bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,662
- 812
Jikite kwenye mada Mkataba wa tec na serikaliWaache kununua tende wakajenge hospitali? Misikiti yenyewe wanajengewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jikite kwenye mada Mkataba wa tec na serikaliWaache kununua tende wakajenge hospitali? Misikiti yenyewe wanajengewa
OkJikite kwenye mada Mkataba wa tec na serikali
Ni mkataba au Memorandum of Understanding? Haiwezi kuwa vyote.Mkataba au Memorandum of Understanding kati ya TEC na Serikali unawapa TEC 36 Billion kila mwezi. Nusu ya pesa hizi zinatumika kulipia mishahara na starehe za hawa Ma padre kuji mwambafai.
Kwani Wewe ni Muislamu?!
Jikite kwenye mada ni lini wananchi walishirikishwa kwenye Mkataba wa tec na serikaliWaislamu wengi sana hupata huduma za Kanisa bila ya Ubaguzi unajua kwa mfano Waislamu wangapi hutibiwa KCMC au Bugando? Na hiyo ni mifano midogo tu kuna Wilaya kubwa Tanzania huduma pekee ni ya Kanisa na kila mtu hutibiwa au unafikiri hakuna Muislamu anasoma SAUT ?
Serikali siyo wajinga wanachangia kwa sababu haina uwezo wa kufikia kila Mtanzania kwa huduma za Matibabu na hata elimu, hivyo labda haujui unachokihoji.
Shida kubwa ya Uislamu ni dini inayonyanyapaa na kukanyaga masikini na watu wa chini wasio na mtetezi, Waislamu maelite hawajali Waislamu wa chini ndiyo maana Uislamu hautoi huduma kwa jamii hata tu watoto yatima hakuna ndiyo maana wewe unahoji Kanisa kupata fedha ktk Serikalini kwa sababu kwako masikini na watu chini siyo kitu.
Viingozi wa Kiislamu wenye uwezo sijawahi kusikia hata siku moja wakianzisha foundation kama Mkapa foundation kusaidia watu, wao kazi yao starehe na kupiga picha social media tu …
Halafu wengi wenu humu maskini hamajui hata nini tunajadili.Jengeni shule na hospitals sio misikiti, halafu mnalalamika
Wanaukumbi.
Tunaitaka Serikali ya Tanzania ifute waraka na mkataba haramu kati ya TEC ma Serikali ya Tanzania ambapo Serikali hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi. Fedha hizi hupewa tanzaniaepisco1 kama ruzuku kwa ajili ya Hospitali zao lakini ukweli pesa hizo zinatumika kuipinga serikali na kueneza Injili.
Hili halikubaliki lazima li stop na mkataba huu uvunjwe.
Nchi hii sio mali ya Wakristo kuwa kodi zetu wapewe kundi fulani kujitanua.
Serikali huu mkataba ufutwe.
Mmewalea sana hawa TEC mbali ya 36billion huingiza mamia ya bidhaa kwa misamaha ya kodi na kuuzwa makanisani.
Ni wakati hii dhulma ikaondolewa.
Huo mkataba lini wananchi walishirikishwa na hauna kikomo.
Anayedai kuwa upo ndiye anayepaswa kuuweka hadharani na kuanza kuuhoji. Unavyoona umewekwa hapa? Kuna madai serious sana hapo ya malipo ya mamilioni..Si ndio mkataba uwekwe wazi , Hii TEC mbona haituwekei sisi Wananchi tukauona ? au Wananchi gani walishirikishwa kwenye huu mkataba?
Umejitahidi kuandika ila ungeufatilia uislam vzr bila mihemko ungekua muislam maana kuhusu huduma hizo za bule kwa watu wenye uwezo wa chini kuna zaka kuna waqfu shule zipo hospital zipo nyumba za kuishi zipo ili mtoto wa mlala hoi azipate bule naye afurahie dunia ila kuna watu wanatumika kuharibu malengo au kuzulumu nakama kweli mnapewa bl 37 kweli msiseme janisa ndo linajenga hospt bali ni serikali maana hizo hela anaweza jenga hosptal 10 kumi kila mwezi kuhusu kutoa huduma hizohizo zinazipewa b37 galama zipo juuWaislamu wengi sana hupata huduma za Kanisa bila ya Ubaguzi unajua kwa mfano Waislamu wangapi hutibiwa KCMC au Bugando? Na hiyo ni mifano midogo tu kuna Wilaya kubwa Tanzania huduma pekee ni ya Kanisa na kila mtu hutibiwa au unafikiri hakuna Muislamu anasoma SAUT ?
