Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Haya Slaa, njoo utueleze, huu mkataba kwa sasa una uhalali gani?
 
Watanzania hatukuzoea huko nyuma kuulizana dini zetu, wala kabila wala ukanda
Sasa hivi, baada ya kuona watu wameshikwa pabaya, wanaona haja ya kukumbusha athari za udini
Hatimaye, Serikali ilikubali kuwa haitataifisha tena, na kwa kuthibitisha hivyo, ikawa tayari kuwekeana MOU na madhehebu ya Din
Hoja hapa ni mkataba usio na ukomo na Serikali ambayo haina dini, kama inavyodaiwa, kutoa mabilioni ya pesa kila mwaka kwa mashirika/taasisi za dini.
Tukumbuke kubomoa ni kazi nyepesi sana, sekunde lakini kujenga tena inachukua muda mrefu na ni kaz ngumu, na wakati mwingine hata ukifanikiwa huwezi kujenga kama ilivyokuwa.
Ndo yale yale; kwa vile sasa sauti zimepazwa kudai MOU baina ya serikali na taasisi za dini ni wa milele na hivyo unapaswa kufutwa kama ule wa bandari, sasa eti tunapewa tahadhari. Hawa walkuwepo wapi waati wote? Hawa si ndio wanaoupigia kelele mkataba wa bandari kwa kutumia matusi na dharau kwasababu rais ni Samia?

pamoja na kwamba naunga mkono tahadhari iliyotolewa, mara zote tujilazimishe kufikiri kwanza kabla kunena. Ni kwa njia hiyo ndio tutdumisha umoja.
 
Wanaukumbi.

Tunaitaka Serikali ya Tanzania ifute waraka na mkataba haramu kati ya TEC ma Serikali ya Tanzania ambapo Serikali hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi. Fedha hizi hupewa tanzaniaepisco1 kama ruzuku kwa ajili ya Hospitali zao lakini ukweli pesa hizo zinatumika kuipinga serikali na kueneza Injili.
Hili halikubaliki lazima li stop na mkataba huu uvunjwe.
Nchi hii sio mali ya Wakristo kuwa kodi zetu wapewe kundi fulani kujitanua.
Serikali huu mkataba ufutwe.
Mmewalea sana hawa TEC mbali ya 36billion huingiza mamia ya bidhaa kwa misamaha ya kodi na kuuzwa makanisani.
Ni wakati hii dhulma ikaondolewa.
Huo mkataba lini wananchi walishirikishwa na hauna kikomo.
 

Attachments

  • IMG_2226.jpeg
    31.6 KB · Views: 1
Kundi hatari sana Tanzania.
TEC wanamiliki Armed Forces Commision kinyume na katiba
na Padri Slaa aliwahi kutamka kuwa kuna silaha zinapitia TEC
Hawa wana achiwa sana. Msisahau walichofanya Rwanda
 
Kwa kweli, baada ya hili suala la DPW, tunataka na Mkataba usio na Kikomo kati ya Serikali na Kanisa uwekwe hadharani nao tuujadili na tukubaliane juu ya vifungu vyake kama bado kwa zama hizi tunautaka ama tuachane nao. MOU kati ya Kanisa na Serikali, pia hatuutaki kwa sababu serikali ndio inawajibu wa kutoa huduma za jamii kwa watu wake ikiwemo afya na elimu. Hatuwezi kukubali kuendelea kutoa bilions of Shilings kwa kanisa endlessly wakati kila siku serikali imekuwa ikijenga hosp na vituo vya afya kote nchini. Je hizo zinazolipiwa kanisani ni kwa nini? Mikataba yote ya janja janja ipigwe chini.
 
Waislamu wengi sana hupata huduma za Kanisa bila ya Ubaguzi unajua kwa mfano Waislamu wangapi hutibiwa KCMC au Bugando? Na hiyo ni mifano midogo tu kuna Wilaya kubwa Tanzania huduma pekee ni ya Kanisa na kila mtu hutibiwa au unafikiri hakuna Muislamu anasoma SAUT ?

Serikali siyo wajinga wanachangia kwa sababu haina uwezo wa kufikia kila Mtanzania kwa huduma za Matibabu na hata elimu, hivyo labda haujui unachokihoji.

Shida kubwa ya Uislamu ni dini inayonyanyapaa na kukanyaga masikini na watu wa chini wasio na mtetezi, Waislamu maelite hawajali Waislamu wa chini ndiyo maana Uislamu hautoi huduma kwa jamii hata tu watoto yatima hakuna ndiyo maana wewe unahoji Kanisa kupata fedha ktk Serikalini kwa sababu kwako masikini na watu chini siyo kitu.

Viingozi wa Kiislamu wenye uwezo sijawahi kusikia hata siku moja wakianzisha foundation kama Mkapa foundation kusaidia watu, wao kazi yao starehe na kupiga picha social media tu …
 
Hahahaha
Kwa nini sasa

Mmekamatwa pabaya
 
Halafu kuna Chibuku Mkunazini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…