... Hujamalizia mkuu, wamepewa bure halafu wamebadilisha kuwa chuo sawa na madrasaaa ....sio kwa manufaa ya wananchi wote! ..... hapo hawatasema
Sasa waje hapa akina Sadeeq na wote wale waliokuwa wanapotosha MOU kuwa matokeo ya mfumokristo na uonevu wa serikali kwa Waislamu. Njooni hapa tuwasikie na upotoshaji wenu.
Wenye akili ndogo watakubali kwamba MOU iko safi lakini,ukweli utasimama,kuna dini nyingine wamezoea propaganda na uongo mana dini zao na imani zao zinawafundisha hivyo.unaweza kumdanganya mtu kwa muda flani ila huwezi kumfanya mjinga muda wote.eti wanadai MOU iko kisheria,Kanisa ndio waasisi wa Ufisadi Tanzania,ndio mana adui yao mkubwa ni ujamaa na uislamu,ukisoma kitabu cha prof Huntington na john Sivalon utajua mfumo kiristo wa nchi yetu.ha ha ha inachekesha sana mtu anavyofagilia MOU na kansa inayolitafuna taifa
Humjui Shyrose Bhanji...mama yake Mjita wa Musoma, baba ni Muhindi wa Mwanza. Ismailia ukishachanganya na mweusi una tena hadhi ya kuwa Ismailia labda uchanganye na mzungu.
Ungepiga hesabu tokea 1992 mpaka leo Serikali imetoa kiasi gani kwa Kanisa, pesa hizi zingesaidia kujenga Shule, vyuo na Hospitali ngapi?
Je, Serikali iendelee kutoa pesa hizi mpaka lini? na baada ya miaka 20 mingine ni kiasi gani cha pesa itafikia? ni bora kuukata huu mrija sasa hivi kuliko kuja kukaa chini baada ya miaka 20 ijayo na kujilaumu kuhusu kiasi cha fedha zilizoachiwa kutiririka na kulineemesha Kanisa huku serikali ikiendelea kulitegemea Kanisa (hata baada ya miaka 20 ijayo).
Ni lazima kuwe na mwisho wa upelekaji wa hizi pesa Kanisani na wakati bora ndio huu.
Ufisadi wa MoU uko hapa ambapo DR Slaa nasikitika hakuweza kutuelezea kwa undani:
The government shall provide vacancies in its Teachers training colleges for training qualified persons as teachers earmarked for church owned schools. Article xi
The government shall endeavour to include financial assistance for church run social services in its bilateral negotiations particularly with the Federal Government of Germany. Consideration shall be made during its bilateral negotiations with other donors. Article xiii.
Sasa wakristo tujadiliane kwa hoja:
1)Hivi ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kutowa nafasi za upendeleo kwenye elimu kama artcle xi inavyosema, tena isitoshe kw manufaa ya kanisa?
2)Ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kuombea kanisa misaada katika Nyanja za kimataifa.
Sasa hapa ni kipi mnahitaji kuoneshwa ili muamini kwamba serikali inawazunguka waislam?
Duh!
Ama kweli ****** mna mambo!
Hamlali?
sasa kuna watu wanataka kubadilisha maneno mara ohh Ujerumani mara ohhh sijui nini
waislam walipopeleka MoU yao ambayo ilikuwa ilikuwa sawa na hii wakaambiwa ohhh fanyeni Subra kwanza kuja kushtuka too late.
Mimi naona badala ya kubishana kila mmoja apige madili kivyake au mnasemaje maana hapa ni ngumu kutaka FAIR PLAY wakati the entire game is UNFAIR
Unajichanganya mwenyewe. Dr. Slaa ameshasema kuwa alishiriki katika MOU. Sasa wewe unataka atoe tamshi kama nani? Babu mwenyewe!
Kuweni makini, mishahara, oc na deve funds serikali inatoa kwa kanisa kila mwezi. Bugando, kcmc, peramio, ifakara, bwagala nk. Lakini bado tunalipia huduma. Mbona haitoi kwa bakwata? Ushaidi ni mimi na vitabu vya bajeti
Hivi kwa nini Serikali isiyokuwa ns Dini igawe Majengo kwa taasisi moja iyafanyw chuo kikuu cha Kiislam cha Morogoro
Humjui Shyrose Bhanji...mama yake Mjita wa Musoma, baba ni Muhindi wa Mwanza. Ismailia ukishachanganya na mweusi una tena hadhi ya kuwa Ismailia labda uchanganye na mzungu.
Mwenzetu unaelewa lugha gan? Umeambiwa serikali ilizipora hizi taasisi za social services baadaye ikazigeuza magofu! Baadaye wakawaangukia waliokuwa nazo wazifufue. Na hii haikuangalia din hata waisalm wangekuwa na hizi taasisi wangeombwa waziendeshe tena wapewe subsidies. Sasa unataka serikali ipi ijenge hospitali hii ya jakaya ambayo inashindwa kununua CT scan muhumili. Bwahahahahaha. Give us a breakUngepiga hesabu tokea 1992 mpaka leo Serikali imetoa kiasi gani kwa Kanisa, pesa hizi zingesaidia kujenga Shule, vyuo na Hospitali ngapi?
Je, Serikali iendelee kutoa pesa hizi mpaka lini? na baada ya miaka 20 mingine ni kiasi gani cha pesa itafikia? ni bora kuukata huu mrija sasa hivi kuliko kuja kukaa chini baada ya miaka 20 ijayo na kujilaumu kuhusu kiasi cha fedha zilizoachiwa kutiririka na kulineemesha Kanisa huku serikali ikiendelea kulitegemea Kanisa (hata baada ya miaka 20 ijayo).
Ni lazima kuwe na mwisho wa upelekaji wa hizi pesa Kanisani na wakati bora ndio huu.
Kama umesoma hujaelewa, omba uelemishwe au kaa kimya kuliko kupotosha watu!
Hata wakiisoma MOU, hawataielewa, watarudi barabarani kwenda kumng'oa Ndalichako kule NECTA. Ole wake sasa hivi atakayeniletea maandamano hapa wizarani !
serekali ndiyo iliyo taifisha shule na hosptali za kanisa kwa ajili ya manufaa ya serekali.ukiangalia zaidi wanaofaidika sana ni serekali ndiyo maana walitaifisha mali za kanisa ili serekali iweze kunufaika na hakuna mtu yeyote ambaye anaweza kutaifisha mali ambayo haina manufaa kwake.kinacho onekana kupata hasara hapa ni kanisa.kabla ya serekali kutaifisha mali ya kanisa,kanisa lilikuwa na shule,hosptali n.k. Na sehemu zote hizo kulikuwa na watumishi ambao walikuwa wanalipwa na kanisa pasipo kutegemea hata sent ya serekali.lakini mbona maaskofu wameshatoa tamko lao kuwa serekalii iwe huru kuivunja mou lakini irudishe mali ya kanisa na ya waislam iliyotaifisha ili kila mtu atoe huduma kivyakevyake kama ili vyokuwa hapo awali.ukizingatia kuwa kutoa huduma za kijamii si kazi ya kanisa.