Mkuu makelele yote haya na obsession zote hizi kumbe unalipa kodi kidogo namna hiyo, yaani in a tune of Tshs 30,000 a month? Halafu hiyo hoja yako kuhusu Bakhressa ni upotoshaji kwa sababu wafanyabiashara technically hawalipi kodi bali wanaisaidia serikali kukusanya kodi same hata kwa waajiri mnanegotiate mshahara say $50,000.00 a year. Deal done kila mwisho wa mwezi yeye muajiri anamsaidia serikali kukusanya kodi yake kutoka huo mshahara wako. Sasa unapokuja na hiyo fihure kuhusu Bakhressa weka ikiwa imechambuliwa VAT ngapi? Capital gains Tax ngapi? Income tax, import taxes whateva kiasi gani?
Besides mwaka wa fedha 2009/2010 wafanyakazi wa Barrick pekee walichangia kodi in a tune of Tshs 2.6 Billion kutoka Pay as you earn (PAYE), almost mara mbili ya hiyo Bakhressa aliyoisaidia serikali kukusanya. Na hiyo ni direct kutoka mishahara yao.
Umeongelea sana MoU kwa hamaki, mihemko na hamasa lakini umeishia kuzungumzia ooh kanisa linapewa Bil. 91 kwa mwezi as if kuna mgao say katoliki bilioni 5. KKKT Bil.2., Angican bilion 1 etc. Go find the details kabla ya kutuhumu. Na ukitumia theorem ya 80/20 % u can easily find where does most of the moneys go?????????? Otherwise utaendelea kurukaruka humu JF weeeeeee bila kusaidia kuondoa the so called dhuluma unayoihubiri kila siku. Devil is in the details go get them.