bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,662
- 812
Wapi nimetaja habari ya Dini? Au na wewe ni wale wale?Kwahiyo dini ya haki ni dhaifu na Allah ameshindwa kuwapigania mpk wapigwe na makafikiri?
Mafundisho yenu yana umuhimu gani kuwajenga kiroho mpk kafiri aje awachonganishe mpigane?
Hizo ni ndoto za Ali NachaUnawahoji wenye nchi na dunia? Ndiyo washatoa tamko. Sasa jaribu kwenda kinyume na tamko lao uone.
Ndoto za Ali Nacha hizoKuwa mpole DP World ndio ishakufa hio kama ulihaidiwa ajira pale kalime nyanya
Chawa hata kuandika tu kiswahili kwako tabu, alafu muda unataka upambane na wasomi washam baba askofu aaah🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwani enzi za kikwete mlikuwa hamtoi matamko na walaka?
Kiwete alikuwa anayapuuza sababu anajua yametoka kwa wapuuzi na wachumia tumbo.
Mlimfanya nini kwa kuyapuuza kwake matamko yenu?
Hata hiki kikaratasi cha padri kitima kinachosambazwa makanisani kitapuuzwa na hakuna mtakachofanya.
Ukikejeli waislaam unakuwa hukitendei haki,maana wana muogopa Mungu na wanaamini siku wakifa wataulizwa,ndio Maana Mwislaam kama Prof Assad huwezi kukuta kajilimbikizia mali au anafanya kazi kwa kuonea watu.Upo sawa Hawa tunaowaita ndugu zetu sio kabisa hawajawahi kuwa na jema,ni malalamiko na kushindia draft na bao.Bure kabisa
Huu ndio ushahidi wako wa hizo bil. 36 serikali inazolipa kila mwezi?Hawa wote wanalipwa mishahara kutoka kodi za
Watanzania na sio sadaka.
Mkataba au Memorandum of Understanding kati ya TEC na Serikali unawapa TEC 36
Billion kila mwezi.
Sasa kuna Mkataba usio na Mwisho?ni serikali yako ndio iliomba wala hao waroma hawakuwa na mipango ya kuhudumia kama referral , ss waislam ifikr muda akili ziwe zinafny kaz , ilaumu serikali yako ambayo inarudia kosa lile lile za kuish kiomba omba , badala wajenge hospital wao wanapeleka hospitalin za private na badala serikali waboreshe bandari wao wanaenda kugawa bandari , HIYO NI SERIKALI USILAUMU WATU WENGINE
Tujibu upuuzi, nyie kujenga hata zahanati tu ya kijiji imewashinda halafu mnamuonea wivu mwenye referal hospitalWakikujibu nishtue!
Your so Stupid.. Stupid... Never ever
Takbiiiiiiiiiiiiiiirrrrrrrrrrrr!!!!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wanaukumbi.
Tunaitaka Serikali ya Tanzania ifute waraka na mkataba haramu kati ya TEC ma Serikali ya Tanzania ambapo Serikali hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi. Fedha hizi hupewa tanzaniaepisco1 kama ruzuku kwa ajili ya Hospitali zao lakini ukweli pesa hizo zinatumika kuipinga serikali na kueneza Injili.
Hili halikubaliki lazima li stop na mkataba huu uvunjwe.
Nchi hii sio mali ya Wakristo kuwa kodi zetu wapewe kundi fulani kujitanua.
Serikali huu mkataba ufutwe.
Mmewalea sana hawa TEC mbali ya 36billion huingiza mamia ya bidhaa kwa misamaha ya kodi na kuuzwa makanisani.
Ni wakati hii dhulma ikaondolewa.
Huo mkataba lini wananchi walishirikishwa na hauna kikomo.
Ninyi endeleeni kuuza dawa za Kisuna kwenye nyumba zenu za ibada badala ya kujenga hospitaliWanaukumbi.
Tunaitaka Serikali ya Tanzania ifute waraka na mkataba haramu kati ya TEC ma Serikali ya Tanzania ambapo Serikali hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi. Fedha hizi hupewa tanzaniaepisco1 kama ruzuku kwa ajili ya Hospitali zao lakini ukweli pesa hizo zinatumika kuipinga serikali na kueneza Injili.
Hili halikubaliki lazima li stop na mkataba huu uvunjwe.
Nchi hii sio mali ya Wakristo kuwa kodi zetu wapewe kundi fulani kujitanua.
Serikali huu mkataba ufutwe.
Mmewalea sana hawa TEC mbali ya 36billion huingiza mamia ya bidhaa kwa misamaha ya kodi na kuuzwa makanisani.
Ni wakati hii dhulma ikaondolewa.
Huo mkataba lini wananchi walishirikishwa na hauna kikomo.
