Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Lini Wananchi walishirikishwa kwenye huu mkataba?
 
Chuo cha Morogoro Mkapa aliwapa bure,
Tatizo la suruali fupi na ndevu ngumu mna akili fupi na vichwa vigumu kama zilivyo akili na suruali zenu

Tuanze na Chuo Kikuukuu chenu Morogoro pamoja na hela za kwenda kuhiji Mecca....

Unadhani bila hela za serikali dini yenu mufilisi ingesimama?
 
Kanisa Katoliki ni tasisi ni lijitu kubwa mno usilifananishe na vitaasisi kama Vya kwenu
Litaasisi kubwa lakini kupitia kondoo limefanya manuva lipitishe vitu bila ushuru bandarini,lipewe ruzuku kwenye taasisi zake...bila serikali Hilo kanisa ni hakuna kitu,litakufa kibudu
 
Kwa nini Rais Mwinyi alikubali huo mkataba usainiwe? Hela zinazotolewa hawapewi kanisa. Zinalipa mishahara ya watumishi wa hizo hospital wakiwemo Waislam ambao wameajiriwa kwenye hizo taasisi
 
Sasa tuambie lini Wananchi walishirikishwa kwenye mkataba?
 
TAASISI ZOTE ZA KIDINI TANZANIA,
AGAKHAN
HINDUMANDAL
SUNNI
SHIA
HINDU
ROMA
PROTESTANT
BANIANI
#TAASISI ZA KIHUDUMA ZILIZOPO CHINI YA TAASISI HIZI ZILISTAHILI KUPATA RUZUKU,NA HUO NDIO USAWA,TAIFA HII NI YA WATU JAMII YOTE BANA,PENDELEO SIO KITU ZULI KABISA BANA.
 
Mkuu Ritz , mkataba wote uko wapi ili tuone hayo makubaliano ya kimalipo? Halafu, hapo kwenye kusaini, umeiona TEC tu? Au kwakuwa TEC wametoa msimamo wao juu ya mkataba wa bandari jana? Hata hapa utashindwa na waliokutuma

Si ndio mkataba uwekwe wazi , Hii TEC mbona haituwekei sisi Wananchi tukauona ? au Wananchi gani walishirikishwa kwenye huu mkataba?
 
Ukweli mtupu, waginga wengi sana wamebebwa na mkumbo wa udini, na hao huko walikoanzisha hizi dini Wana roho kuuawana sana. Hizi dini ni chimbuko la vitega uchumi tu, sioni tofauti na wauza mafuta, maji, ramli, chumvi, sabuni nk wa leo

Mfano hili la kuhiji mtu aliwaza kiweka kivutio Cha utalii Kwa mgongo wa dini, wakijua kila mwaka Taifa litapata wageni wengi watakao leta pesa na mali.

Mwisho hii MOU ya TEC siyo Siri ilishawekwa hadharani kitambo sana
kwenye magazeti, inawezekana nyakati hizi social media haikuwepo kama Sasa kuwapa watu nafasi ya kushutumu.
 
JE,VIONGOZI WA TEC WALISHINDWA KWENDA KUMUONA RAIS,MPAKA KUTOA AZIMIO?,MAANA KUTOA AZIMIO HUFUATA BAADA HEKIMA ZA MAJADILIANO YA FARAGHA YA KUTAMBUA UKWELI KUSHINDIKANA;-
TUNAUPUNGUFU WA HEKIMA KULINGANISHA NA WAZEE WETU,
-ABRAHAM
-HARUNI
-MUSA.
 
Litaasisi kubwa lakini kupitia kondoo limefanya manuva lipitishe vitu bila ushuru bandarini,lipewe ruzuku kwenye taasisi zake...bila serikali Hilo kanisa ni hakuna kitu,litakufa kibudu
 
Roma ni kubwa kuliko SERKALI YOYOTE DUNIANI

 
Kwani Wewe ni Muislamu?!
 
Number 1 ameamua kuvujisha hako kanyaraka ili ajiponye na zimwi la DPW?

Mwambie asishupaze shingo litavunjika. Lisipo vunjika litavunjaa na likigoma kuvunjika hata baada ya kuvunjwa (nitakuja kumalizia baadae)
Jikite kwenye mada
 
Jengeni shule na hospitals sio misikiti, halafu mnalalamika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…