Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Soma vizuri hii MOU ya Kanisa na Serikali ili uielewe vizuri. Hii ni tofauti kabisa na hizo unazosema wewe. Lazima ujue serikali ya TZ NDIYO inayofunds hii MOU na Kanisa.
Kwa mujibu wa Katiba, serikali ilitakiwa isiwe na upendeleo wowote ktk masuala ya dini. Sasa huoni kama Katiba ya nchi imevunjwa?
 
Tatizo siyo utolewaji wa hizo huduma. Tatizo hizo huduma zinahudumiwa na fedha ya serikali, sasa kama ni za public kwa nini ziwe za upande mmoja tu?

Serikali ilipotoa mali ya umma (majengo ya Tanesco Morogoro) ili kutoa kwa ajili ya kuanzisha specifically chuo kikuu cha Waislamu ilivunja Katiba?
 
Umeulizwa kuhusu TANESCO morogoro, hebu tuambie kama katiba haijavunjwa hapo pia.
 
In comparison, issue ya chuo cha Morogoro ni ndogo sana kulinganisha na hii MOU. Hii MOU na Kanisa, ni payments ambazo zinatolewa kila mwaka na serikali. Sasa hizi institutions zote zinaendeshwa na serikali, kisheria Katiba imevunjwa. Katiba ya nchi inataka serikali isijuhusishe na upendeleo wowote na taasisi yoyote ya kidini. Sasa unajua TZ kuna dini ngapi? je hizo taasisi zengine zinalipwa na serikali sawa na hii MOU?
 
Ndugu yangu Haki,
Nakushauri tu kwa nia njema kama nawe una nia njema ya kuelimisha na siyo kupotosha jamii basi fanya yafuatayo ili uchangie vizuri huu mjadala:
1. Jielimishe kuhusu PPP
2. Jielimishe kuhusu muktadha wa uchangiaji maendeleo kwa maana ya michango ya taasis zisizo za kiserikali katika maendeleo
3. Utendaji na wajibu wa serikali katika kuweka mazingira mazuri ( enabling environment) kwa wadau wa maendeleo ili kuhudumia wananchi
4. Fafanuzi mbalimbali/Definitions - UBAGUZI, UKIUKWAJI WA SHERIA NA KATIBA,MoU etc
 
Serikali ilipotoa mali ya umma (majengo ya Tanesco Morogoro) ili kutoa kwa ajili ya kuanzisha specifically chuo kikuu cha Waislamu ilivunja Katiba?

In comparison na hii MOU, ni sawa na Sisimizi na Tembo. Je serikali imevunja sheria kuwapa Waislamu chuo? Kwa nini serikali ilifanya hivyo?
Serikali imejua imefanya makosa kusagn hii MOU, sasa wamewapa Waislam kama kuwatuliza makeke yao. Hapa serikali imetumia so called Affirmative Action kusolve hii issue. Lakini, in comparison, ni sawa na Sisimizi na Tembo
 
Hivi hao Aga Khan mlioweka hapo juu na wale Hospital ya Apollo na wao wanalipwa na Serikali kama Catholics waliotajwa post #1?
 
Uislam wa kudandia unakuponza. Hivi unajua unajiabisha kwa kuandika usiyoyajua. Chuo kikuu cha waislam pale Moro nani alijenga?Nani alijenga hospitali teule?Nani wanatibiwa kathka hospitali hizo? Nani wanasoma katika vyuo na shule hizo?
 
Hapa umeshindwa kujibu kihoja. Swali ninalouliza ni, je serikali inatoa hizo funds sawa sawa kihaki ktk Taasisi zengine pia?
 
this is an answer i was intending to provide....thnx so much
 
Uislam wa kudandia unakuponza. Hivi unajua unajiabisha kwa kuandika usiyoyajua. Chuo kikuu cha waislam pale Moro nani alijenga?Nani alijenga hospitali teule?Nani wanatibiwa kathka hospitali hizo? Nani wanasoma katika vyuo na shule hizo?

Besides Katiba, in comparison, hii MOU serikali na Kanisa, ni sawa na Chuo cha Moro?
Jibu ni sawa na Sisimizi (Chuo) na Tembo (MOU na Kanisa).
 
Kwa haya ya Kanisa wale wanaoiponda Serikali ya CCM siku zote leo nawaona wanaitetea! mambo mazuri sana haya. Kumbeee! janja yake panya mimi kwisa tambua.
 
Issue uliyoleta ni kuhusu ukiukwaji wa katiba kwa serikali . . Kwa njia yoyote ile . . . Itatoa mali yake kuipa taasisi isiyokuwa ya kiserikali hapa ikiwa kanisa a.Sasa, kanisa kwa mujibu wako linapewa fedha na selikali kwa matumizi ya huduma za afya na elimu kwa jamii - kumbuka hospitali kama Peramiho au KCMC.Waislam - (msikiti) wakapewa majengo ya serikali kwa matumizi yao biwmafsi. . . Chuo cha kiislam. Unataka kusema katiba imevunjwa zaidi wapi?
 
mi siijui vema katiba unaweza ukanisaidia kwa Alhaji Mwinyi kusaini MoU na makanisa alivunja kipengele kipi cha katiba?
 
Wale wanaoiponda Serikali ya CCM siku zote kwa hili wanaisifu na hata Lowassa kawa mwema. Na mwinyi ndio mwema sana kwao. Jee, hili ndilo linamfanya Mwinyi apendwe? Na jee hili ni moja katika mambo yaliopelekea akazabwa kibao Diamond?
 
Kwa haya ya Kanisa wale wanaoiponda Serikali ya CCM siku zote leo nawaona wanaitetea! mambo mazuri sana haya. Kumbeee! janja yake panya mimi kwisa tambua.
Kanisa lilinyang'anywa shule na hospitali zake enzi za nyerere mkatoliki,Nyie mlinyang'anywa nini?
 
Hivi unajua serikali inalipa kiasi gani wanafunzi wanaoenda kusoma MUM pale Morogoro? As a matter of fact kiasi kikubwa cha fedha zinazoendesha MUM ni kutokana na fedha na fedha za serikali kwa wanafunzi wanaosoma pale.
 
Mawaziri wengi wa TZ ndiyo wanasign hii mikataba. Kuhusu Rais kuridhia, lazima ujue Rais anashauriwa na mawaziri wake.

Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haimlazimishi rais kukubali ushauri. Rais anashauriwa na balaza la mawaziri, lakini halazimiki kufuata ushauri wa yeyote, anachoafikiana nacho ndicho kinachotekelezwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…