Nyambala
JF-Expert Member
- Oct 10, 2007
- 4,465
- 1,171
Wakuu sasa mmeishiwa na hoja..
Vyuo vinavyotoa diploma na cheti waislamu viko vingi sana ...
Tunaongelea vyuo mushrooms after 1992 MoU mlipopata pesa za umma na kodi zetu..
Wewe ndiyo umeishiwa hoja , unalikumbuka swali lako lakini?
By Topical![]()
Before 1992 MoU nitajie chuo kikuu kimoja cha kikristo Tanzania?
Before 1992 MoU nitajie hospitali moja ya kikristo Tanzania? usinitajie Bugando, wala KCMC kwasababu zote zilijengwa na serikali ya mkoloni, unajua serikali maana yake ni kodi za watanzania wote..
Acha hizo nyie mkiiba seriaklini si juhudi hiyo hakuna tofauti na RA na EL
Ngoja nikuongezee na hospitali kabla ya so called MoU, kulikuwa na Itete Hospital, Igogwe Hospital, Mbozi mission hospital, Ilembula hospital kumbuka hospitali zote hizi hakuna hata hospitali ya wilaya moja ya Dar es Salaamiliyoweza enzi zile na hata leo kufanana nazo kwa majengo, huduma bora. On top of that hospital hizi pia zilikuwa na vyuo vya manesi. Tatizo naloliona pia kwako na mashabiki wa MS ni ufinyu mlionao kuhusu jiografia ya Tanganyika.
