Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna SHULE HATA MOJA INAYOPOKEA PESA TOKA KWENYE SELIKALI.kama ipo semeni. humu ndani kuna wakurugenzi wa shule wengi watawaambia. na kama huo mkataba mnaona unawadhuru waislam, upigeni chini, hata sisis wakristo hatuutaki. tunataka kuchangia sisi wenyewe kwenye mashule yetu, tujenge mashule yetu nk. hatutaki waislam watujengee shule, kwasababu hawawezi, uwezo huo hawana hata zao hawajaweza.
kuhusu chama cha kisiasa pale magomeni kichangani kwenye msikiti, hilo halitutii shaka wakristo, ila watz wote ndo liwatie shaka. kwasababu the more you people mnajitenga, the more mtatengeka kikwelikweli katika shule, huspitali na maendeleo mengine. mtabakiwa tu na maendeleo ya kununua mabasi ya kwenda mkoani peke yake. shule hamtaenda, na hospitali mtanyanyapaliwa. ni bora muache tu huo mpango wenu wa kuingiza vyama vya kigaidi tz. HAMNTISHI MTU KWA TAARIFA YENU, NDO MAANA TOKA AWALI WAKRISTO HAWAOGOPI. hawatishiki, ni tishio la watz wote sio wa dini moja tu.
Duh ! Mambo hayo. Lakini nataka tu kuelimishwa iwapo kiko kipengele katika Katiba yetu kinachoruhusu serikali kuingiliana mikataba na taasisi za dini.
Kama kipo, ni kweli kipengele hicho kinaruhusu tu mikataba ya kutoa misaada ya kipesa kwa taasisi za dini fulani tu na kuzibagua zingine?
Sio habari mpya hii, imesemwa sana mpaka watu kama watakuwa wanaongea watakuwa wanarudiarudia!
Nadhani tunapoteza mwelekeo kabisa. Serikali inaweza kuingia mkataba au MoU na taasisi yeyote kama inaona ina manufaa. NGOs ni mojawapo ya taasisi kama makanisa n.k. Hii haina maana ya kuingilia mambo ya dini. Kwa mfano leo hii BAKWATA ikitaka kuuda Mahakama ya Kadhi bila kutaka kugharimiwa na Serikali hakuna tatizo. Mara moja Serikali na BAKWATA zinaweza zikaingia MoU ya kukubaliana kuhusu uwanzishwaji huu na sidhani utasikia kelele tena. It is that simple.
Raia Mwema said:Kwa upande wake, Askofu Dk. Benson Bagonza wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, ameliambia Raia Mwema kwamba MoU hiyo hailengi kusaidia dini moja na kwamba hadi sasa imekuwa ikitumika kwa hospitali teule pekee zilizoombwa na serikali.
"Mpaka sasa kipengele cha mashule hakijatekelezwa na hakuna shule hata moja ya kanisa inayopokea misaada toka serikalini. Lakini hata kama itatekelezwa ilikuwa kwa mashule yote bila kujali dini zao, ni kwa madhehebu yote na hadi sasa haijatekelezwa, kama na ndugu zetu nao (Waislamu) wana mashule inawahusu," alisema.
Dk. Bagonza ambaye amekuwa na msimamo wa kati katika mambo mengi ya msingi ya kijamii na mwenye mahusiano ya karibu na madhehebu yote, alisema serikali ndiyo inayoomba kutumia hospitali teule maeneo ambayo hakuna huduma hiyo.
