Hizi dini za wazungu na waarabu hizi!
Kwa hiyo kaka unataka serikali itufanyie nini waislamu?In comparison, Chuo cha Moro na hii MOU na Kanisa ni sawa na "Sisimizi na Tembo."
Sawa.Sitashangaa utaniambia sababu ya kufeli kwa shule zetu kuwa tunaonewa na NECTA kuna wakristo wengi, basi na sisi tuunde baraza letu la mitihani ambalo litahihisha mitihani ya Waislam tu ili kuwepo na uwiano sawa.Umejipachika ID jina la Kiislaam uonekane Muislaam. Janja yake panya...
Unajua tatizo lipo kubwa sana kwa viongozi wetu ambao hawajui sheria za nchi. Wanavunja Katiba ya nchi kwa ujinga wao.
Misaada siyo loans. Mbona unachanganya mambo?Unajua kwamba hiyo misaada ni loans? na unajua kwamba ni our taxes ndiyo inayolipa hiyo interest rate ktk hizo loans.
Sasa mpaka nacheka hapa! hivi ingekuwaje kama yale majengo wangepewa wakristo? waislamu tungesemaje?mimi ninadhani kitendo cha kutoa Majengo ya serikali kule Morogoro ilikuwa ni CALCULATED MOVE YA KUWANYAMAZISHA WAISLAMU!, ili Waislamu wakipiga kelele kuhusiana na Mou waambiwe mbona na nyinyi mlipewa Majengo ya Tanesco?.
...
..mimi ninadhani kitendo cha kutoa Majengo ya serikali kule Morogoro ilikuwa ni CALCULATED MOVE YA KUWANYAMAZISHA WAISLAMU!, ili Waislamu wakipiga kelele kuhusiana na Mou waambiwe mbona na nyinyi mlipewa Majengo ya Tanesco?.
Mhh sasa tunajiabisha ndugu zangu,kujenga shule zetu laizma tuwe na MoU? jamani jamani muogopeni Mungu.Tuseme ukweli dada Faizah ni wapi umeona serikali imewajengea wakristo shule au chuo? nimewashuhudia wakristo wakifanya fundrising ya kujenga shule zao,sisi tunafanya fundrising ya kumtoa mwali
Unakubaliana na mimi Serikali imevunja katiba kwa kutoa majengo ya kwa ajili ya chuo chetu Morogoro?
Kwa hiyo kaka unataka serikali itufanyie nini waislamu?
Sasa mpaka nacheka hapa! hivi ingekuwaje kama yale majengo wangepewa wakristo? waislamu tungesemaje?
nimekupata mkuu, ni kweli kwamba kipindi hicho rais alikua muislam na ndio sababu kanisa likaona nivyema kusign MoA ili kujihakikisha taasisi zake zinaendelea kupata ruzuku toka serikalini. Hapa ina mana kipindi cha nyerere walikua wanajichotea tu. Ukweli ndio huo.Tatizo ni kwanini Serikali imeingia makubaliano na Kanisa; kwa maoni ya watu inaonesha kuwa Serikali inapendelea makanisa. Kwa baadhi ya watu haijalishi kama mambo ya MoU ni ya kawaida au haijalishi kama serikali inafanya hivyo kwa taasisi nyingine hata ziwe za Kihindu au Kiislamu au mashirika mengine yasiyo ya kiserikali. Haijalishi. Tatizo ni kuwa kanisa limeingai makubaliano hayo. Na utaona kuwa watu hawataki kuangalia kabisa kuwa ilipofanyika Rais alikuwa ni Muislamu - hata hilo halijalishi. Kuna msemo kwamba ni kujaribu kutengeneza kimbunga kwenye kikombe cha chai!
Jibu kama serikali ilivunja katiba, mbona wazunguka?In comparison, issue ya chuo cha Morogoro ni ndogo sana kulinganisha na hii MOU. Hii MOU na Kanisa, ni payments ambazo zinatolewa kila mwaka na serikali. Sasa hizi institutions zote zinaendeshwa na serikali, kisheria Katiba imevunjwa. Katiba ya nchi inataka serikali isijuhusishe na upendeleo wowote na taasisi yoyote ya kidini. Sasa unajua TZ kuna dini ngapi? je hizo taasisi zengine zinalipwa na serikali sawa na hii MOU?
MoU muwe nayo kwa madrasa mnayofundisha watoto wenu kuwa bitter? Makanisa yalikuwa na mahospitali na mashule yasiyo ya kibaguzi ndio maana kukawa na ulazima wa MOU, n mark u; afya na elimu dunia ni wajibu wa serikali kuprovide kwa wananchi wake, kama makanisa yanasaidia lazima kuwe na understanding ili kulinda haki za pande mbili, pia majukumu ya kila pande yaainishwe!Sasa ukitaka kupima kweli serikali inapendelea makanisa, nyie waislamu anzisheni vyuo na mahospitali visiwe vya kibaguzi muone kama serikali haitawapa shavu. Ila sidhani kwa visadaka vyenu vya sh 50 mtaweza! MOU ni kiuendeshaji si uanzishaji wa projects!Waislaam wayatowe wapi wakati wao hawana MoU na serikali?
Muislamu ni kioo cha muislamu mwenziwe akiona aibu jambo baya kwa mwenziwe amweleze.Kwa tafsiri yako kweli sio muislamuacha kudanganya umma, wewe sio muislaam.
Na Aga Khan wanapeleka hesabu zao wapi? Iran?Natetea hoja yangu, siyo serikali ya CCM.