Topical said:Kwanini vya wakristo vipewe ruzuku? (udini)
Topical,
..kwanini Waislamu nao wamepewa majengo bure waanzishe chuo kikuu? Je huo sio udini?
..kwanini serikali ikajihusisha na suala la kuwasaidia Waislamu waliokwama kwenda Hijja? Je, huo sio udini?
..kwanini serikali inakaa pamoja na Mashekhe kujadiliana kuhusu kuanzishwa kwa mahakama ya Kadhi? Je, huo nao udini?
..kwanini Raisi anawaambia Waislamu waandike MOU yao wampelekee atasaini. Je, huo sio udini?