Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,236
- 1,411
Hapa ni serikali ya Ccm ambayo waislam wengi wameichagua ndio inawanyanyasa, mkiambiwa chagueni serikali mpya hamtaki.MNAPIGA KURA KAMA VIPOFU HALAFU MNALALAMA HAPA KAMA VICHAA,endeleeni kulalamia serikali ya ccm mliyoiweka madarakani au haijatimiza malengo ya bakwata kama mlivyotazamia .
Sasa huku ni kujishushia hadhi!Wewe unapendelea watu wachague Chadema ili waletewe sera za Ushoga nchini. Kwani wafadhili wakuu wa Chadema ndio hao wanaotetea ushoga.
Sasa huku ni kujishushia hadhi!
Kwa hiyo ukibadilisha act umebadilisha katiba? Dude are u serious?
Ok twende taratibu, unayakumbuka haya maandishi yako hapa chini?
Mkuu kumbuka ukisoma act yeyote waziri amepewa madaraka ya kuammend vipengele au kuvitafsiri. Yes utaratibu ni kwamba inabidi aziangalie hizo ammendments au tafsiri kuwa hazivunji sheria mama ambayo ni katiba lakini hiyo haiipi "act" kuwa katiba hata siku moja. An "act" is not a "constitution"
Naomba nikuulize swali, toka tumepata uhuru katiba ya Tanzania imebadilishwa mara ngapi?
Hivyo basi ni upotoshaji kuita mabadiliko ya "act", ni mabadiliko ya "katiba".
Ntakusaidia kwa 2 ili upate big picture ya ninachouliza
1. Tulipofanya muungano 1964.
2 .Tuliporudi mfumo wa vyama vingi in 1992.
| 11. (1) The state authority shall make appropriate |
| provisions for the realisation of a person's right to work, to self |
| education and social welfare at times of old age, sickness or |
| disability and in other cases of incapacity, without prejudice to |
| those rights, the state authority shall make provisions to ensure |
| that every person earns his |
| livelihood. |
| (2) Every person has the right to self education, and every |
| citizen shall be free to pursue education in a field of his choice |
| up to the highest level according to his merits and ability. |
| (3) The Government shall endeavor to ensure that there are |
| equal and adequate opportunities to all persons to enable them |
Sasa huku ni kujishushia hadhi!
mkataba huu ulisainiwa wakati wa Rais Mwinyi kwani aliona umuhimu wa kanisa katika maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla. I thnk by wakat huo kanisa it waz the only Institution iliyokuwa na mashule,hospital nyingi so cjaona ubaya wowote wala upendeleo uliofanyika kwa wakristu as ndungu zetu muslims wanavoclaim. M sure that mkataba huu unasimamiwa vizuri kuhakikisha hauwanufaishi wa2 binafsi bali ni jamii kwa ujumla.
Waliosema bora kufuga nguruwe kuliko kufuga ndevu hawakukosea. Eti wewe ndiyo PhD holder..! Mimi nadhani bila hata ya hii MoU mngekuwa mna lag behind. Haya bana ...labda hizi kelele zenu zitazaa matunda.......time will tell....tick tock tick tock....!Tatizo lilopo hapa ni kwanini Serikali ya Tanganyika inatoa ruzuku kwa mali za kanisa. Kumbuka kuwa kama Kanisa limeweza kujenga hayyo mashule/mahospital na vyuo hivyo kwanini ishindwe kuviendesha mpaka itake pesa za walipa kodi wa Tanganyika.
Serikali ilikuwa na wajibu wa kujenga vyake kwa pesa hizo.
Na kwa kukujuza kidogo kuwa Tokea mwaka 1992 makanisa yanapata ruzuku ya Bilioni 60. Na sasa hivi bilioni 91.
Total pesa wanazochukua kanisa kutoka serikalini tokea mwanzo wa MoU ni Toka 1992- 2011 ni miaka 19= 60,000,000,000 x 18 + 91,000,000,000= Trilioni 1.17 or Trilioni 1.2. Kutoka katika kodi za WATANZANIA.
Sasa hii si zaidi ya EPA?
Waliosema bora kufuga nguruwe kuliko kufuga ndevu hawakukosea. Eti wewe ndiyo PhD holder..! Mimi nadhani bila hata ya hii MoU mngekuwa mna lag behind. Haya bana ...labda hizi kelele zenu zitazaa matunda.......time will tell....tick tock tick tock....!
