Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Uko sahihi hata Mimi hiyo MoU Nataka mara moja isitishwe.
Lakini pia Chuo cha Tanesco Morogoro kirudishwe serikalini mara moja maana kimejengwa Kwa Kodi za watu wa dini zote.
 
Hamna kusaidiawa watu wanatibiwa kwa pesa zao. Unaandika gazeti lote la nini hojo ni hii jibu.

Lini wananchi walishirikishwa mkataba kati ya TEC na Serikali, hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi.?
 
Mngeacha kusomea na kutibiwa kwenye hizo tasisi za kikrsto kama hakushirikishwa,sasa mnataka mshirikishwe wakata mnamiliki misikiti tu? Nan anaenda kutibiwa msikitini? Jengeni hospitali kama ya Bugando muone kama serikali haitawafuata.
 
Inachokifanya TEC kwenye tamko lake na maagizo yake kuwa makanisa yote yasome waraka ule leo kwenye misa zao huko makanisani maana yake ni kuwa wamejipanga kuleta uchochezi kwa staili ile ile ya Rwanda. Wanachochea watu kwenye mambo ambayo tayari mamlaka za kisheria zimeshayapitisha kwa kufuata utaratibu ili kutokee machafuko kama wakivyoyaratibu huko Rwanda miaka hiyo.
 
Hamna kusaidiawa watu wanatibiwa kwa pesa zao. Unaandika gazeti lote la nini hojo ni hii jibu.

Lini wananchi walishirikishwa mkataba kati ya TEC na Serikali, hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi.?
Endelea kulala hapo kwenye mkeka .. !!
 
Ujinga... Umeusoma waraka ukajua yaliyomo? Acha ujinga... Maaskofu sio shortsighted namna hiyo.
 
Uko sahihi hata Mimi hiyo MoU Nataka mara moja isitishwe.
Lakini pia Chuo cha Tanesco Morogoro kirudishwe serikalini mara moja maana kimejengwa Kwa Kodi za watu wa dini zote.
100%

Hatutaki taasisi za kidini ziwe tegemezi kwa serikali.
 
Mamlaka gani ya Kisheria imeyapitisha? Au unaongelea Mahakama iliyosema haina uwezo wa kuingilia Bunge? Mahakama iliyosema mkataba Una vifungu vinashangaza na havieleweki, na kwamba Tanzania imeingia mkataba na mbia asiye na hadhi lakini bado haiwezi kusema chochote maana Bunge ni kubwa kuliko mahakama. Hiyo ndo mamlaka unayotambia?
 
Nawaambia ukweli,hizi Shule zisingechuliwa na serikali,msingeingia hata humu JF kuandika utumbo,mngesoma wapi?
 
Mngeacha kusomea na kutibiwa kwenye hizo tasisi za kikrsto kama hakushirikishwa,sasa mnataka mshirikishwe wakata mnamiliki misikiti tu? Nan anaenda kutibiwa msikitini? Jengeni hospitali kama ya Bugando muone kama serikali haitawafuata.
Usiwe punguanil TEC wanasema wananchi hawakushirikishwa mkataba na DP sababu ni fedha za umma zinatumika lakini mkataba wa makanisa na Serikali kuwapa pesa za umma mapadre utaki wananchi washirikishwe kisa maparoko wanalipwa mishahara jingq kabisa wewe.
 
Bunge.
 
100%

Hatutaki taasisi za kidini ziwe tegemezi kwa serikali.
Sahihi kabisa.
Pale Morogoro Ada za wanafunzi waliosoma pale mpaka Leo zinafaidisha dini moja tu wakati hawajaongeza hata jengo moja pale. Yaani wao walichoongeza ni maandishi ya jina la chuo na Moto wa chuo. Hili halikubaliki Mama. Kwanza pale bado kuna miundombinu mingi ya Shirika la Umma pamoja na vifaa vya kujifunzia. Kama madhehebu mengine yamejenga shule na vyuo vyao, wao ni Nani wapewe bure Majengo na ardhi?
 
Najiuliza hivi BAKWATA nao wakitoka hadharani na wakatoa waraka kuwa mkataba ule ni sawa na wakaagiza usomwe kwenye misikiti yote nchini , je? Nini kitatokea? Au TEC wanadhani hatuna akili za kujua kuwa walichofanya kanisa katoliki Rwanda ndiyo wanachotaka kukifanya Tanzania?
 
Soma waraka wenyewe kwanza.. usijenge reli angani !!
 
Kama wanyo MoU ifutwe hata leo. Soma kichwa cha habari.

Hakuna kuendelea kunyonyeshwa. Taasisi za kidini zote zijitegemee zenyewe.

Hayo mengine ni porojo zako tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…