Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Mkataba au Memorandum of Understanding kati ya TEC na Serikali unawapa TEC 36 Billion kila mwezi. Nusu ya pesa hizi zinatumika kulipia mishahara na starehe za hawa Ma padre kuji mwambafai.
Ni mkataba au Memorandum of Understanding? Haiwezi kuwa vyote.
Kama ni MoU basi serikali kweli inaweza kujitoa kirahisi tu bila gharama yeyote na kuacha kuwawezesha mapadre kujimwambafai. Na bila shaka gharama zikipanda katika hizo hospitali hazitagusa waislamu kwa sababu taasisi za kiislamu zitawawezesha kuzimudu.

Amandla...
 
Jikite kwenye mada ni lini wananchi walishirikishwa kwenye Mkataba wa tec na serikali
 

Mnatamani kuwameza TEC lakini mnashindwa, yaani nyie jamaa ni shida sana. Hao jamaa msiwachukulie poa, ni noma sana.
 
Si ndio mkataba uwekwe wazi , Hii TEC mbona haituwekei sisi Wananchi tukauona ? au Wananchi gani walishirikishwa kwenye huu mkataba?
Anayedai kuwa upo ndiye anayepaswa kuuweka hadharani na kuanza kuuhoji. Unavyoona umewekwa hapa? Kuna madai serious sana hapo ya malipo ya mamilioni..
 
Umejitahidi kuandika ila ungeufatilia uislam vzr bila mihemko ungekua muislam maana kuhusu huduma hizo za bule kwa watu wenye uwezo wa chini kuna zaka kuna waqfu shule zipo hospital zipo nyumba za kuishi zipo ili mtoto wa mlala hoi azipate bule naye afurahie dunia ila kuna watu wanatumika kuharibu malengo au kuzulumu nakama kweli mnapewa bl 37 kweli msiseme janisa ndo linajenga hospt bali ni serikali maana hizo hela anaweza jenga hosptal 10 kumi kila mwezi kuhusu kutoa huduma hizohizo zinazipewa b37 galama zipo juu
 
Padri Kitima anasema kwa zaidi ya miaka 60 ama toka tupate uhuru bandari yetu haijawahi kuendeshwa na wageni. Hii ni kauli yake au ya maaskofu wa TEC? Ni kweli TEC haifahamu kwamba kwa zaidi ya miaka 22 Bandari yetu ya Dar imekuwa chini ya kampuni ya TICTS ikiendeshwa kwa ubia na kampuni toka Hong Kong (Hutchsons?). Kama wanafahamu, wanakumbuka wabia wazawa wa kampuni hiyo wanahusika kwenye kuwapa hela maaskofu kama Rugemalira na IPTL yake walivyofanya? Hili wamewahi kuwaambia waumini wao katika mimbari za ibada?
 
Halafu wengi wenu humu maskini hamajui hata nini tunajadili.
basi alimradi kutetea Maparoko tu.
Ruzuku ni kutokana na miradi wanayoiendesha nyie mna miradi gani.

Kwani ruzuku kwa shule si zilikuwepo ili kupunguza gharama za uendeshaji zikiwemo ADA, na gharama za matibabu? Kwa kuwa zinaziba gepu la huduma zilizopaswa kutolewa na Serikali
 
Huu Uzi utaiamsha serekali kuhusu usawa hasa kwa taasisi zote zilizopo,nchini Tanzania,na si hizi za kitapeli za upako.
PIA IPO HAJA YA MIPAKA YA KITAASISI IKAWEKWA ILI KUTHIBITI TAASISI KUACHA KUJIGEUZA GEUZA NJE YA MAJUKUMU YAO KWA MUJIBU YA SAJILI ZAO,HILI NI MUHIMU SANA.
CC,
TULIA AKSON,
zanakihighsc,ly90s.
 
Kwa Kanda ya Ziwa, kuna hospitali ya Serikali inayofikia Bugando kwa ukubwa?

Kwa Kanda ya Kaskazini, Serikali ina hospitali inayolingana na KCMC?

Ruzuku inayotolewa na Serikali ni kwa manufaa ya Watanzania bila kujali dini, rangi, itikadi za kisiasa n.k.

Ni tofauti na mkataba wa bandari unaobishaniwa, unapingwa kwa sababu hauna manufaa kwa Mtanzania. Lakini leo hii endapo BUGANDO na KCMC zitafungwa, watakaoathirika zaidi ni raia bila kujali kama wana dini au hawana.

Itoshe tu kusema ruzuku zinazotolewa na Serikali kwa ajili ya kusaidia uendeshaji wa hospitali zinazomilikiwa na Makanisa zinawanufaisha Watanzania.

Nafikiri, hata na dini zingine zingekuwa na hospitali zenye hadhi ya hizo zinszapewa ruzuku, Serikali isingeona tashwishwi kuzipa ruzuku, maadam huduma zao zitakuwa na manufaa kwa wananchi
 
Tunaongelea mkataba Kanisa linapewa pesa za walipa kodi wakati wao wanafanya biashara.

Lini wananchi walishirikishwa mkataba kati ya TEC na Serikali, hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi.

Ndiyo hojo.
 
Kumbe ndio maana masista wananawili ngoja nimtafuta mmoja na Mimi niambulie hiyo 36b
 
Tunaongelea mkataba Kanisa linapewa pesa za walipa kodi wakati wao wanafanya biashara.

Lini wananchi walishirikishwa mkataba kati ya TEC na Serikali, hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi.

Ndiyo hojo.
Wanafanya biashara gani? Kwani wewe hulipi ADA au hospital za UMMA?
 
Kundi hatari sana Tanzania.
TEC wanamiliki Armed Forces Commision kinyume na katiba
na Padri Slaa aliwahi kutamka kuwa kuna silaha zinapitia TEC
Hawa wana achiwa sana. Msisahau walichofanya Rwanda
Kanisa katoliki lina kashfa kama zote. Walikuwa wafadhili wa vita ya Biafra. Huko DRC wana mkono wao kwa kila kinachoendelea... Kigoma nako wanalalamikiwa kupora ardhi ya CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…