Waliosema bora kufuga nguruwe kuliko kufuga ndevu hawakukosea. Eti wewe ndiyo PhD holder..! Mimi nadhani bila hata ya hii MoU mngekuwa mna lag behind. Haya bana ...labda hizi kelele zenu zitazaa matunda.......time will tell....tick tock tick tock....!
Hapa mkuu wangu tuko pamoja sana kwa sababu swali hili linatakiwa kuchunguzwa kwma tulivyofanya Richmond na ilipelekea kujiuzulu kwa Lowassa na ikiwa na maana pande zote mbili zilizoshiriki zinahusika na mpango huu.Mkuu nashukuru umekuwa muungwana kuhusiana kumquote vibaya mdondoaji. Anyways tuendelee na Mjadala. Hoja yangu kuhusu numbers si ile numbers jumla jumla bali ni mchanganuo. Tanzania ni nchi ya kifisadi unaweza kukuta fedha hizo nusu wanajilipa watu wa wizara husika kwa kisingizio cha usimamizi na hata hao viongozi wa hizo institutions husika wanaweza kuwa na mabao yao. Sasa we need to go deeper than what we are doing ili kufahamu nini hasa kinaendelea.
Ndani ya siku mbili hizi kumekuwa na taarifa kwamba Bilioni 2.2 zimetumika TCRA kusomesha watu watatu short course. Huko Mtwara 1.4 bilioni zimetumika kukarabati nyumba ya mkuu wa mkoa. Sasa ukiangalia trends kama hizi it's really disturbing.
Tukija kwenye uhalali wa hiyo MoU inakuwa debatable kwa sababu haijawahi kuwa challenged kama inavyofanywa sasa na pia kama ulivyosema hii kitu ilifanyioka in the eyes of Mwinyi ambaye siamini kama hii MoU ingekuwa ni ya kukandamiza dini zingine ingepita. Nadhani tunafahamu ukubwa wa madaraka ya Raisi Tanzania.
Kuhusu foreign forces, hiyo inanijia kwa sababu ya kuwa na corrupt society, kila kitu is for sale Tanzania na watu wasio waadilifu ni wengi mno siku hizi. Hivyo lolote linaweza kuitokea ili mradi kuna fedha imetangulizwa.
Naona PhD yangu inakuuma sana. Pole sana.
Lakini kwa mtu au serikali makini ingeamua kujenga vyake. Fikiria kidogo kwa hizo trilioni wanazokwapua kanisa zingejenga shule/ hospital/ vyuo vikuu vingapi kwa wanajamii wote.
Naona unaona raha kanisa linavyozikwapua pasi na kujua kuwa kuna jasho la waislam humo ambao wanalipa kutokana na kodi zao.
Pole sana.
Hapa mkuu wangu tuko pamoja sana kwa sababu swali hili linatakiwa kuchunguzwa kwma tulivyofanya Richmond na ilipelekea kujiuzulu kwa Lowassa na ikiwa na maana pande zote mbili zilizoshiriki zinahusika na mpango huu.
Kuhusu Mwinyi hakika naelewa vizuri sana kwamba anafahamu alichokifanya na hakujali kama Nyerere ambaye alikuwa mkristu na bado alitaifisha shule za kikristu tofauti zao ni for whose interest!..Tofauti na waislaam wengine mimi Mwinyi simpendi na simpendi na sintampenda kwa lolote la uongozi zaidi ya kumpa heshima zake kama rais wangu wa pili..
Kinachonishangaza sana ni mapenzi ya Wadanganyika. hHuko nyuma nimetoa mfano mdogo sana kwamba huwezi kumpenda Nyerere ukamchukia Ghadaff na wala huwezi kumpenda Ghadaff ukamchukia Nyerere kwa sababu hawa wote walikuwa na sifa moja kubwa ya uongozi na mapungufu yao yanafanana sana tu. Na kama mtu anataka kujua ana Udini ndani yake basi lazima atakuwa na mtazamo tofauti kwa watu hawa na nakuhakikishia dini yake lazima iwe sawa na yule alompenda akamchukia mwingine...
Mfumokristu umerudishwa na Mwinyi sio Nyerere, na tunaweza kesha hapa kubishana kwa sababu tutarudi ktk fikra zile zile za udini maanake hakuna Muislaam anayetaka kumlaumu Mwinyi ambaye alipiga Vita Balukta kwa nguvu zote akitetea Bakwata chombo wanachokitumia sana ktk kuwapoza waislaam kisiasa. Kayafanya mengi mabaya kwa Jumuiya ya wiaslaam na Watanzania kuliko kiongozi yeyote..Waislaam kwa Wakristu wote are into denial hawataki kuamini kwamba CCM ndiye mtunzi wa mfumo na uendeshaji wa siasa za Tanzania. Kama wanaweza ku ammend Katiba, sheria, kuweka mikataba na miafaka kwa matakwa yao. Tazama nguvu ya rais, bunge lao hawajawahi kuwa na chini ya 2/3 ya uwakilishi lakini bado utaona mapenzi ya watu yapo kwa CCM, chombo kinachoendelea kuwadhalilisha mwaka hadi mwaka..
