Topical,
..mimi nadhani una chuki na Ukristo, na mou ni "kichaka" tu kutolea chuki zako.
..kama mou ni wizi na ufisadi, je Muslim Dev Fund kupewa yale majengo nayo ni wizi na ufisadi?
..unadai mou lazima iwe audited, I am OK with it, na hakuna uhakika kama hilo halifanyiki, lakini ni lini Bakwata, Shura ya Maimamu, Muslim Dev Fund, zimekuwa audited?Hata kama hawapokei funds zozote zile toka serikalini je vyombo hivyo havistahili kuwa audited?
..personally, sidhani kama Waislamu wa aina yako wanaweza "kuridhika" kwasababu tatizo lao siyo haki, bali ni chuki dhidi ya imani nyingine, particularly Ukristo.
..mnadai kuna "mfumo Kristo" mbona Wahindi na Waarabu wanapeta nchi hii, na wana hali nzuri kuliko majority ya Wakristo???
.."mfumo Kristo" gani huo unaoruhusu Raisi, Makamu, Jaji Mkuu, Jaji Kiongozi, Mkuu wa Polisi, Mkuu wa usalama wa Taifa,Waziri wa Fedha, Waziri wa Elimu, Waziri wa Afya, ...wote hao wakawa Waislamu???!!
..Mashekhe wame-create adui wa kufikirika "mfumo Kristo" ili kuwalaghai the innocent and naive Muslims waendelee kuwaweka ktk nafasi za uongozi.