Hakuna sehemu waislamu tumedai tunataka fungu lolote la pesa kuendesha chochote Tanzania.Braza ndo maana in simple term chukueni tena.
Basi kwa ushauri mdogo iambir serikali iandae kwanza hospitali za kuchukua wagonjwa wake. Sio kazi ya kanisa kutoa huduma za jamii. Kuna sehemu serikali haina huduma za afya za serikali. Iandae mazingira halafu ichukue jukumu lake. Nasikia hasira kusimangwa na hizo hela za serikali ndo maana najibu kwa shortcut kwamba chukueni hizo hospitali mziendeshe ila kwa nilivyoona uendeshaji wa vitu vya serikali watanzania watalia na kusaga meno.Hakuna sehemu waislamu tumedai tunataka fungu lolote la pesa kuendesha chochote Tanzania.
Tamko letu ni Kuifahamisha serikali IACHE KUTOA PESA KWA KANISA ambazo zinaliwa na wachache kwa kutumia jina la Yesu.
Serikali itafute kampuni au NGO ambayo itaweza kuulizwa maswali na kuleta hesabu ya matumizi ya pesa zote zinatoka serikalini .
Waislamu hatutaki kubeba dhima . Manake Kesho Wakristo wataona Tunafaidi kumbe sisi pesa ya HARAMU hatuli NI MWIKO KWETU.
Ndio maana sisi kuwa maskini sio kitu cha ajabu.
Mpenda haki ni vigumu sana kutajirika hasa ktk Nchi maskini km Tanzania
Moja.Watu wenye pesa ndefu yaaani wafanyabiashara wengi ni waislamu utasema Wakristo wanapigwa vita na waislamu wasiwe wafanyabiashara?.
Mfumo wa namba upo Duniani nzima hata huko nchi za kiislam na hii ni baada ya maendeleo ya technology kwa maana ya tally binary system.
Na sio umeanzishwa na Malima ili waislamu wasifelishwe.
Hata Sasa mbona wanatumia mfumo wa namba na still shule za kiislam plus ukanda wa pwani bado wapo nyuma,hapo utasemaje
Suala la kwanza ni serikali kufuta mkabata na KANISA ili Hao walafi watambue kuwa Ule wakati wa WIZI umefika mwisho.Basi kwa ushauri mdogo iambir serikali iandae kwanza hospitali za kuchukua wagonjwa wake. Sio kazi ya kanisa kutoa huduma za jamii. Kuna sehemu serikali haina huduma za afya za serikali. Iandae mazingira halafu ichukue jukumu lake. Nasikia hasira kusimangwa na hizo hela za serikali ndo maana najibu kwa shortcut kwamba chukueni hizo hospitali mziendeshe ila kwa nilivyoona uendeshaji wa vitu vya serikali watanzania watalia na kusaga meno.
Kwa hiyo DPW watafanya kazi ya TRA?!Bandarini pale maaskofu wanapitisha mizigo bila kulipa kodi lazima waupinge huu mkataba.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Kama sijakosea hela haziendi kwa mfumo wa cash. Wanalipa wafanyakazi na dawa. Kama zinapelekwa hela za umma sheria inataka CAG azikague. Kama matumizi yake hayakaguliwi then kuna shida serikalini.Suala la kwanza ni serikali kufuta mkabata na KANISA ili Hao walafi watambue kuwa Ule wakati wa WIZI umefika mwisho.
Hata mimi na waislamu wengi hatushauri kabisa Hospital zisimamiwe na Kundi lolote la IMANI flani.
Kuna makampuni binafsi yana uwezo mkubwa kabisa kufanya kazi hio na kuonyesha ummah kila senti ilivyo tumika.
We toka 1967 mpk leo SERIKALI inamwaga Pesa KWA KANISA . imefikia sasa 36 BILLIONS every month na HAKUNA HESABU YYT YA MATUMIZI KANISA LIMEONYESHA HATA SIKU MOJA.
Hio kweli ni sawa?
KANISA KATOLIKI LIMEIBA PESA AMBAZO IDADI YAKE MUNGU PEKE YAKE NDIO ANAJUA.
Utaisha siku ambayo hakutakuwa na wagonjwa tena Tanzania hivyo hakutakuwa na haja ya hizo hospitali.Sasa kuna Mkataba usio na Mwisho?
Huo mkataba wa TEC na Serikali utaisha lini.
Tuanzie hapo usije kuwa mkataba wa Milele.
Yani tulalamike kisa mnajengewa misikiti? Ndio maana akili zenu ni za kushikiwa. Badala wawajengee vitu vya huduma za kijamii unafurahia majengo kama misikiti? Halafu ukiugua mbio kwa makhafir kutibiwaDp world ameahidi kujenga misikiti na si hospitali Wala shule.
Mtabaki kulalamikia Sana!
Hiyo MOU iliasisiwa na Mwinyi 1992, wakati Bugando, KCMC, nk zilishajengwa kitambo..Wajenge kwani wamepewa mabilioni kama kanisa wanavyopewa?
Wavaa Makobaz ni Vichwa Maji sanaWanaukumbi.