"Kuhusu hospitali teule, Kanisa huwa haliombi serikali bali serikali kama haina hospitali mahali inaliomba kanisa kuomba kutumia facilities kwa kuchangia gharama ili wananchi wake wapate huduma. Na huduma pale huwa hazibagui mtu yeyote kwa dini yake," alisema
hakuna SHULE HATA MOJA INAYOPOKEA PESA TOKA KWENYE SELIKALI.kama ipo semeni. humu ndani kuna wakurugenzi wa shule wengi watawaambia. na kama huo mkataba mnaona unawadhuru waislam, upigeni chini, hata sisis wakristo hatuutaki. tunataka kuchangia sisi wenyewe kwenye mashule yetu, tujenge mashule yetu nk. hatutaki waislam watujengee shule, kwasababu hawawezi, uwezo huo hawana hata zao hawajaweza.
kuhusu chama cha kisiasa pale magomeni kichangani kwenye msikiti, hilo halitutii shaka wakristo, ila watz wote ndo liwatie shaka. kwasababu the more you people mnajitenga, the more mtatengeka kikwelikweli katika shule, huspitali na maendeleo mengine. mtabakiwa tu na maendeleo ya kununua mabasi ya kwenda mkoani peke yake. shule hamtaenda, na hospitali mtanyanyapaliwa. ni bora muache tu huo mpango wenu wa kuingiza vyama vya kigaidi tz. HAMNTISHI MTU KWA TAARIFA YENU, NDO MAANA TOKA AWALI WAKRISTO HAWAOGOPI. hawatishiki, ni tishio la watz wote sio wa dini moja tu.
Raia Mwema haliwezi kuandika tetesi.vipi habari za bukoba mheshimiwa?Tunataka soft copy ya mkataba huo kabla hatujaendelea kujadili tetesi
ukiweka kila kitu kati dhana hiyo , basi taifa letu litakuwa kama lebanon, kwa mfano, Je mkuu wa Nchi akienda Saudi arabia au Iran , na katika mazungumzo yao licha ya masuala ya kitaifa, akakutana na Jumuia/taasisi/waziri anayeshughulikia uendelezo wa utamaduni wa kiislamu, atakuwa amefanya kosa? kama atakuwa amekosa basi nayenyewe ungeiweka hapa zote kwa pamoja ya huyo sumaye/lowasa na kupokea hizo fedha kwa ajili ya taasisi za kikristo na za wengine kwenda saudia/iran etc na katika ya mazungumzo au misaada ikawa kwa minajili hiyo. hapo utakuwa umejitendea haki na kwa wengine pia, badala ya kuwa umeegemea upande moja. hivyo ndivyo mstaarabu anavyotakiwa kuwa. na wewe najua ni mstaarabu.Game Theory aliuweka hapa na Raia Mwema wamekopi hapa na kuwa story.
Mara mbili lowassa kwa kutumia pesa za serikali alikwenda Marekani kuchukua pesa za Hospital ya Bugando mwaka 2006.
Sumaye alitumia milioni mia tano kwenda Marekani kwenye kuchukua pesa za kanisa kupitia MOU kati ya kanisa na serikali.
shule ya sekondari Forodhani hivi sasa waislam wamefukuzwa wanasoma wakristu pekee yao ni kazi ya MOU.
wanakurupuka tu.Tunahitaji kusoma MoU hiyo tuisome kabla ya ku-coment on it!
Nzuri kafu na sisi maf wamefulia mkuuRaia Mwema haliwezi kuandika tetesi.vipi habari za bukoba mheshimiwa?
Kazi kweli kweli
sasa kunamwingine huo ambao najua ukitoka kwenye public domai lazima watu waingie mtaani
Wewe ulete tu hapa ili machafuko yaanze maana hiyo ndiyo nia yako. Ila jambo moja nakuhakikishia kuwa, huko mtaani mwende mmejiandaa maana kipindi hiki kipigo kitatoka kwa MP wa kijeshi na sio FFU pekee.
saa zingine hebu fikiria kabla ya kupost
watu wameweka mikataba yenye kuonyesha ma trilioni yalivyoibiwa na hakuna aliyeingia mitaani
ndio itakuwa hii mikataba ya kidini?
surely akili yako itaweza kufikiria zaidi ya hayo uliyoaandika
Game Theory said:Kazi kweli kweli
sasa kunamwingine huo ambao najua ukitoka kwenye public domai lazima watu waingie mtaani
Well,
Haya ndiyo umeeandika kwenye post yako juu