Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

... Hujamalizia mkuu, wamepewa bure halafu wamebadilisha kuwa chuo sawa na madrasaaa ....sio kwa manufaa ya wananchi wote! ..... hapo hawatasema

Hawawezi kuona hilo inabidi tuwe tubawakymbusha kwamba MUM ililkuwa mali TANESCO
 
Sasa waje hapa akina Sadeeq na wote wale waliokuwa wanapotosha MOU kuwa matokeo ya mfumokristo na uonevu wa serikali kwa Waislamu. Njooni hapa tuwasikie na upotoshaji wenu.

ni aibu kuwafarakanisha wakristo na waislamu kwa jambo ambalo si la kweli aghalabu tutadhani na mengine ni ya uongo kwa ajili ya kutimiza lengo.
 
Wenye akili ndogo watakubali kwamba MOU iko safi lakini,ukweli utasimama,kuna dini nyingine wamezoea propaganda na uongo mana dini zao na imani zao zinawafundisha hivyo.unaweza kumdanganya mtu kwa muda flani ila huwezi kumfanya mjinga muda wote.eti wanadai MOU iko kisheria,Kanisa ndio waasisi wa Ufisadi Tanzania,ndio mana adui yao mkubwa ni ujamaa na uislamu,ukisoma kitabu cha prof Huntington na john Sivalon utajua mfumo kiristo wa nchi yetu.ha ha ha inachekesha sana mtu anavyofagilia MOU na kansa inayolitafuna taifa

Mkuu nikusahihishe kidogo Adui wa Ukristo ni Shetani wala si uliowataja.
 
Kitu kimoja kikubwa hapa , shule zilizotaifishwa zilijengwa kwa ajili ya watanzania wakati wa ukoloni so hakuna sababu ya kuendelea kujivunia dini zetu wala madhehebu leo.
 
Humjui Shyrose Bhanji...mama yake Mjita wa Musoma, baba ni Muhindi wa Mwanza. Ismailia ukishachanganya na mweusi una tena hadhi ya kuwa Ismailia labda uchanganye na mzungu.

msome vizuri ulie m-quote halafu uje na majibu na usikurupuke..
 
Ungepiga hesabu tokea 1992 mpaka leo Serikali imetoa kiasi gani kwa Kanisa, pesa hizi zingesaidia kujenga Shule, vyuo na Hospitali ngapi?

Je, Serikali iendelee kutoa pesa hizi mpaka lini? na baada ya miaka 20 mingine ni kiasi gani cha pesa itafikia? ni bora kuukata huu mrija sasa hivi kuliko kuja kukaa chini baada ya miaka 20 ijayo na kujilaumu kuhusu kiasi cha fedha zilizoachiwa kutiririka na kulineemesha Kanisa huku serikali ikiendelea kulitegemea Kanisa (hata baada ya miaka 20 ijayo).

Ni lazima kuwe na mwisho wa upelekaji wa hizi pesa Kanisani na wakati bora ndio huu.

serekali ndiyo iliyo taifisha shule na hosptali za kanisa kwa ajili ya manufaa ya serekali.ukiangalia zaidi wanaofaidika sana ni serekali ndiyo maana walitaifisha mali za kanisa ili serekali iweze kunufaika na hakuna mtu yeyote ambaye anaweza kutaifisha mali ambayo haina manufaa kwake.kinacho onekana kupata hasara hapa ni kanisa.kabla ya serekali kutaifisha mali ya kanisa,kanisa lilikuwa na shule,hosptali n.k. Na sehemu zote hizo kulikuwa na watumishi ambao walikuwa wanalipwa na kanisa pasipo kutegemea hata sent ya serekali.lakini mbona maaskofu wameshatoa tamko lao kuwa serekalii iwe huru kuivunja mou lakini irudishe mali ya kanisa na ya waislam iliyotaifisha ili kila mtu atoe huduma kivyakevyake kama ili vyokuwa hapo awali.ukizingatia kuwa kutoa huduma za kijamii si kazi ya kanisa.
 
