Mwita,
Serikali ya Mkapa, Mwinyi na Kikwete inaitwa THE GOVERNMENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA. Hivyo haijalishi aliyeko madarakani kwani akirejea hadidu rejea za serikali ataona maamuzi ya serikali. Sasa kuna watu wanajifanya wao ndio wanaserikali. Waacheni wajibu walikataa vp MoU ya akina sheikh ponda? Mnasahau nyie kama urais ni mfumo na sio mtu. Anaweza kuwa mtu ni mwislamu lakini mfumo kristo unamzunguka. Mfano Obama ni mtu anapenda usawa (socialist) ila amezungukwa mfumo dume wa kibepari na hatoki kwa hilo.
Kweli mkuu,
Zaidi hawa jamaa ni wanasiasa, wanasiasa wanapenda madaraka (siyo haki), madaraka ya Tanzania yanapatikana kwa christian lobbyist group ambayo ilipewa nguvu for almost 24 yrs of nyerere..ndio maana kina Mkandara (wanasiasa) lazima wawe karibu na wenye kuweza kuwapa madaraka..of course kina obama pia..
JK ametusaidia japo kidogo kuweka hii taarifa za MoU hadharani ilikuwa siri kubwa sana (mfumo kristo)..wakati fulani before 2005 nilikuwa najadiliana na jamaa zangu pale UDSM walikataa kata kata kuwepo kwa MoU..sasa hivi wamebadiliki...
Wanasema tunatoa huduma kwa wote..nikasema hawa jamaa wamesahau kuwa walisema hakuna hila hiyo ya MoU?