Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Halafu wanaposema wao kama baraza la maaskofu hawaungi mkono mkataba wa bandari , kwani lini wao ni sehemu ya mamlaka za kisheria na za nchi kwenye kuunga mkono mambo ya nchi?
Mteteeni Ustadhati wenuuu mkuu mambo magumuu
 
Tutawajengea na nyie hospital zenuu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]wabarakatuuu
TEC mnataka kutuaminisha kuwa kwa DP World kuoewa mkataba wa kuendesha bandari basi nchi itaingia kwenye machafuko?

Mikataba ile wanayosaini wazungu na wakristo wenzenu kwenye madini hiyo haivunji amani?

Hivi vitisho mkawafabyie waumini wenu huko makanisani lakini kwenye suala hili la bandari kama mnadhani DP World hawataendesha hii bandari basi mtasubiri sana.
 
Reactions: Tui
Mteteeni Ustadhati wenuuu mkuu mambo magumuu
Tunajua mlivyofaidika na uwepo wa TICTS na Kakoko pale bandarini na jinsi gani mmepitisha mashehena ya mnayoita misaada yakiwemo magari ya kifahari ya mapadre wenu bila kulipa ushuru.
 
Reactions: Tui
Sasa unaona ulivyo punguani. Waliopewa hizo pesa ni waTanzania halafu ni ndugu zako. Lazima kuna dada, kaka, binanmu, mjomba, shangazi, au hata rafiki yako direct au indirect anapata huduma.
Nyie mna tabia mbaya sana, mnaona kama waarabu ndiyo ndugu zenu kuliko hapa kwetu. Utalinganishaje hivi vitu viwili tofauti kabisa. Waarabu wale siyo waTanzania lakini wewe unaona ati wakatoliki kwa sababu tu waarabu ni waislamu basi thamani ya utu wako wote umepeleka huko.

Ritz wewe ni mswahili tu kama mimi, hebu fanga googling (google.com), uliza Tunisian President condemns Africans that they want to change Tunisian Demography. Hapo ndiyo utajua wewe ingawa ni muislam lakini kwao ni nyani.

That is the fact, sijawahi kuona hata siku moja mwarabu anamuheshimu muafrika. Wewe ni mtumwa.

Nenda Syria, Plalestina, Egypt kote huko. Morocco hata kwenye kombe la dunia ingawa ni Africa wana ji-identify Kama Arabs, si uliona wakati ule kila wakishinda mechi wanajiridhisha na bendera ya Palestina ? Yaani wao ni waarabu.

You guys are real “useful idiots” low IQ, cretins!!!
 
Sasa hivi mtakaa kwenye matari na kulipa ushuru pale panapostahili na tutajipanga sana kupigana na huu ujinga mnaotaka kupandikiza kwenye hili taifa.
 
Reactions: Tui
Punguani kweli wewe hizo huduma napata bure? Yaani natoa pesa yangu halafu kodi yangu wanalipwa wagalatia?

TEC mnataka kutuaminisha kuwa kwa DP World kuoewa mkataba wa kuendesha bandari basi nchi itaingia kwenye machafuko?

Mikataba ile wanayosaini wazungu na wakristo wenzenu kwenye madini hiyo haivunji amani?

Jibu swali wananchi walishikirikishwa?
 
Halafu ukute wewe ni mke au mume wa padri au mchungaji lkn una mdomo mchafu kuliko wa mlevi.
Wakristo nidhamu imekuwa ni changamoto kabisa
Hao waislamu wenzako wanao tukana watu wengine ndio wenye nidhamu sio

Mkiwa na nidhamu tunaweka nidhamu
Mkija na kashfa tunawakumbusha jinsi bwana mudy alivyokuwa na tabia za kiwaki.

Huyo pye Chang shen muislamu mwenzako akikashifu ni sawa akijibiwa ni nongwa
soma post no #378 uone huyo mwenzako mujahidin alicho andika.
 
Umeandika upupu tu, hizo huduma waislam wanapata bure huko bugando na kcmc? Mbona Agha khan hawapewi ruzuku? Pili kwanini hakuna ukomo wa MoU?
 
Si ajabu hata shule aliyosoma mtoa mada ilikuwa ni ya kanisa.
 
Naunga mkono hoja, huu mkataba kati ya Serikali na Kanisa unalipa kanisa unfair advantage dhidi ya washindani wao wanaotoa huduma sawa ambazo zote ni biashara!.

Hasa ukizingatia Kanisa limekuwa likiishinikiza serikali isijenge hospitali zake katika maeneo ambayo tayari kuna hospitali za kanisa.

Tunaitaka serikali ikae upya ijadili upya suala hili na Wadau wengine wote badala ya kuwapa mihela yote hii taasisi moja halafu yenyewe ikaachiwa control imuajiri mfagizi gani na mtandika mashuka gani, ambapo serikali haiwezi kusimamia usawa wa ajira kwa watu wa imani zote au wasio na imani.

Katiba ya nchi inakataza upendeleo kwenye masuala ya ugawaji wa keki ya Taifa!

Huu mkataba unavunja katiba, full stop!
 
Hizo hospital unazozungumzia zimeokoa maisha ya watanzania wangapi kabla serikali haijahenga
 
Nijukumu la Serikali hilo baada ya kupokea kodi za wananchi.

Kama mnataka lazima BAKWATA ajenge hospitali basi wauminini wake waachiwe PESA yao wanayolipa kodi waikusanye kama ZAKA ili ihudumie raia kama UISLAMU unavyoelekeza.

Jee uko tayari ndugu? maana Mahakama ya KADHI tu hapa ilikua issue.
 
Wewe lazima hata shule hujaenda ulivyojibu hapo ki”madrassa”.
 
Kundi hatari sana Tanzania.
TEC wanamiliki Armed Forces Commision kinyume na katiba
na Padri Slaa aliwahi kutamka kuwa kuna silaha zinapitia TEC
Hawa wana achiwa sana. Msisahau walichofanya Rwanda
Koma wewe.
 
Nd
Ndio nyie mnapotezeaga muda wenzenu darasani, yaani Ili mradi tu uulize swali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…