Ufisadi wa MoU uko hapa ambapo DR Slaa nasikitika hakuweza kutuelezea kwa undani:

The government shall provide vacancies in its Teachers training colleges for training qualified persons as teachers earmarked for church owned schools. Article xi

The government shall endeavour to include financial assistance for church run social services in its bilateral negotiations particularly with the Federal Government of Germany. Consideration shall be made during its bilateral negotiations with other donors. Article xiii.

Sasa wakristo tujadiliane kwa hoja:

1)
Hivi ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kutowa nafasi za upendeleo kwenye elimu kama artcle xi inavyosema, tena isitoshe kw manufaa ya kanisa?

2)
Ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kuombea kanisa misaada katika Nyanja za kimataifa.

Sasa hapa ni kipi mnahitaji kuoneshwa ili muamini kwamba serikali inawazunguka waislam?

Kama umesoma hujaelewa, omba uelemishwe au kaa kimya kuliko kupotosha watu!
 
Kwa hiyo dr slaa, ukipata urais utazirudisha shule hizi kwa kanisa? Au utachukua maamuzi gani
 
Duh!

Ama kweli ****** mna mambo!

Hamlali?

sasa kuna watu wanataka kubadilisha maneno mara ohh Ujerumani mara ohhh sijui nini

waislam walipopeleka MoU yao ambayo ilikuwa ilikuwa sawa na hii wakaambiwa ohhh fanyeni Subra kwanza kuja kushtuka too late.

Mimi naona badala ya kubishana kila mmoja apige madili kivyake au mnasemaje maana hapa ni ngumu kutaka FAIR PLAY wakati the entire game is UNFAIR

Rusha JF hiyo MOU ya waislamu iliyokataliwa kwani Rais Kikwete alisema milango iko wazi kwa Waislamu kupeleka yao lakini bado inaonekana hawajawahi kufanya hivyo au bado hawajafanya hivyo.
 
mkuu Sideeq hizo pesa unazo zungumzia huwa anapewa nani na kwanini? je ulisha wahi kupiga mahesabu bila hizo shule na hospital za makani watanzania wangapi wangepoteza maisha...je unajua dispensary nyingi sana vijijini ni vya makani..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu slaa, tunaomba utufafanulie hapo kwenye ajira ya waalim ktk shule hizo. Nani angekuwa anawaajiri na kuwalipa na kwa sasa utaratibu wa ajira ukoje
 
Kuweni makini, mishahara, oc na deve funds serikali inatoa kwa kanisa kila mwezi. Bugando, kcmc, peramio, ifakara, bwagala nk. Lakini bado tunalipia huduma. Mbona haitoi kwa bakwata? Ushaidi ni mimi na vitabu vya bajeti

[MENTION]Hamsinj[/MENTION], mbona unakurupuka kuandika mambo kwa hisia wakati hayana ukweli?

Serikali haijawahi kutoa fedha kwa kanisa

Bugando Hospital, KCMC, Ifakara Mission Hospital, Bwagala, Mvumi Mission Hospital, n.k. siyo makanisa. Ni taasisi za huduma ya jamii(afya) za kanisa. Kwa lugha nyingine niseme ni miradi ya kanisa (non-profit based projects).

Fedha unazosema, yaani za mishahara, madawa na nyingine kutoka katika Other charges na Development charges zinapelekwa kwenye taasisi hizi ili Taasisi ili zisitoe huduma kibiashara. Serikali isipifanya hivyo wanachi wake watalipia gharama kubwa la hawataki wakubali kufa. Hebu fukiri ni watanzania wangapi wanauwezo wa kugharimia huduma za matibabu pale Agha-Khan, Dar?

