Mfwalamanyambi
JF-Expert Member
- Dec 18, 2010
- 433
- 102
Buy The time wankubaliana serikali ilikuwa hoi ktk maendeleo ya nchi......asilimia kubwa ya shule na hospital za rufaa, vituo vya mayatima, vituo vya kutibu vilema, etc vilikuwa chini ya makanisa...ki msingi nchi ilikuwa inatunza na makanisa. Sijui unajiuliza unakoabudu kwanini wamekosa kitu km hii... pengine walikuwa busy kogombania pa kuabudia, busy kutafuta darubini bora ya kutafuta angallau chembe au hata harufu ya watu wa imani yao ktk mapambano ya uhuru. so sasa ni km wewe hapa upo busy kujenga misingi ya kudai kuwa kanisa ndilo linaongoza nchi.by the way kizazi cha kesho kitakuwa kinakulaumu kuwa ulikuwa busy for nothing kwani gap linazidi kukua.wenzenu wanajituma ktk haki na usawa. WELL..USISAHAU WAHIMIZA WENZIO WAKATOE SHUKRANI KWA MAKANISA KWA NILITOYATAJA HAPO JUU.zaidi ya kujificha ktk idea duni kuwa kuna ubaguzi.By the way nasikia BABU naye ana makubaliano na serikali bila maandishi kuhusu usalama wake na kuchukua idara ya AFYA..WHACHI YU SEI?P.:tongue: :smash:Sitaki kuamini hili lakini uvumi huu umeeneea sana kiasi cha kwamba umenifanya niwe na shauku kutaka kujua yaliyojiri kwenye kusign hiyo memorandum maana naona kwa taarifa nilizokuwa nazo malalamishi ni kuwa serikali imeipa CCT na TEC nguvu kubwa ajabu na matokeo yake leo watu watu wanaanza kulalama kwa nini serikali haiipi nguvu hizo NGO zingine kama walivopewa na serikali. Na under this memorandum seriali inatoa nafasi za kazi kwa Church candidates kwenye chuo chake cha Teachers Training College
Mfano kuna kipengele kinasema hivi:
Hakuna ubaya hata kidogo kwa serikali kusign hii memorandum lakini nataka kujiuliza je ni sawa serikali kufanya agreements kama hizi na taasisi za kidnini? na Je imefanya gareement kama hii na taasisi za Kisslam au wahindu au ni Kanisa tu ndio walifanya nao? Je hamuoni hapo mambo ya bilateral negotiations wakaachiwa wataalam wa mambo hayo?
You got it. Do you see how blind are you. Nilisha weka maeleza ya hiyo. lol
Serikali iepuke Negotiations za namna hii zinatia wasiwasi. Kwa nini iwe Kanisa peke yake? Memorandum ya namna hii ihusishe Dini na madhehebu mengine. Serikali inaongoza wananchi siyo Kanisa. MoU ya Serikali ni kwa manufaa ya nchi siyo Kanisa. Serikali yetu haina Dini ila watu wake wana Dini, wakipewa madaraka ya serikali wasi assume dogma za Dini zao.Kufanya hivyo ni kukaribisha mkanganyiko wa kisiasa, kiitikadi, kifalsafa na kiutawala.Wenye nchi mpo!
Hapa kanisa linaformulate education policies....ndio christinization of education system hilo ambalo naona wakristo wamezoea "Kupendelewa"..they cannot stand alone..lazima fedha za umma wote zitumike kuendeleza taasisi za kikristo hii imekaaje?
Sitaki kuamini hili lakini uvumi huu umeeneea sana kiasi cha kwamba umenifanya niwe na shauku kutaka kujua yaliyojiri kwenye kusign hiyo memorandum maana naona kwa taarifa nilizokuwa nazo malalamishi ni kuwa serikali imeipa CCT na TEC nguvu kubwa ajabu na matokeo yake leo watu watu wanaanza kulalama kwa nini serikali haiipi nguvu hizo NGO zingine kama walivopewa na serikali. Na under this memorandum seriali inatoa nafasi za kazi kwa Church candidates kwenye chuo chake cha Teachers Training College
Mfano kuna kipengele kinasema hivi:
Hakuna ubaya hata kidogo kwa serikali kusign hii memorandum lakini nataka kujiuliza je ni sawa serikali kufanya agreements kama hizi na taasisi za kidnini? na Je imefanya gareement kama hii na taasisi za Kisslam au wahindu au ni Kanisa tu ndio walifanya nao? Je hamuoni hapo mambo ya bilateral negotiations wakaachiwa wataalam wa mambo hayo?
To strengthen their social services sector, the two Church bodies that is the Protestants under the Christian Council of Tanzania (CCT) and the Catholics under the Tanzania Episcopal Conference (TEC), in 1992 assisted by the German partner Churches negotiated a "Memorandum of Understanding" with the Tanzania government. In this memorandum the government recognized the important role played by the Churches in the social services sector of the country, pledged to help the Churches by sharing with them grants from foreign government and promised never to nationalize the church institutions again. The "Memorandum of Understanding" authorized the forming of the "Christian Social Services Commission"(CSSC). TEC and CCT are each represented by the General Secretary and four bishops. The Commission has two executive organs, the Christian Medical Board of Tanzania (CMBT) and the Christian Education Board of Tanzania (CEBT) for health and education respectively. This commission formulates common policies for the Education and medical Services of the Churches and negotiates with the Tanzania government in the name of the churches. The two executive organs run common programs. The churches together run more than 50% of the Medical Services and secondary schools in the country.
Former President, Alli Hassan Mwinyi is in a better position to answer your question. Likewise, Benjamin Mkapa can tell us what really happened to the TANESCO College in Morogoro.
Edward Lowassa ndiye aliyesign hii Memorandum of Understanding kati ya Kanisa na serikali
Ni kweli Edward Lowassa alisign MoU.