Serikali kutegemea Taasisi ya kidini kutoa huduma ni hoja dhaifu, infact serikali haitakiwi kuvunja katiba inapofanya mambo yake!
mimi ninadhani kitendo cha kutoa Majengo ya serikali kule Morogoro ilikuwa ni CALCULATED MOVE YA KUWANYAMAZISHA WAISLAMU!, ili Waislamu wakipiga kelele kuhusiana na Mou waambiwe mbona na nyinyi mlipewa Majengo ya Tanesco?.
Kiufupi ukilinganisha Mou ile na majengo ni sawa na kulinganisha ALMASI kwa PIPI!.
tulikataa kujiunga na OIC kwa sababu ya kulinda katiba, na tunafahamu ndani ya OIC tungepata manufaa kibao ya kiuchumi kupitia opportunities za kibiashara, kidiplomasia, Elimu, Mikopo, Misaada, Afya n.k. lakini tuliamua KULINDA KATIBA JUU YA MANUFAA HAYA YOTE. sasa swali linakuja je ilikuwaje Serikali ikavunja katiba kwa Kusaini Mou inayodelegate Serikali kuingia bileteral negotiations kwa manufaa ya kanisa(rejea kipengele kwenye ile Mou cha serikali kuliombea kanisa misaada nje ya nchi hususana nchi ya Ujerumani)