Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Mwita,

Serikali ya Mkapa, Mwinyi na Kikwete inaitwa THE GOVERNMENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA. Hivyo haijalishi aliyeko madarakani kwani akirejea hadidu rejea za serikali ataona maamuzi ya serikali. Sasa kuna watu wanajifanya wao ndio wanaserikali. Waacheni wajibu walikataa vp MoU ya akina sheikh ponda? Mnasahau nyie kama urais ni mfumo na sio mtu. Anaweza kuwa mtu ni mwislamu lakini mfumo kristo unamzunguka. Mfano Obama ni mtu anapenda usawa (socialist) ila amezungukwa mfumo dume wa kibepari na hatoki kwa hilo.

Kweli mkuu,

Zaidi hawa jamaa ni wanasiasa, wanasiasa wanapenda madaraka (siyo haki), madaraka ya Tanzania yanapatikana kwa christian lobbyist group ambayo ilipewa nguvu for almost 24 yrs of nyerere..ndio maana kina Mkandara (wanasiasa) lazima wawe karibu na wenye kuweza kuwapa madaraka..of course kina obama pia..

JK ametusaidia japo kidogo kuweka hii taarifa za MoU hadharani ilikuwa siri kubwa sana (mfumo kristo)..wakati fulani before 2005 nilikuwa najadiliana na jamaa zangu pale UDSM walikataa kata kata kuwepo kwa MoU..sasa hivi wamebadiliki...

Wanasema tunatoa huduma kwa wote..nikasema hawa jamaa wamesahau kuwa walisema hakuna hila hiyo ya MoU?
 
Mwita,

Serikali ya Mkapa, Mwinyi na Kikwete inaitwa THE GOVERNMENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA. Hivyo haijalishi aliyeko madarakani kwani akirejea hadidu rejea za serikali ataona maamuzi ya serikali. Sasa kuna watu wanajifanya wao ndio wanaserikali. Waacheni wajibu walikataa vp MoU ya akina sheikh ponda? Mnasahau nyie kama urais ni mfumo na sio mtu. Anaweza kuwa mtu ni mwislamu lakini mfumo kristo unamzunguka. Mfano Obama ni mtu anapenda usawa (socialist) ila amezungukwa mfumo dume wa kibepari na hatoki kwa hilo.

Hata kama urais sio mtu ni mfumo lakini yupo rais ambaye ndiye anatoa vision na Kiongozi. Mbona Health plan ya kisocialist ya Obama imepitishwa.?

Hilo La MoU ya Sheikh Ponda umaebiwa iweke hapa tuione. Na je alipata coslutancy kwa mwanasheria gani ili iandikwe kwa vigezo ambvyo havikiuki katiba ya JMT.

Weka Hapa Hiyo MoU ya Ponda iliyokataliwa tuliganishe na ya hiyo ya Kanisa tuone.

kama jina lilivyo Memorundum of understanding ni kitu muhimu ili pande mbili au tatu au nne zinapotakiwa kufanay kazi kwa pamoja zikubaline wajibu na majukumu y kila upande ni nini?
 
Hivi ni serilkali iliyokwenda kwa kanisa kuomba kutumia vitu (facilities) vya kanisa au ni kanisa likwenda kwa serikali kuiomba serikali itumie vitu vya kanisa? Kama kuna Hospitali ni Kanisa linakwenda kuomba serikalini hospitali yao ifanywe teule au serikali inaliomba kanisa kuifanya Hospitali ya kanisa iwe teule?

Nauliza tuu??

Mwaka 1992 waka MoU inaandikwa rais wa nchi siyo alikuwa ni Alhaji Ally Hassani Mwinyi? Nauliza tu jamani.

Urais ni mfumo na ndio mfumo huo waislamu wanaupigia kelele kwakuwa ni mfumo kristo. Isitoshe MoU imesigniwa na Lowassa who happened to have a bunch of corruption allegation (Kuanzia AICC, Richmonduli, Ardhi, Kijumba cha London, EPA, Maji etc.) na kuandaliwa na Dr Mahalu ambaye ana kashfa ya Bilioni 1 ya ujenzi wa balozi kule Italy.
 
Hata kama urais sio mtu ni mfumo lakini yup arais ambaye ndiye anatoa vision na Kiongozi. Mbona Health plan ya kisocialist ya obama imepitishwa.?

Hilo La MoU ya Sheikh Ponda umebiwa iweke hapa tuione. Na je aliata coslutancy kw amwanasheria gani ili iandikwe kwa viegzo aabvyo havikiuki katiba ya JMT.

Weka Hapa Hiyo MoU ya Ponda iliyokataliwa tuliganishe na ya hiyo ya Kanisa tuone.

wewe ni serikali?

Mkuu hata kama una dharau kwa waislamu usifikie kiwango hicho tafadhali..

