Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Kwa nini tunaendekeza mada hizi za udini? Serikali iingilie kati aisee. Kuhojiwa kuhusu DPW, kusifunikwe na kuleta mijadala ya kidini. Hapa mnajenga bomu na hamtaweza kulizima likilipuka. Hakuna awamu ambayo imeendekeza mambo haya ya udini kama hii.
 
Padre Kitina alinyamazishwa wakati wa JPM awamu hii kakutana na mama kutoka kizimkazi ndio ameamka.

DPW imepita bungeni na kupata baraka za wawakilishi wetu, na muda huu mikataba ya kazi inaandaliwa huko ughaibuni.
Wale ni wawakilishi wa CCM na matumbo yao, hawatuwakilishi sisi wananchi braza.

Wangekuwa wawakilishi wetu wangekataa ujinga wa DP WORLD na kubaki kusimamia rasilimali za nchi hii.

Machawa mmekamatwa na TEC aise🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwahiyo umeme conclude kuwa waislam hawana roho mbaya ila Wakristo sio? Hapo Inaonesha mlivyo wabinafsi wavivu na roho mbaya. Otherwise usingeyaandika haya matakataka yako
 
Kuna hospitali za Aga Khan ambazo ni za kiwango cha kimataifa zinamilikiwa na waislamu pia kuna vyuo kama Al- haramain,Aga Khan University ambazo zinajitegemea kwa asilimia 100.Hivyo kama ni masuala ya huduma na waislamu wanahudumia wananchi wote bila ubaguzi.
 
Wewe punguani kweli jibu hoja.

Lini wananchi walishirikishwa mkataba kati ya TEC na Serikali, hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi?
 
Hulijui ulisemalo TEC ilianzishwa 1957 kabla hata ya uhuru huu unaojivunia sasa. Hao jamaa wanajua mengi kuliko wewe. Kabla hata serikali haina pesa. Bora utulie tu.
 
This thread proves that Tanzanian elites are nothing but a basket case of psychological dysfunction.
Usihangaike na anonymous ID brother, hapa unaongea na Dark side yake Ila huko nje, hana guts za kuongea aliyoyasema zaidi ya kuwa keyboard warrior..
 
Mkataba au Memorandum of Understanding kati ya TEC na Serikali unawapa TEC 36 Billion kila mwezi. Nusu ya pesa hizi zinatumika kulipia mishahara na starehe za hawa Ma padre kuji mwambafai.
Hawawapi 36b bana wanawapa laki 2 tu. Kama unabisha toa evidence
 
Wewe punguani kweli jibu hoja.

Lini wananchi walishirikishwa mkataba kati ya TEC na Serikali, hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi?
Mimi punguani kama wewe ok, machawa level yenu ya elimu ni darasa la saba au division zero, huo mkataba unashupalia huko wapi? kwanini husiiweke hapa na sisi tuione? acha upimbi braza
 
Nani amekudanganya fedha ya TEC inayotolewa na serikali haifanyiwi ukaguzi?? Issue hapa ni mkataba wa bandari. Usitutoe kwenye mada!!
 

Hapa suluhisho ni moja tu, nendeni mkawaambie Watu wa Dubai kuwa Wenyenchi wameukataa uuzwaji wa bandari yao. Mbona mnakomaa sana.

Watu watashindwa kuwaelewa, nyie ni Watanzania au watu wa Dubai?
 
Ingekuwa hizo hela ni kitu basi TEC wangeufyata kwa Serikali, pamoja na hiyo ruzuku bado TEC wanaibwekea Serikali ndo ujiulize sasa hao TEC wanajivunia nini? BAKWATA kujengewa msikiti tu wameufyata
 

Usijitoe ufahamu wewe,serikali ikivunja mkataba wataumia wananchi ,waambie BAKATWA wajenge hospitali hizo bilioni 36 mchukue nyinyi.
 
Number 1 ameamua kuvujisha hako kanyaraka ili ajiponye na zimwi la DPW?

Mwambie asishupaze shingo litavunjika. Lisipo vunjika litavunjaa na likigoma kuvunjika hata baada ya kuvunjwa (nitakuja kumalizia baadae)
Yeye mwenyewe mkataba hajui unasema nini kasaini tu kwenye cover page
 
Huku kusini over 70% ya watu ni waislam,ila hospital zao za kutumainiwa ni St Walburg (Nyangao) na St benedict hosp (Ndanda),kuna watu mkuu ukikaa kuwasikiliza utastaajabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…