NdasheneMbandu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 940
- 308
Nimemwelewa vizuri sana Dr. Slaa. Nakumbuka wakati fulani nilipata ufafanuzi wa aina hii kutoka kwa mwingine sijui alikuwa nani. Hata hivyo, pamoja na ufafanuzi huo, wale WAZEE sijui kama wataelewa maana vichwa vyao na akili zao zimegoma kabisa kuelewa.