Lakini tusipoteze matumaini mwaka 2015 inawezekana kuwa mwaka ambao utaleta mabadiliko kwa sababu wananchi wamechoka na Ufisadi wa chama hiki. Hayo matumizi ya TCRA na huko Mtwara ni sehemu ndogo sana ya ubadhilifu unaofanyika nchini, kifupi nikwambie la kunuka halina ubani - serikali, bunge, mahakama (mihimili yetu) inanuka! mashirika yote ya Umma ni Ufisadi kwa kwenda mbele na viongozi wote ni matajiri wa kutisha. Ubepari unakwenda sambamba na Ufisadi kama vile biashara na faida!
Hivyo, sisi maskini kukubali Ubepari ina maana tumekubali Ufisadi na sasa taratibu dawa inaanza kuingia ktk mishipa ya damu zetu. Hakika Nyerere akirudi leo, atacheka sana na kutwambia Yakowapi? niliwaambia hamkutaka kunisikia! na nadhani kujuzulu kwake kulitokana na kutokubali kubatizwa kama bepari maana aliwahi kusema hawezi kugeuka kutazama nyuma akageuka jiwe!..Na baada ya hapo - He did what he did just to prove us wrong ktk sisi kuchagua Ubepari, bahati mbaya hataweza kushuhudia haya..
Mkuu wala usihofu kabisa na PhD yako. Mazingira niliyokulia kila nyumba mitaa yote kulikuwa PhD holder kama siyo PhD angalau masters ilikuwapo. Kwa hiyo wivu mbaya haupo kabisa..ninao ule wivu mtakatifu wa maendeleo .. Ningependa na hao viongozi wenu wa dini wawe na ilmu dunia kama yako. Siyo wanapewa hela ndogo ya ubwabwa na CCM na kukimbilia Igunga kutoa matamko ya kipuuzi halafu mwisho wa siku wanailalamikia serikali hiyohiyo ya CCM eti ina mfumo kristu. Bila kuwakazia na hawa viongozi wenu wa dini elimu dunia basi hata MoU ikiondolewa mtabaki hivyohivyo tu.
What makes you think masheikh wa kiislamu hawana elimu? Unamjua Sheikh Juma Mikidadi? (PhD in Islamic Sharia - Edinburgh University). Sheikh na Imam wa msikiti wa kisutu (PhD ya Sharia -Al-Azhar University). Usiwaone watu na kanzu zao na makobadhi na kofia za msikitini sweke waislamu wasomi ni wengi ila hawapendi kujionyesha kama nyie ndugu zetu mnaotaka lazima askofu aitwe Dr fulani. Wanaprefer waitwe Sheikh fulani zaidi ya huo udr. Jina la Dr wengi hawalipendi. MoU kwanza wajibuni akina Sheikh Ponda waislamu walishajua serikali haina msaada kwao ndio maana hawana hata muda nayo ila kusema tutasema kwamba hili sio sawa ni haki yetu ya kikatiba.
Wako programmed and conditioned kufikiri hivyo siyo kosa lao
Kuna imams siku hizi wana masters (misikiti midogo mtaani) lakini wenzetu wanaangalia nguo ndiyo wana judge ..
Mdondoaji said:What makes you think masheikh wa kiislamu hawana elimu? Unamjua Sheikh Juma Mikidadi? (PhD in Islamic Sharia - Edinburgh University). Sheikh na Imam wa msikiti wa kisutu (PhD ya Sharia -Al-Azhar University). Usiwaone watu na kanzu zao na makobadhi na kofia za msikitini sweke waislamu wasomi ni wengi ila hawapendi kujionyesha kama nyie ndugu zetu mnaotaka lazima askofu aitwe Dr fulani. Wanaprefer waitwe Sheikh fulani zaidi ya huo udr. Jina la Dr wengi hawalipendi. MoU kwanza wajibuni akina Sheikh Ponda waislamu walishajua serikali haina msaada kwao ndio maana hawana hata muda nayo ila kusema tutasema kwamba hili sio sawa ni haki yetu ya kikatiba.