Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Braza ndo maana in simple term chukueni tena.
Hakuna sehemu waislamu tumedai tunataka fungu lolote la pesa kuendesha chochote Tanzania.
Tamko letu ni Kuifahamisha serikali IACHE KUTOA PESA KWA KANISA ambazo zinaliwa na wachache kwa kutumia jina la Yesu.
Serikali itafute kampuni au NGO ambayo itaweza kuulizwa maswali na kuleta hesabu ya matumizi ya pesa zote zinatoka serikalini .

Waislamu hatutaki kubeba dhima . Manake Kesho Wakristo wataona Tunafaidi kumbe sisi pesa ya HARAMU hatuli NI MWIKO KWETU.
Ndio maana sisi kuwa maskini sio kitu cha ajabu.
Mpenda haki ni vigumu sana kutajirika hasa ktk Nchi maskini km Tanzania
 
Basi kwa ushauri mdogo iambir serikali iandae kwanza hospitali za kuchukua wagonjwa wake. Sio kazi ya kanisa kutoa huduma za jamii. Kuna sehemu serikali haina huduma za afya za serikali. Iandae mazingira halafu ichukue jukumu lake. Nasikia hasira kusimangwa na hizo hela za serikali ndo maana najibu kwa shortcut kwamba chukueni hizo hospitali mziendeshe ila kwa nilivyoona uendeshaji wa vitu vya serikali watanzania watalia na kusaga meno.
 
Mtoa mada, angekuwa ame make sense kama angetoa mada hii kabla ya tamko la TEC
Lakini na yeye ni walewale wafia dini kama wenzake wanavyorusha povu humu ndani..
Mara ohoo wagalitia wana roho mbaya
Wanaacha issue ya msingi wanakimbilia kwenye udini shame on u all na ninadhani aliyewaachia hiyo laana alishakufa na yuko motoni sasaivi anaugulia maumivu...
[emoji51][emoji51][emoji51]
mkataba wa DPW unavipengele vibovu .. virekebishwe kwanza then uwekezaji uendelee....
Acheni unafiki..
 
Watu wenye pesa ndefu yaaani wafanyabiashara wengi ni waislamu utasema Wakristo wanapigwa vita na waislamu wasiwe wafanyabiashara?.
Mfumo wa namba upo Duniani nzima hata huko nchi za kiislam na hii ni baada ya maendeleo ya technology kwa maana ya tally binary system.
Na sio umeanzishwa na Malima ili waislamu wasifelishwe.
Hata Sasa mbona wanatumia mfumo wa namba na still shule za kiislam plus ukanda wa pwani bado wapo nyuma,hapo utasemaje
Moja.
Suala la waislamu individual kuwa na pesa halihusiani na TAASISI YA KIISLAMU YYT.

KANISA KAMA KANISA lina pesa kupita maelezo na vyanzo vyake vyote ni BOGUS.

Mbili.
soma historia uangalie nani aliyebadili System hapa TZ ya kuondoa majina na kuweka na Namba.
Na kwanini aliamua kufanya hivyo.

Tatu. Kuhusu suala la shule za kiislam kutokufanya vizuri.
Kuna kesi majuzi tu ya binti wa kiislam kupewa namba feki ya mitihani na marks zote za namba yake ya halali kupewa MKRISTO.

Hilo suala bado lipo kila kona ktk taifa hili lenye laana.
Wakristo wanakaa vikao chungu nzima kuhakikisha waislamu hawapati nafasi yyt ya maana popote pale.
Iwe mashuleni, mitaani mpk serikalini.

Zikija scholarship Tz mfano 200. Basi KANISA litapewa 150.
Waislamu 20 na 30 zitatangazwa kwa wengine.
Na hizo 20 zitawekewa vikwazo chungu nzima.
Mtu anadhani vikwazo vinatoka nje ya nchi kumbe vimepikwa humu humu na Mfumo kristo.

hio ni chuki isio na faida.

watoto hawa wote ni watanzania. Chuki husababisha vifo vibaya sana.
Ogopeni Mungu
 
Basi kwa ushauri mdogo iambir serikali iandae kwanza hospitali za kuchukua wagonjwa wake. Sio kazi ya kanisa kutoa huduma za jamii. Kuna sehemu serikali haina huduma za afya za serikali. Iandae mazingira halafu ichukue jukumu lake. Nasikia hasira kusimangwa na hizo hela za serikali ndo maana najibu kwa shortcut kwamba chukueni hizo hospitali mziendeshe ila kwa nilivyoona uendeshaji wa vitu vya serikali watanzania watalia na kusaga meno.
Suala la kwanza ni serikali kufuta mkabata na KANISA ili Hao walafi watambue kuwa Ule wakati wa WIZI umefika mwisho.

Hata mimi na waislamu wengi hatushauri kabisa Hospital zisimamiwe na Kundi lolote la IMANI flani.

