake nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo vizuri mrembo kwa kiswaenglishKafeli sio kidogo.
Mkuu wa muhimili unaojitegemea unaondolewaje kifala namna ile?
Angekomaa kusimamia upande wake tuone showdown in Dodoma.
Nje na mada jpm aliwahi kukufirimba maybe?Kwani wapi nimesema asingemuondoa nyota angebaki hai?
Unajua kusoma kwa ufahamu?
Hujaelewa hoja kubwa kwamba cheo ni dhamana, rais hakutakiwa kusema mimi naweza kukuondoa nyota. Ile ilikuwa lugha ya "Unanijua mimi nani? " kwa maneno mengine tu. Rais alitakiwa kutumia nguvu ya hoja, si kutumia hoja ya nguvu.
Kwa kufanya vile rais amedogosha nyota za jeshi na kuzifanya kama zinatolewa kwa hisani ya rais tu, si kwa merit ya mtu.
Kwa kusema hivyo, rais ameonesha kiburi kwamba yeye ndiye mwenye mamlaka yote. Guess what, hakuwa na mamlaka ya kukishinda kifo.
Kafa na kamuacha afande anadunda.
Mimi binafsi nimekuelewa sana mkuu tofauti ni kwamba wengi wamelichukulia kwa mtizamo tofauti na ulichomaanisha, tuwape muda huwenda nao wakalifikiria kwa undani zaidi na kuelewa vizuri.Magufuli kajitapa kuvua watu manyota lakini na yeye kavuliwa uhai hakuweza kuzuia kuvuliwa uhai.
Cheo ni dhamana, usinyanyase watu kwa cheo...
Siongelei suala la uwezo.Kwahiyo uwezo huo hakuwa nao?
Huo ukubwa umeupima na rula ipi mpaka useme hivyo? au ndio tabia yenu hiyo ya kujisifia sifia tu wakati hamna lolote.😏😏Another fool, wanyakyusa ni moja ya makabila makubwa hapa Tanzania. Mtu mmoja hawezi kuwakilisha tabia za kabila lote.
Kwani mtu akifa anaenda wapi? Mbona kifo ni sawa na kuzaliwa tu!Logical non sequitur fallacy.
Hataishi milele ila Magufuli katangulia kufa kamuacha afande analifaidi jua bado.
Magufuli na mabobish yake yote ya "Naweza kukuvua manyota" hayakumsaidia kukishinda kifo.
Cheo ni dhamana, usikitumie kujimwambafy na kutishia watu.
Duniani wote tunapita tu.
Wewe nyumbu unashida kwenye ubongo wako!Siongelei suala la uwezo.
Rais alikuwa na uwezo wa kufungua zipu yake na kukojoa pale mbele ya kila mtu.
Lakini je, angefanya hivyo ingekuwa busara?
aisee inashangaza sana😂 nahisi kabisa unajihami kabla sijamtaja huyo muhusika....Hujamtaja bado.
Pia, usipende kuweka mategemeo yako kwa watu wengine, waachie uhuru wao wa kujieleza.
Afande vipi, atakishinda kifo?Logical non sequitur fallacy.
Hataishi milele ila Magufuli katangulia kufa kamuacha afande analifaidi jua bado.
Magufuli na mabobish yake yote ya "Naweza kukuvua manyota" hayakumsaidia kukishinda kifo.
Cheo ni dhamana, usikitumie kujimwambafy na kutishia watu.
Duniani wote tunapita tu.
Unamuachache Mdude sumu ya Nyigu kwenye hiyo orodha?Wahaya hawawafikii Wanyakyusa. Angalia.
1. Ulimboka
2. Sativa
3. Rais wa CHAMA CHA WANASHERIA
4. Kijana aliyechoma picha ya Rais
5. Askofu wa Moravian
6. Mponjoli.
Hili kabila ni hatari halifai. Wajeuri na wanajiamini sana.
Kifo ni sawa na kuzaliwa kivipi?Kwani mtu akifa anaenda wapi? Mbona kifo ni sawa na kuzaliwa tu!
This is called ad hominem logical fallacy.Wewe nyumbu unashida kwenye ubongo wako!
😁😁😁. Hapana shoga weee, mimi ni mdogo wake Balthazar mbona mimi kitambo nilishawai kukuparamia, sema haukumbuki kwa kuwa una mabwana wengi.Nje na mada jpm aliwahi kukufirimba maybe?
Naunga mkono hojaaa 🙏Wahaya hawawafikii Wanyakyusa. Angalia.
1. Ulimboka
2. Sativa
3. Rais wa CHAMA CHA WANASHERIA
4. Kijana aliyechoma picha ya Rais
5. Askofu wa Moravian
6. Mponjoli.
Hili kabila ni hatari halifai. Wajeuri na wanajiamini sana.
Mtaje tu, uhuru unajinyima mwenyewe kwa kutomtaja.aisee inashangaza sana😂 nahisi kabisa unajihami kabla sijamtaja huyo muhusika....
sasa hauoni kama wewe ndo unaninyima mimi uhuru wa kumtaja huyo mtu.
This is a logical non sequitur fallacy.Afande vipi, atakishinda kifo?
Kila binadamu atapitia kwa hiyo siyo issue ni process ya kibinadamu.Kifo ni sawa na kuzaliwa kivipi?
Shithole hominem logical fallacy!This is called ad hominem logical fallacy.
Si basi kuna muda watu wanajitoa akili makusudi utadhani atambue uhalisia wa waafrika ndiyo vile unasoma tu hoja ya mtu ili yasiwe mengi unakaa kimya.Maafrika mengi mpaka uya deal perpendicular Tena by IRON & BLOOD Ila ukitaka discussion, debating mtu mweusi ni kumshuhurikia Kama hayati alivyo kua anafanyaa..
Tena Mimi ndio ntakuwa zaidi ya hayati nikipata nafasi maana sisi majority ni wavivu, wazembe, wakwepa majukumu & everything.