Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,236
- 1,411
Waislam ni watu wa kulialia na njaa sana ndio maana mafanikio kwenu ni ndoto za alinacha wakati wenzenu wakristo wao ni kazi na sala na Mungu wao anawasaidia ,wana Mabenk, big hospitals,colleges,schools,nk nyie kazi ni kugonga vichwa kwenye ardi na hakuna kitu huyo Allah wenu ni mchovu sana anawaacha mnaoonewa ninyi tu ,kweki bora uwemganga wa kienyeji kuliko mfuasi wa muhammadans.

ndo muandae hiyo mou muipeleke serikalini
nimewaambiwa wakatoliki wamefungua vyuo vikuu vipya songea na kagera. Ms na wasomi wenzake wanazunguka na mapepa yao kueneza uhuru wa uwongo kwa wazungu wanawaacha ndugu zao kwenye lindi la umaskini na ujinga
Mohammed Hospital- Arusha (kubwa kuliko kaloleni hospital ya wilaya)
African Muslim Hospital -Tanga (kubwa kuliko hospitali ya mkoa)
Wal-Ul-Asr Hospital -Kibaha (kubwa kuliko hospitali ya mkoa wa pwani)
List goes on, tumejenga kwa nguvu zetu hatukuiba wala hatukuchukua hela za umma
Nyinyi either msaidiwe (mpendelewa) au muibe mkiambiwa mnaiba mnasema tunalalamika guys kuweni wakubwa sasa acheni uwizi wa hela za umma
Kwa sasa sisi hatuna haja ya MoU tunataka fedha zetu zinazopelekwa makanisani zisipelekwe na badala yake zipelekwe shule za kata na hospital za serikali.
hiyo ya kibaha kubwa kuliko ya mkoa du kimajengo au kihuduma maana ndo naisikia kwako ukizungumzia hospital kubwa kihuduma morogoro road ni Tumbi then muhimbili labda hiyo inahudumia mashehe na maustadh tu
Wewe tatizo lako umekariri..
Hiyo iko karibu na mezani na inatibu jamii yote uliyo karibu na hapo..
Tumbi ni hospitali inamilikiwa na Shirika la Elimu kibaha..
Nasikia wanataka kuifanya ya mkoa sasa..
Hospitali ya mkoa iko karibu na ofisi ya mkuu wa mkoa ni ndogo kuliko Wal-Ul-Asr hospital..
Kama siyo mambo ya udini (mfumo kristo) wangewapa hizo fedha umma ili iwe ya mkoa lakini tutafika tu.

Wanadai ati kuna kodi za wakristo humo wamesahau wao wanapokea kodi za waislamu kila mwaka kupitia MoU unafiki mtupu! 0.01 ya kila kodi ya mtanzania inaenda kuchangia katika zile Tshs Bilioni 91 wanazopewa kanisa kila mwaka. Hembu jiulizeni waislamu kila mwaka mnalipa bei gani ya kodi yenu kwenye MoU? Mie nachangia kila mwaka Tshs 360,000 ya kodi ninayolipa serikali kila mwaka kwenye MoU. Bakhressa anatoa karibu Bilioni 1.54 kila mwaka katika Bilioni 91. Huu sio unafiki???
Before 1992 MoU nitajie chuo kikuu kimoja cha kikristo Tanzania?
Before 1992 MoU nitajie hospitali moja ya kikristo Tanzania? usinitajie Bugando, wala KCMC kwasababu zote zilijengwa na serikali ya mkoloni, unajua serikali maana yake ni kodi za watanzania wote..
Acha hizo nyie mkiiba seriaklini si juhudi hiyo hakuna tofauti na RA na EL
ile nilifikiri ni dispensary kwa ajili ya wanachuo na wakufunzi wanaokaa pale
Moravian Theological College, Mbeya, Tanzania - Siku hivi inaitwa Theofil Kisanji University. Hawa walikuwa wanatoa diploma na degree za theology. Ikumbukwe kwamba kabla ya hiyo MoU vyuo vikuu binafsi vilikuwa haviruhusiwi, magazeti binafsi, redio binafsi zote marufuku. Ndio maana hao jamaa wakajikita kwenye kufundisha masula ya theologia.

makumira kkkt nao walikuwa wanatoa diploma na degree ya theolojia
Kwahiyo ili wapate fedha za kujenga vyuo ilibidi waingie MoU na serikali..waibe fedha za umma..
Look here serikali iliruhusu watu binafsi kujenga shule na vyuo toka 1986 (ERP) economic recovery programme
Kanisa halikuweza hadi walipofanya hila za kutuibia fedha za umma..
Wakafanya siri (mfumo kristo) hadi 2005 ilipofumuka kwenye mitandao ya jamii..
Serikali inatakiwa iwajibu waislamu na walipa kodi nchi kwanini waliamu kuwapa wakristo (taasisi) zao tu na si wengine?
Mkuu makelele yote haya na obsession zote hizi kumbe unalipa kodi kidogo namna hiyo, yaani in a tune of Tshs 30,000 a month? Halafu hiyo hoja yako kuhusu Bakhressa ni upotoshaji kwa sababu wafanyabiashara technically hawalipi kodi bali wanaisaidia serikali kukusanya kodi same hata kwa waajiri mnanegotiate mshahara say $50,000.00 a year. Deal done kila mwisho wa mwezi yeye muajiri anamsaidia serikali kukusanya kodi yake kutoka huo mshahara wako. Sasa unapokuja na hiyo fihure kuhusu Bakhressa weka ikiwa imechambuliwa VAT ngapi? Capital gains Tax ngapi? Income tax, import taxes whateva kiasi gani?
Besides mwaka wa fedha 2009/2010 wafanyakazi wa Barrick pekee walichangia kodi in a tune of Tshs 2.6 Billion kutoka Pay as you earn (PAYE), almost mara mbili ya hiyo Bakhressa aliyoisaidia serikali kukusanya. Na hiyo ni direct kutoka mishahara yao.
Umeongelea sana MoU kwa hamaki, mihemko na hamasa lakini umeishia kuzungumzia ooh kanisa linapewa Bil. 91 kwa mwezi as if kuna mgao say katoliki bilioni 5. KKKT Bil.2., Angican bilion 1 etc. Go find the details kabla ya kutuhumu. Na ukitumia theorem ya 80/20 % u can easily find where does most of the moneys go?????????? Otherwise utaendelea kurukaruka humu JF weeeeeee bila kusaidia kuondoa the so called dhuluma unayoihubiri kila siku. Devil is in the details go get them.
Viweke hapa. Siyo kubwabwaja tu kwamba viko vingi sana. Vitaje basi!Wakuu sasa mmeishiwa na hoja..
Vyuo vinavyotoa diploma na cheti waislamu viko vingi sana ...
Tunaongelea vyuo mushrooms after 1992 MoU mlipopata pesa za umma na kodi zetu..
Na ndiyo maana Mbeya kulikuwa na shule binafsi nyingi zaidi ya mara mbili ya Dar in 1988.