Serikali siyo wajinga wanachangia kwa sababu haina uwezo wa kufikia kila Mtanzania kwa huduma za Matibabu na hata elimu, hivyo labda haujui unachokihoji.
Shida kubwa ya Uislamu ni dini inayonyanyapaa na kukanyaga masikini na watu wa chini wasio na mtetezi, Waislamu maelite hawajali Waislamu wa chini ndiyo maana Uislamu hautoi huduma kwa jamii hata tu watoto yatima hakuna ndiyo maana wewe unahoji Kanisa kupata fedha ktk Serikalini kwa sababu kwako masikini na watu chini siyo kitu.
Viingozi wa Kiislamu wenye uwezo sijawahi kusikia hata siku moja wakianzisha foundation kama Mkapa foundation kusaidia watu, wao kazi yao starehe na kupiga picha social media tu …
Jikite kwenye mada ni lini wananchi walishirikishwa kwenye Mkataba wa tec na serikali wa kuwapa hao tec bilioni 36 ambazo hazifanyiwi hata ukaguziHahahaha
Kwa nini sasa
Mmekamatwa pabaya
Ruzuku ni kutokana na miradi wanayoiendesha nyie mna miradi gani.Halafu wengi wenu humu maskini hamajui hata nini tunajadili.
basi alimradi kutetea Maparoko tu.
Jibu wapi wanachi walishirikishwa kwenye Mkataba wa serikali na hao tecMama kawatuma muwajibu TEC halafu mnakuja na hoja kama hizi loh
Kwa Kanda ya Ziwa, kuna hospitali ya Serikali inayofikia Bugando kwa ukubwa?Kwa kweli, baada ya hili suala la DPW, tunataka na Mkataba usio na Kikomo kati ya Serikali na Kanisa uwekwe hadharani nao tuujadili na tukubaliane juu ya vifungu vyake kama bado kwa zama hizi tunautaka ama tuachane nao. MOU kati ya Kanisa na Serikali, pia hatuutaki kwa sababu serikali ndio inawajibu wa kutoa huduma za jamii kwa watu wake ikiwemo afya na elimu. Hatuwezi kukubali kuendelea kutoa bilions of Shilings kwa kanisa endlessly wakati kila siku serikali imekuwa ikijenga hosp na vituo vya afya kote nchini. Je hizo zinazolipiwa kanisani ni kwa nini? Mikataba yote ya janja janja ipigwe chini.
Tunaongelea mkataba Kanisa linapewa pesa za walipa kodi wakati wao wanafanya biashara.Ruzuku ni kutokana na miradi wanayoiendesha nyie mna miradi gani.
Kwani ruzuku kwa shule ai zilikuwepo ili kupunguza gharama za uenseshaji zikiwemo ADA, na gharama za matibabu? Kwa kuwa zinaziba gepu la upungufu wa huduma zilizopaswa kutolewa na Serikali
Kazi ipi hiyo? Kama ni Bandari hiyo ndio tayari imeendaKazi mnayo, mtalia machozi ya damu safari hii.
Wanafanya biashara gani? Kwani wewe hulipi ADA au hospital za UMMA?Tunaongelea mkataba Kanisa linapewa pesa za walipa kodi wakati wao wanafanya biashara.
Lini wananchi walishirikishwa mkataba kati ya TEC na Serikali, hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi.
Ndiyo hojo.
Kanisa katoliki lina kashfa kama zote. Walikuwa wafadhili wa vita ya Biafra. Huko DRC wana mkono wao kwa kila kinachoendelea... Kigoma nako wanalalamikiwa kupora ardhi ya CCMKundi hatari sana Tanzania.
TEC wanamiliki Armed Forces Commision kinyume na katiba
na Padri Slaa aliwahi kutamka kuwa kuna silaha zinapitia TEC
Hawa wana achiwa sana. Msisahau walichofanya Rwanda