Solution ni rahisi, waende mahakamani kishitaki. Katiba yetu inakataza upendeleo wa dini au kabila.Wewe ndio pimbi, Ritz anachotaka kujua ikiwa kama kulikuwa na ushirikishwaji wa wananchi kwa MoU ya TEC na Serikali ambapo pesa za umma zinaenda kwa mapadre halafu hii wanaisumbua Serikali.
Padre Kitina alinyamazishwa wakati wa JPM awamu hii kakutana na mama kutoka kizimkazi ndio ameamka.Kwa vile rais na pm kipindi hiki ni muislam mwenzetu, tumieni fursa hii muwashinikize watumie mamlaka yao kufuta hiyo MoU. Ninachojua pale Bugando na kcmc serikali imeweka watumishi wake, imewekeza vifaatiba na madawa. Serikali iondoe kila kilicho chalke. Then hawa watu wa makanisa watakachofanya ni ku-scale down huduma wanazotoa, zilingane na uwezo wao. Swali je serikali sasa hivi iko tayari kutoa huduma za kibingwa zinazotolewa na hospitali hizi za makanisa? Kama iko tayari, well and good.
Ndugu zangu waislam (baadhi), msifikiri kwamba hudama/maendeleo yanayofanywa na sisi wakristo pesa zinatoka serikalini. Sisi kwa mfano parokiani kwetu sadaka kila jumapili tunatoa kati ya 4m mpaka 5m. Tumeweza kwa kipindi kujenga kanisa zuri, nyumba ya Mapadre, na sasa tuko kwny mchakato wa kujenga ukumbi, zahanati na shule ya chekechea. Parokia zingine wana miradi ya kilimo ufugaji kuku, ng'ombe, mbuzikatoliki etc. Miradi yote hii inaingiza pesa inayosadia kufanya maendeleo zaidi.
Pia mnapotoshana kwamba wakristo wanapitisha mizigi bandarini bila kulipa ushuru. Hili mbona liko wazi? Je bandari inasimamiwa na makanisa? Tra inasimamiwa na makanisa?. Kama kuna msamaha wa kodi kwaajili ya mizigo ya mashirika ya dini, hiyo ni kwa dini zote. Agizeni na nyie mizigo, pitieni utaratibu wa kawaida kupata msamaha wa kodi, muendelee na mambo yenu.
Sasa hili swala la bandari linataka kutugawa. Mimi naona uelewa ni mdogo kwa baadhi yetu.
Mimi kwakweli sina shida na muwekezaji yeyote, ilimradi uwekezaji huo uwe kwa maslahi mapana ya taifa letu kwa sasa na vizazi vyetu hapo baadae. Mkataba huu wa Dpw, ambao 1) hauna ukomo, 2) unampa muwekezaji bandari zote za bahari na maziwa yote, pamoja na miundombinu ya usafiri na anga 3) una masharti kwamba hauwezi kuvunjwa ktk mazingira yoyote, 4) haubainishi mgawano wa mapato; mkataba huu ni wa ovyo kabisa. Ni mwehu atakaye toa rasilimali zake kwa namna hii.
Pia tuangalie namna muwekezaji alivyo patikana. 1) Waziri Mbarawa: Tulishindanisha makampuni 8 toka nchi tofauti, then tukamchagu Dpw. Huu ni uwongo- tenda ilitangazwa lini na wapi, tenda ilfunguliwa lini na wapi? 2) Pm Majaliwa: Rais alipoenda Dubai (kwenye expo2022?), tukampata Dpw. Unaweza kuona viongozi hawa wanavyotofautiana.
Nguvu kubwa inayotumika kumpinga, sawa na kumtetea muwekezaji huyu. Kwa vile suala hili tayari limetugawa, kwanini tusiachane na Dpw tukatafuta muwekezaji mwingine? Wawekezaji wenye sifa wako wengi. Ila kuna harufu ya rushwa hapa ambayo imeshaliwa, itarudishwaje?
Vipi mkataba kati ya Vatican na Muddy (SAW) kuhusu kuanzisha dini ya mwezi mchanga, mbona na sisi waja wa 'Mnyaazi' Mungu hatukushirikishwa. Au wewe mwenzetu ulishirikishwa?Lini wananchi walishirikishwa mkataba kati ya TEC na Serikali, hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi.
Rtz akili hauna braza, kanisa katoliki inamiliki vitu vyingi sana hapa nchini, wanazo shule, zahanati, HCs, Hospitals, Referral Hsp, okMkataba au Memorandum of Understanding kati ya TEC na Serikali unawapa TEC 36 Billion kila mwezi. Nusu ya pesa hizi zinatumika kulipia mishahara na starehe za hawa Ma padre kuji mwambafai.