Barubaru
JF-Expert Member
- Apr 6, 2009
- 7,161
- 2,324
Mimi nasema hv, hata waislam wakijenga vyuo, mahospitali, zahanati na shule, watasaini tu MoU. Na mimi sioni tatizo hapo kama huduma hzo zitanufaisha jamii nzima ya watanzania. Sasa waislam mnataka MoU wkt shule zenu ndo zile za mwisho kwny matokeo, chuo kikuu mnacho kimoja tena cha kupewa na serikali? Kuweni serious basi muone km serikali itakaa kimya. Mnakua km mtu anayekula dagaa halafu anaona wivu jirani yake anakula nyama. Unatakiwa na wewe ujitahidi upate hela ya nyama.
Je waijua MoU hiyo na kanisa linakwapua kiasi gani kwa mwaka toka JMTz
MOU ya Kanisa na Serikali ilifungwa mwaka 1992 na Fisadi EL. Kila mwaka makanisa yenu yanapata Billioni 60 (sasa hivi yanapata Billioni 91) .
Toka 1992- 2011 ni miaka 19= 60,000,000,000 x 18 + 91,000,000,000= Trilioni 1.17 or Trilioni 1.2. Kutoka katika kodi za WATANZANIA.
Huo ni wizi na ufisadi . Mtuambie pesa za waislamu ziko wapi zirudishwe serikalini. Ufisadi huu ni mkubwa kuliko EPA.