Yaani waislam watashindwa kuandika MoU yenye standard za kukubalika na serikali (big joke)

Basi watashindwa kuchungulia hiyo ya kanisa iliyopo (kudesa)????

Serikali imekataa ombi la waislamu kama ambavyo imekataa ombi la mahakama ya kadhi, kama ambavyo imekataa ombi la kujiunga na OIC..maaskofu wamekataa..(wanaendesha nchi wakisema inakuwa)

Udini period..lakini tutafika
 
Kawaulizeni serikali kuhusu hiyo MoU na akina sheikh Mohamed Said kwani nilisoma katika kitabu chake kimoja kuhusu hilo. Vile waulizeni akina Sheikh Ponda kuhusu habari ya MoU watakujibuni.

Health plan ya Obama haikupitishwa bali ilifanyiwa amendment kibao na kubadilishwa na kuwa insurance badala ya kutoa huduma ya bure. Health plan ile iliyopitishwa congress ni tofauti kabisa na aliyopropose ila kwakuwa Obama ni muungwana amekubali kucompromise some parts of it. Hata hivyo bado iko kwenye mchakato katika majimbo ya marekani huku majimbo mengi hasa ya north yakikataa plan hiyo. Malobby wa kibepari wanashinikiza isipite kwasababu itasababisha biashara zao za private hospitals kuzorota na vile vile shughuli za kibiashara kwa ujumla katika huduma ya afya.

Obama hakufanikiwa mkuu kwenye Health Plan. Mfumo wa kibepari ulimdhibiti kama wanavyodhibitiwa viongozi wa kiislamu nchini.
 
Sheikh Mohamed,

Unasema mikutano yenu miwili mliyofanya diamond jubilee haikupata coverage ya vyombo vya habari. Sababu kuu ni mfumo kristo, kwasababu ya christian dominated press!

Sasa sheikh wangu, hata magazeti ya Rostam hayakuandika hizo habari, je Rostam naye ni mkristo? Kubenea wa mwanahalisi naye muislamu, Africa media group ni ya wakristo? Raia mwema ni ya wakristo? Clouds media ni ya wakristo? Gazeti majira je?

Je radio iman na radio quran walitangaza?pamoja na magazeti ya an-nur and the likes!
 
wewe ni serikali?

Mkuu hata kama una dharau kwa waislamu usifikie kiwango hicho tafadhali..

Yaani waislam watashindwa kuandika MoU yenye standard za kukubalika na serikali (big joke)

Basi watashindwa kuchungulia hiyo ya kanisa iliyopo (kudesa)????

Serikali imekataa ombi la waislamu kama ambavyo imekataa ombi la mahakama ya kadhi, kama ambavyo imekataa ombi la kujiunga na OIC..maaskofu wamekataa..(wanaendesha nchi wakisema inakuwa)

Udini period..lakini tutafika

Jengeni kwanza shule na Hospitali kisha nendeni serikalini muandikiane nao MoU. kwani kilichotokea kwa wenzenu ni kwamba serikali inataka Kanisa lifuate mifumo yake kwenye kuendesha huduma za Afya, kanisa likasema kama ni hivyo tuwe na makubaliano ndiyo ikaja hiyo MoU mnayoipigia kelele kila siku. kwanz ni aibu kusema kwamba ilikuwa ni siri, kwani serikali ilikuwa inajua na kanisa lilikuwa linajua kwamba kuna MoU kuhusu uendeshaji wa huma za Afya na Elimu.

kanisa la Kilutheri la Azania Front sadaka zao kwa kila jumapili si chini ya shilingi milioni 10, msikiti wa Mtoro na Manyema wanakusanya shilingi ngapi kwa kila Ijumaa?
 
Tutajenga mkuu ila tunakushukuru kwa kebehi zenu ila MoU hiyo itawashindeni kwani hamna hoja za kuitetea.
 
Nilishakwambia before 1992 MoU wakristo hamkuwa chuo mkuu hadi mlipoanza kuchota kutoka serikalini mkaanza kujenga ok

Halafu Mbulu dayosisi ni mfano nilifanya utafiti kule kabla ya shule za kata walikuwa wanawatoza wananchi wote wa babati wanaouza ng'ombe mnadani kodi ya sekondari ??? mlianza zamani sana kunyonya wananchi lakini tutafika
 
MoU si mkataba na kwa sasa Waislaam tunahoji kodi zetu kwa nini zisipelekwe shule na hospital za Serikali? na ilikuwaje zipelekwe kanisani?
 
