Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Nimemwelewa vizuri sana Dr. Slaa. Nakumbuka wakati fulani nilipata ufafanuzi wa aina hii kutoka kwa mwingine sijui alikuwa nani. Hata hivyo, pamoja na ufafanuzi huo, wale WAZEE sijui kama wataelewa maana vichwa vyao na akili zao zimegoma kabisa kuelewa.
 
Ha ha ha! amejikita kwenye historia ya MoU lakini HAKUJIKITA KWENYE MKATABA WENYEWE UNASEMAJE!
 
Kuweni makini, mishahara, oc na deve funds serikali inatoa kwa kanisa kila mwezi. Bugando, kcmc, peramio, ifakara, bwagala nk. Lakini bado tunalipia huduma. Mbona haitoi kwa bakwata? Ushaidi ni mimi na vitabu vya bajeti
Unazungumzia bakwata hii mnaoipinga kila siku? By the, hivi BAKWATA nayo ni hospitali hadi watoe huko? Halafu watoe huko kwa mwongozo au moi ipi?
 
Huo upande wa pili wa kuvaa sijui suruakli fupi au kaptula ndefu, haaata muwaeleze vip hawataelewa.. washakula yamini!
 
Kuweni makini, mishahara, oc na deve funds serikali inatoa kwa kanisa kila mwezi. Bugando, kcmc, peramio, ifakara, bwagala nk. Lakini bado tunalipia huduma. Mbona haitoi kwa bakwata? Ushaidi ni mimi na vitabu vya bajeti
Mimi nina ushahidi pia Muhimbili wanapata hizo OC, mishara na deve funds - nenda kapate huduma za bure pale.
 
Ahsante Dr.W.Slaa kwa maelezo mazuri na ya kina ya ufafanuzi.

Mi nadhani kwa wale wanaoilalamikia MoU ni vizuri wakajitazama upya na kujiuliza ni kitu gani kimewakwamisha na wao kuwa na MoU na serikali badala ya kutupa lawama kwa wakristo.
 
Last edited by a moderator:
Mimi labda sijaelewa Slaa anatolea ufafanuzi kama msemaji wa kanisa au kiongozi wa chadema.Babu mbona unatuchanganya uko upande upi

Mkuu nenda ukalale kwanza, afu ukiamka soma tena usipoelewa basi utakuwa na akili ndogo inayokusaidia kuhisi njaa na pia usijisaidie hovyo
 
Kuweni makini, mishahara, oc na deve funds serikali inatoa kwa kanisa kila mwezi. Bugando, kcmc, peramio, ifakara, bwagala nk. Lakini bado tunalipia huduma. Mbona haitoi kwa bakwata? Ushaidi ni mimi na vitabu vya bajeti

wewe ulikua unataka utibiwe bure kwasababu serikali yako inatoa subsidies?ama kweli wewe ndio wale wale wanaotegemea waletewe kibaba cha unga hadi milangoni mwao
 
Ahsante Dr.W.Slaa kwa maelezo mazuri na ya kina ya ufafanuzi.

Mi nadhani kwa wale wanaoilalamikia MoU ni vizuri wakajitazama upya na kujiuliza ni kitu gani kimewakwamisha na wao kuwa na MoU na serikali badala ya kutupa lawama kwa wakristo.
Sasa Bakwata wataweza vipi kuwa na MOU na Serikali wakati hata hicho chuo kikuu cha Morogoro wamepewa na Mkapa? au kuna MoU ya kuchoma makanisa?

Mimi nadhani Waislamu wa kujadili nao Maendeleo ni hawa Ismailia kina Agha Khan na sio hawa wafuga madevu na kuvaa vipedo na ndala, ambao wao wanaamini wana uwezo wa kumlinda Mungu wakati Mungu ndio kila kitu atakalo lolote lawa.
 
Mkuu,
Waislamu nao walitaka Shirika la Wakatoliki la Ujerumani liwasaidie kukarabati shule zao? Au hiyo copy n paste unamaanisha nini hasa?
Mkuu inawezekana unalolisema ni kweli, labda walitaka mashirika ya kikatoliki yawasidie maana huko kwenye mashirika yao wanasaidiana namna ya kujilipua au kuutokomeza ukristu. Wanasahua kuwa kumwondoa anayeshikilia njia kuu za uchumi au huduma za kijamii ni ngumu. Kwa mfano leo hii ukiwaambia wakristu wafunge hospitali zao zote nchini, patachimbika. Hadi hao wanaouchukia ukristu wataathirika. Kwenye mashule na vyuo hayohayo
 
nao walikuwa na huduma gani wanazotaka kuingia ubia na serikali? zitaje
 
we huiitakii Home of Great Thinker mema, nakwambia wataanza na jamvi hili kuliondosha!!!!!! ha ha ha ha
 
Mkuu,
Waislamu nao walitaka Shirika la Wakatoliki la Ujerumani liwasaidie kukarabati shule zao? Au hiyo copy n paste unamaanisha nini hasa?
Mkuu hata nini huyu ndugu yangu nimeshindwa kumuelewa
 
Kuweni makini, mishahara, oc na deve funds serikali inatoa kwa kanisa kila mwezi. Bugando, kcmc, peramio, ifakara, bwagala nk. Lakini bado tunalipia huduma. Mbona haitoi kwa bakwata? Ushaidi ni mimi na vitabu vya bajeti

hata kufikiri kidogo hutaki? kwa wakristo wanaotibiwa katika taasisi ulizozitaja, wanatibiwa bure pamoja na kwamba wanashiriki kuziendesha taasisi hizo kupitia harambe, sadaka na changizo? Bila shaka wote wanapaswa kuchangia bila kujali dini ya mtu.

Serikali ilifanya tu kupunguza gharama za matibabu, mfano badala ya kulipa 100,000 basi ulipe nusu au hata robo yake sio kutibiwa bure tu.
 
busara ni kukaa kimya kama huelewi...wewe ni kilaza kama umeshindwa kumuelewa Dr alivyoeleza tena kwa lugha nyepesi na fasaha halafu huelewi..
 
Mimi nina ushahidi pia
Muhimbili wanapata hizo OC, mishara na deve funds - nenda kapate huduma
za bure pale.
Hospitali hiyo ya Bakwata iko wapi? Au unataka ruzuku ya ujenzi wa hospitali mpya, au wakununulie hata kiwanja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…