Kuna makampuni binafsi yana uwezo mkubwa kabisa kufanya kazi hio na kuonyesha ummah kila senti ilivyo tumika.

We toka 1967 mpk leo SERIKALI inamwaga Pesa KWA KANISA . imefikia sasa 36 BILLIONS every month na HAKUNA HESABU YYT YA MATUMIZI KANISA LIMEONYESHA HATA SIKU MOJA.

Hio kweli ni sawa?

KANISA KATOLIKI LIMEIBA PESA AMBAZO IDADI YAKE MUNGU PEKE YAKE NDIO ANAJUA.
 
Kama sijakosea hela haziendi kwa mfumo wa cash. Wanalipa wafanyakazi na dawa. Kama zinapelekwa hela za umma sheria inataka CAG azikague. Kama matumizi yake hayakaguliwi then kuna shida serikalini.
 
Sasa kuna Mkataba usio na Mwisho?
Huo mkataba wa TEC na Serikali utaisha lini.

Tuanzie hapo usije kuwa mkataba wa Milele.
Utaisha siku ambayo hakutakuwa na wagonjwa tena Tanzania hivyo hakutakuwa na haja ya hizo hospitali.
 
Dp world ameahidi kujenga misikiti na si hospitali Wala shule.

Mtabaki kulalamikia Sana!
Yani tulalamike kisa mnajengewa misikiti? Ndio maana akili zenu ni za kushikiwa. Badala wawajengee vitu vya huduma za kijamii unafurahia majengo kama misikiti? Halafu ukiugua mbio kwa makhafir kutibiwa
 
Wajenge kwani wamepewa mabilioni kama kanisa wanavyopewa?
Hiyo MOU iliasisiwa na Mwinyi 1992, wakati Bugando, KCMC, nk zilishajengwa kitambo..

Hizo ruzuku ni za kusaidia gharama za uendeshaji kwenye utoaji huduma kwa umma, siyo ujenzi
 
Wanaukumbi.

Tunaitaka Serikali ya Tanzania ifute waraka na mkataba haramu kati ya TEC ma Serikali ya Tanzania ambapo Serikali hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi. Fedha hizi hupewa tanzaniaepisco1 kama ruzuku kwa ajili ya Hospitali zao lakini ukweli pesa hizo zinatumika kuipinga serikali na kueneza Injili.
Hili halikubaliki lazima li stop na mkataba huu uvunjwe.
Nchi hii sio mali ya Wakristo kuwa kodi zetu wapewe kundi fulani kujitanua.
Serikali huu mkataba ufutwe.
Mmewalea sana hawa TEC mbali ya 36billion huingiza mamia ya bidhaa kwa misamaha ya kodi na kuuzwa makanisani.
Ni wakati hii dhulma ikaondolewa.
Huo mkataba lini wananchi walishirikishwa na hauna kikomo.
Wavaa Makobaz ni Vichwa Maji sana
 
Kundi hatari sana Tanzania.
TEC wanamiliki Armed Forces Commision kinyume na katiba
na Padri Slaa aliwahi kutamka kuwa kuna silaha zinapitia TEC
Hawa wana achiwa sana. Msisahau walichofanya Rwanda
Kawaaambie Ma Bwana zako CCM
Hili halituhusu
 
Mkataba au Memorandum of Understanding kati ya TEC na Serikali unawapa TEC 36 Billion kila mwezi. Nusu ya pesa hizi zinatumika kulipia mishahara na starehe za hawa Ma padre kuji mwambafai.
Ndugu zetu katika Mnyaaazi Mna shida sana
 
Moja.
Suala la waislamu individual kuwa na pesa halihusiani na TAASISI YA KIISLAMU YYT.

KANISA KAMA KANISA lina pesa kupita maelezo na vyanzo vyake vyote ni BOGUS.

Mbili.
soma historia uangalie nani aliyebadili System hapa TZ ya kuondoa majina na kuweka na Namba.
Na kwanini aliamua kufanya hivyo.

Tatu. Kuhusu suala la shule za kiislam kutokufanya vizuri.
Kuna kesi majuzi tu ya binti wa kiislam kupewa namba feki ya mitihani na marks zote za namba yake ya halali kupewa MKRISTO.

Hilo suala bado lipo kila kona ktk taifa hili lenye laana.
Wakristo wanakaa vikao chungu nzima kuhakikisha waislamu hawapati nafasi yyt ya maana popote pale.
Iwe mashuleni, mitaani mpk serikalini.

Zikija scholarship Tz mfano 200. Basi KANISA litapewa 150.
Waislamu 20 na 30 zitatangazwa kwa wengine.
Na hizo 20 zitawekewa vikwazo chungu nzima.
Mtu anadhani vikwazo vinatoka nje ya nchi kumbe vimepikwa humu humu na Mfumo kristo.

hio ni chuki isio na faida.

watoto hawa wote ni watanzania. Chuki husababisha vifo vibaya sana.
Ogopeni Mungu
Hahahahahahahahahahaha yaani nacheka mpaka basi.Waraka umewaibua watu leo.Toa.ya moyoni mzee usije kufa bure na stress za kanisa
 
Wanaukumbi.