Tutajenga mkuu ila tunakushukuru kwa kebehi zenu ila MoU hiyo itawashindeni kwani hamna hoja za kuitetea.

jibu swali azania front wanakusanya 10m kila jpili msikiti wa manyema wanakusanya sh ngapi kila ijumaa
 
MoU si mkataba na kwa sasa Waislaam tunahoji kodi zetu kwa nini zisipelekwe shule na hospital za Serikali? na ilikuwaje zipelekwe kanisani?

hospital wanazo Jab alhila dispensary na arafa dispensary
 
jibu swali azania front wanakusanya 10m kila jpili msikiti wa manyema wanakusanya sh ngapi kila ijumaa

Swali lako halina maana mkuu,

Kwanza hatuna namna ya ku-prove kama ni kweli au si kweli

Pili hiyo haiondoi kwamba serikali inapeleka pesa za umma kanisani halafu kuna watu wanajiita wa tanzania wapinga ufisadi wanatetea hypocracy
 
Mkuu huwezi kujadili proposal inayopelekwa serikalini, mimi nimeona hayo maombi ya kina ponda na jinsii walivyopigwa danadana na serikali..

Unajua watu wengi hapa si viongozi wa taasisi za kiislam, viongozi wetu wanapata tabu sana..

Wakikubali kama ile ya kanisa baada ya kukataa miaka mingi hadi juzi JK alipokuwa madaraka ikatolewa na kina game theory (Namshukuru JK kwa kutoa huu uzi hadharani ilikuwa siri kubwa (mfumo kristo) .

Siku wakikubali tutaweka JF lakini kwa sasa ni maombi tu yanafanyika huwezi kuweka maombi yako na serikali hadharani ni ukosefu wa adabu, besiedes unakumbuka walivyovyafanya siri miaka yote hadi 2005 ulipofumuliwa ndio maana wanamuita JK mdini..

Kwenye mjadala fulani niliwahi kusema kwa waislam JK ni better evil ukilinganisha na wengine..

Mkuu,

Mie nina good experience ya ubaguzi wa kidini nchini na nafahamu fika jinsi viongozi wetu wanavyopata tabu kitu chochote kinachobeba alama ya uislamu kinavyobaguliwa. JK ashukuriwe sana kwa kuruhusu uhuru huu kwani siri nyingi za kanisa zinatoka sasa na bado haya ni mabadiliko ambayo kanisa hawawezi kuyazuia. Ninakuhakikishia iko siku MoU hii itafutiliwa mbali na tutaanza debate ya hela za watanzania zitarudishwa lini serikalini.

JK wanamuita mdini kwakuwa wana chuki yao ya binafsi na hilo nalielewa sana. Ndio maana niliwahi kuwaambia tumhukumu JK kwa matendo yake ila ikiwa tunamhukumu kwa dini yake mie niko nyuma ya JK 100% na tutajadiliana mpaka asubuhi hapa jamvini. Jamaa ni wadini ila hawajijui kwani matendo yao tu yanajidhihirisha kuwa ni wadini.

Ushawahi kusikia ile islamic banking services iliyoanzishwa na NBC? Hapa JF walianza ooh mara mnatuletea uislamu katika mabenki ya serikali, mara mimi mkristo sitaki hiyo huduma? Mara wanajitoa NBC guess what NBC ndio benki ya corporate inayoongoza kwa faida ikifuatiwa na CRDB. Na ni benki ya pili kwa faida nyuma ya NMB. Hizi islamophobia zinatokea wapi kama sio udini?

Ashukuriwe sana JK kwa kuruhusu uhuru wa kujadiliana mambo haya kwani yanafunua siri nyingi wengine tulikuwa hatuzijui kabisa.
 
mdondoaji. Wenzio wanamuona kikwete kuwa yupo kwenye mfumo kristo wewe unamsifia ina maana unatofautiana na kina ms, ff na topical?
 
hospital wanazo Jab alhila dispensary na arafa dispensary

Hizo kama zipo basi hazina kodi yetu inayotolewa Serikalini, zinajiendesha zenyewe na au kwa michango ya Waislaam.
 
hospital wanazo Jab alhila dispensary na arafa dispensary

Mohammed Hospital- Arusha (kubwa kuliko kaloleni hospital ya wilaya)

African Muslim Hospital -Tanga (kubwa kuliko hospitali ya mkoa)

Wal-Ul-Asr Hospital -Kibaha (kubwa kuliko hospitali ya mkoa wa pwani)

List goes on, tumejenga kwa nguvu zetu hatukuiba wala hatukuchukua hela za umma

Nyinyi either msaidiwe (mpendelewa) au muibe mkiambiwa mnaiba mnasema tunalalamika guys kuweni wakubwa sasa acheni uwizi wa hela za umma
 
mdondoaji. Wenzio wanamuona kikwete kuwa yupo kwenye mfumo kristo wewe unamsifia ina maana unatofautiana na kina ms, ff na topical?

Kikwete anajaribu sana hata mimi namsifu kwa hilo, vita anayopigwa na Kanisa kwa sasa si ndogo, anastahili kila sifa.
 
Back
Top Bottom