Acha unaa,chuki,uchonganishi na uchochezi ndugu mzalendo wa mrengo uliouchagua na kuzamiamoo🤔Kuna mkataba ambao mimi binafsi sijawahi kuuona isipokuwa nasikia hauna ukomo na badala ya kuingiza chochote katika mfuko wa taifa huwa unakula tu na kudhoofisha wananchi kiuchumi na hata kiimani.
Mkataba huo ni ule kati ya kanisa katoliki na serikali ya Tanzania ambapo kwa mujibu wa mmoja wa masheikh anasema kama hivi:
Halafu wakija wasio wakatoliki wasitibiwe!Hata kama zinatibu watanzania wasichukue pesa kutoka serikalini.Wachangishane wenyewe.
Huwezi jenga hospitali ya wilaya kwa 1.5 billion acha kudanganyika mkuu. Magufuli huyohuyo alipokea ruzuku kutoka Air Tanzania na TTCL alafu kumbe zinapata hasara. Sio mtu wa kuamini kwenye data za fedha.Na kwa mujibu wa JPM, hospitali za wilaya alikuwa anajenga kwa Tshs. 1.5 Bilioni. Kwa hiyo shilingi bilioni 30 ni karibu kujenga hospitali 20 hivi kwa mwaka, mwaka unaofuata unanunua vifaa tiba, na kuajiri wahudumu. Aisee, hii mikataba ya ajabu sana
Lakini mkuu, kwa Tshs. 1.5B unaweza jenga majengo 15 ya chini yanayogharimu shilingi milioni 100 kila moja. Majengo hayo si unapata na mochwari kabisa, ICU nk.. 1.5B inatosha kabisa mkuu kujenga hospitali ya wilayaHuwezi jenga hospitali ya wilaya kwa 1.5 billion acha kudanganyika mkuu. Magufuli huyohuyo alipokea ruzuku kutoka Air Tanzania na TTCL alafu kumbe zinapata hasara. Sio mtu wa kuamini kwenye data za fedha.
Hiyo akili wataitoa wapiWaislam na nyie jengeni zenu msaini hyo MoU na serikali over! Kwan shida iko wap si mjenge zenu????
Ulitaka utibiwe bure! Hata kanisani unatakiwa uende na sadakakwani wanatoa huduma Bure?
hebu nenda KCMC bila Cash au Bima uone kama utatibiwa
Nenda Mount Meru hospital ukatibiwe hapo utakuwa na majibu ya swali lako.Zamani hizo hospitali zilikuwa zinatoa huduma hivyo ilikuwa ni sawa kabisa kusaidiwa na Serikali mambo yamebadilika kwani kwa sasa zinafanya Biashara kama hospitali za Binafsi; sasa kwa nini zichangiwe na Serikali?
Hospitali sio matofali. Yani kama ungejua hospitali za binafsi zinavyokula gharama kubwa sana kwenye vifaa na miundombinu yake, sasa za serikali ndio zinaongezeka gharama zaidi.Lakini mkuu, kwa Tshs. 1.5B unaweza jenga majengo 15 ya chini yanayogharimu shilingi milioni 100 kila moja. Majengo hayo si unapata na mochwari kabisa, ICU nk.. 1.5B inatosha kabisa mkuu kujenga hospitali ya wilaya
hiyo signature ya chini ni kama ya E Lowassa vile!Kuna mkataba ambao mimi binafsi sijawahi kuuona isipokuwa nasikia hauna ukomo na badala ya kuingiza chochote katika mfuko wa taifa huwa unakula tu na kudhoofisha wananchi kiuchumi na hata kiimani.
Mkataba huo ni ule kati ya kanisa katoliki na serikali ya Tanzania ambapo kwa mujibu wa mmoja wa masheikh anasema kama hivi:
Mt meru is one of the best hospital in Arusha town kwa sasa; Mambo yamebadilika
Unaweza hata kulinganisha ward ya private ya mt meru na ya huko unakosema?
Usikariri....
Ndio maana nikasema Bilioni 30 ya mwaka wa 1 ijenge hospitali, bilioni 30 ya mwaka wa pili inunue vifaa tiba.. na mwaka wa 3 iajiri wafanyakazi.. hiyo miaka 3 wananchi watatibiwa kwenye hospitali za umma ambapo hakuna mkataba.Hospitali sio matofali. Yani kama ungejua hospitali za binafsi zinavyokula gharama kubwa sana kwenye vifaa na miundombinu yake, sasa za serikali ndio zinaongezeka gharama zaidi.
Ukitaka majengo tu labda iwe godowns. Labda ulitaja majengo ya hospitali ila sio hospitali yenyewe
Aisee unaakili mavi matupu. Hiv hawa waislamu wa nchi hii wanajua nyuma ya DP world yupo mmarekan kweli.Mkataba wa bandari nao unahudumia kama hivyo na hautoishia kuhudumia watanzania tu bali nchi zote za kusini na kati ya Afrika.Jambo zuri zaidi ni kuwa kuna fedha nyingi kuliko vyanzo vyote vya kipato zitakuwa zinaingia serikalini.
Kinyume na huo mkataba wa kanisa kumbe wanachukua peke yao tu
Serikali Itaweza?Kuna Maeneo Serikali Haipo Kwa Huduma Zozote Za Afya Lakini Kanisa Utalikuta. Hata Shule Ikiachiwa Serikali Pekee Haiwezi Kutoa HudumaSerikali ijenge Hospitali zake, iachane na ubia na huduma za kanisa.
Maana kelele ni dini. Siyo ubia.
Wakiingia ubia na sekta binafsi sawa, ila sekta binafsi ikiwa Kanisa tu mi tatizo.