Tunaitaka Serikali ya Tanzania ifute waraka na mkataba haramu kati ya TEC ma Serikali ya Tanzania ambapo Serikali hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi. Fedha hizi hupewa tanzaniaepisco1 kama ruzuku kwa ajili ya Hospitali zao lakini ukweli pesa hizo zinatumika kuipinga serikali na kueneza Injili.
Hili halikubaliki lazima li stop na mkataba huu uvunjwe.
Nchi hii sio mali ya Wakristo kuwa kodi zetu wapewe kundi fulani kujitanua.
Serikali huu mkataba ufutwe.
Mmewalea sana hawa TEC mbali ya 36billion huingiza mamia ya bidhaa kwa misamaha ya kodi na kuuzwa makanisani.
Ni wakati hii dhulma ikaondolewa.
Huo mkataba lini wananchi walishirikishwa na hauna kikomo.
TEC ni ya watanzania na inatoa huduma kwa watanzania.
DP World watapeleka pesa uarabuni kuwahudumia waarabu. Kama BAKWATA wakipewa mkataba wa kuhudumia watanzania, na wakatoa huduma kwa viwango vinavyohitajika, hakuna tatizo.
 
Hahahahahahahahahahaha yaani nacheka mpaka basi.Waraka umewaibua watu leo.Toa.ya moyoni mzee usije kufa bure na stress za kanisa
Kweli bana![emoji16][emoji16]kumbe tunaishi na watu wenye stress zao
Leo ndo wamepata pa kuzitolea ni Bora tuwajue....
 
Hapa kwenye hospitali ya st Fransis ifakara (Mali ya kanisa) kuna wafanyakazi walioajiriwa na serekali na wapo walioajiriwa na kanisa. Serekali inawalipa waajiri wake na kanisa pia inawalipa wale ilio waajiri wao. Na haya ni makubaliana ambayo yapo kati ya kanisa na serekali.
Kama nitakuwa nipo sahihi makubaliano hayo MoU yaliongozwa na Dr Slaa wakati huo alikuwa rais wa baraza la maaskofu wa kanisa katoliki.
Ikimbukwe serekali ilikuwa imetaifisha mali za kanisa ikiwepo mashule na hospitali. Kwenye makubaliano hayo mali zote zilirudishwa kwa kanisa. Kwa hiyo serekali inasaidia kanisa kwenye kutoa huduma kwa jamii.
Kwa hiuo ndugu yangu Ritz Huna hoja zaidi ya mihemko na umbea.
 
JE,VIONGOZI WA TEC WALISHINDWA KWENDA KUMUONA RAIS,MPAKA KUTOA AZIMIO?,MAANA KUTOA AZIMIO HUFUATA BAADA HEKIMA ZA MAJADILIANO YA FARAGHA YA KUTAMBUA UKWELI KUSHINDIKANA;-
TUNAUPUNGUFU WA HEKIMA KULINGANISHA NA WAZEE WETU,
-ABRAHAM
-HARUNI
-MUSA.
Walishafanya hivyo lakini hakukuwa na mafanikio. Hata kwenye tamko wameeleza. Kasome tena
 
Kama sijakosea hela haziendi kwa mfumo wa cash. Wanalipa wafanyakazi na dawa. Kama zinapelekwa hela za umma sheria inataka CAG azikague. Kama matumizi yake hayakaguliwi then kuna shida serikalini.
Hujakosea sana .
Pesa inatoka serikalini inakwenda Na Kukaa chini ya KANISA KATOLIKI.
Vipi wanatumia hio BILLION 36 KWA MWEZI Hakuna anaejua mpk leo zaidi ya hao viongozi wa KANISA.
Hakuna ripoti ya CAG kwenye matumizi yyt ya PESA WANAZOPEWA KANISA LOLOTE.

Hata wakati wa magufuli mzee alisema anataka hesabu akashambuliwa sana na wakuu wa makanisa wakidai hawezi kupekuwa institutions za Dini ambazo hazilipi Kodi, akaitishwa na waliomtisha akakaa kimya.
BAKWATA siku zote wakipewa hata milion 5 lazima waonyeshe imeenda wapi la sivyo ofisi yao itapigwa moto.
Waislamu hatutaki mchezo.
Tende tu zikija za sadaka lzm waseme zimekuja ngapi na wamegawa vipi.

Kwahio KANISA KATOLIKI Miaka yote linapopewa pesa kutoka serikalini hakuna mtu yyt amewahi kukoma kutaka kuhakiki matumizi yake.

Huo ndio uhalisia na ndio hicho tunacho kataa sisi wananchi wenye kuipenda nchi hii.
Na mzalendo yyt lazima aone kuwa hio sio sawa hata siku moja.
 
Back
Top Bottom