Tunaitaka Serikali ya Tanzania ifute waraka na mkataba haramu kati ya TEC ma Serikali ya Tanzania ambapo Serikali hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi. Fedha hizi hupewa tanzaniaepisco1 kama ruzuku kwa ajili ya Hospitali zao lakini ukweli pesa hizo zinatumika kuipinga serikali na kueneza Injili.
Hili halikubaliki lazima li stop na mkataba huu uvunjwe.
Nchi hii sio mali ya Wakristo kuwa kodi zetu wapewe kundi fulani kujitanua.
Serikali huu mkataba ufutwe.
Mmewalea sana hawa TEC mbali ya 36billion huingiza mamia ya bidhaa kwa misamaha ya kodi na kuuzwa makanisani.
Ni wakati hii dhulma ikaondolewa.
Huo mkataba lini wananchi walishirikishwa na hauna kikomo.
Kawaaambie Ma Bwana zako CCMKundi hatari sana Tanzania.
TEC wanamiliki Armed Forces Commision kinyume na katiba
na Padri Slaa aliwahi kutamka kuwa kuna silaha zinapitia TEC
Hawa wana achiwa sana. Msisahau walichofanya Rwanda
Ndugu zetu katika Mnyaaazi Mna shida sanaMkataba au Memorandum of Understanding kati ya TEC na Serikali unawapa TEC 36 Billion kila mwezi. Nusu ya pesa hizi zinatumika kulipia mishahara na starehe za hawa Ma padre kuji mwambafai.
Hahahahahahahahahahaha yaani nacheka mpaka basi.Waraka umewaibua watu leo.Toa.ya moyoni mzee usije kufa bure na stress za kanisaMoja.
Suala la waislamu individual kuwa na pesa halihusiani na TAASISI YA KIISLAMU YYT.
KANISA KAMA KANISA lina pesa kupita maelezo na vyanzo vyake vyote ni BOGUS.
Mbili.
soma historia uangalie nani aliyebadili System hapa TZ ya kuondoa majina na kuweka na Namba.
Na kwanini aliamua kufanya hivyo.
Tatu. Kuhusu suala la shule za kiislam kutokufanya vizuri.
Kuna kesi majuzi tu ya binti wa kiislam kupewa namba feki ya mitihani na marks zote za namba yake ya halali kupewa MKRISTO.
Hilo suala bado lipo kila kona ktk taifa hili lenye laana.
Wakristo wanakaa vikao chungu nzima kuhakikisha waislamu hawapati nafasi yyt ya maana popote pale.
Iwe mashuleni, mitaani mpk serikalini.
Zikija scholarship Tz mfano 200. Basi KANISA litapewa 150.
Waislamu 20 na 30 zitatangazwa kwa wengine.
Na hizo 20 zitawekewa vikwazo chungu nzima.
Mtu anadhani vikwazo vinatoka nje ya nchi kumbe vimepikwa humu humu na Mfumo kristo.
hio ni chuki isio na faida.
watoto hawa wote ni watanzania. Chuki husababisha vifo vibaya sana.
Ogopeni Mungu
TEC ni ya watanzania na inatoa huduma kwa watanzania.Wanaukumbi.
Tunaitaka Serikali ya Tanzania ifute waraka na mkataba haramu kati ya TEC ma Serikali ya Tanzania ambapo Serikali hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi. Fedha hizi hupewa tanzaniaepisco1 kama ruzuku kwa ajili ya Hospitali zao lakini ukweli pesa hizo zinatumika kuipinga serikali na kueneza Injili.
Hili halikubaliki lazima li stop na mkataba huu uvunjwe.
Nchi hii sio mali ya Wakristo kuwa kodi zetu wapewe kundi fulani kujitanua.
Serikali huu mkataba ufutwe.
Mmewalea sana hawa TEC mbali ya 36billion huingiza mamia ya bidhaa kwa misamaha ya kodi na kuuzwa makanisani.
Ni wakati hii dhulma ikaondolewa.
Huo mkataba lini wananchi walishirikishwa na hauna kikomo.
Kweli bana![emoji16][emoji16]kumbe tunaishi na watu wenye stress zaoHahahahahahahahahahaha yaani nacheka mpaka basi.Waraka umewaibua watu leo.Toa.ya moyoni mzee usije kufa bure na stress za kanisa
tuseme tuu ukweli masheikh wengi hawana akili hata kidogo.
Walishafanya hivyo lakini hakukuwa na mafanikio. Hata kwenye tamko wameeleza. Kasome tenaJE,VIONGOZI WA TEC WALISHINDWA KWENDA KUMUONA RAIS,MPAKA KUTOA AZIMIO?,MAANA KUTOA AZIMIO HUFUATA BAADA HEKIMA ZA MAJADILIANO YA FARAGHA YA KUTAMBUA UKWELI KUSHINDIKANA;-
TUNAUPUNGUFU WA HEKIMA KULINGANISHA NA WAZEE WETU,
-ABRAHAM
-HARUNI
-MUSA.
Hujakosea sana .Kama sijakosea hela haziendi kwa mfumo wa cash. Wanalipa wafanyakazi na dawa. Kama zinapelekwa hela za umma sheria inataka CAG azikague. Kama matumizi yake hayakaguliwi then kuna shida serikalini.