Lakini wakati watu wenye roho ya ajabu na ghubu kama wewe mnakazana kupiga kelele kwenye mitandao na redio Imani na Radio Kheri mbona hamjiulizi kwanini wanaojazana pale Mbagala Mission ni waislamu hata baada ya kuanzisha Dispensary za Muzdalifah na zile za MICO? Mbona watu wa Rufiji hawataki kusikia Hospitali ya Mchukwi imeshindwa kusaidiwa na serikali katika ruzuku hiyo ya madawa n.k. ?

Unauliza mbona serikali haitoi kwa BAKWATA ? Kabla kupata jibu lake hebu tujulishe miradi ya huduma za jamii hususani afya halafu tuijadili.
 
Hivi kwa nini Serikali isiyokuwa ns Dini igawe Majengo kwa taasisi moja iyafanyw chuo kikuu cha Kiislam cha Morogoro

Ni baada ya malalamiko ya waislamu. Lakini point iko hapa, serikali imeweza kuyapatia kiasi gani makanisa katika bilateral agreemnts zake zaid ya yale makubaliano ya awali na taasisi za Ujerumani?

Ni nafasi ngapi za upendeleo serikali imekuwa ikzitowa kwa walimu wa shule za kanisa toka 1992 todate? Hivi huu si ufisadi rasilimali za taifa kutumika kunufaisha watu wa dini moja ambao mwisho wa siku wanafikiri wana akili kuliko raia wengine ilhali ni conducive environment iliyotengenezwa kwa ajili yao? Sasa huu ndio mfumo kristo wanaozungimzia waislamu.
 
Humjui Shyrose Bhanji...mama yake Mjita wa Musoma, baba ni Muhindi wa Mwanza. Ismailia ukishachanganya na mweusi una tena hadhi ya kuwa Ismailia labda uchanganye na mzungu.

Mkuu usituambie hawa waislamu ni wabaguzi kiasi hicho. Nashukuru kwa kutufumbua macho.
 
Ungepiga hesabu tokea 1992 mpaka leo Serikali imetoa kiasi gani kwa Kanisa, pesa hizi zingesaidia kujenga Shule, vyuo na Hospitali ngapi?

Je, Serikali iendelee kutoa pesa hizi mpaka lini? na baada ya miaka 20 mingine ni kiasi gani cha pesa itafikia? ni bora kuukata huu mrija sasa hivi kuliko kuja kukaa chini baada ya miaka 20 ijayo na kujilaumu kuhusu kiasi cha fedha zilizoachiwa kutiririka na kulineemesha Kanisa huku serikali ikiendelea kulitegemea Kanisa (hata baada ya miaka 20 ijayo).

Ni lazima kuwe na mwisho wa upelekaji wa hizi pesa Kanisani na wakati bora ndio huu.
Mwenzetu unaelewa lugha gan? Umeambiwa serikali ilizipora hizi taasisi za social services baadaye ikazigeuza magofu! Baadaye wakawaangukia waliokuwa nazo wazifufue. Na hii haikuangalia din hata waisalm wangekuwa na hizi taasisi wangeombwa waziendeshe tena wapewe subsidies. Sasa unataka serikali ipi ijenge hospitali hii ya jakaya ambayo inashindwa kununua CT scan muhumili. Bwahahahahaha. Give us a break
 
Kama umesoma hujaelewa, omba uelemishwe au kaa kimya kuliko kupotosha watu!

Hilo ndio tatizo lenu. Unakataa nini hapo:

Kwamba hizo article si sehemu ya MoU au kitu gani kimepotoshwa?

quote_icon.png
By Freshthinking

Ufisadi wa MoU uko hapa ambapo DR Slaa nasikitika hakuweza kutuelezea kwa undani:

The government shall provide vacancies in its Teachers training colleges for training qualified persons as teachers earmarked for church owned schools. Article xi

The government shall endeavour to include financial assistance for church run social services in its bilateral negotiations particularly with the Federal Government of Germany. Consideration shall be made during its bilateral negotiations with other donors. Article xiii.

Sasa wakristo tujadiliane kwa hoja:

1)
Hivi ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kutowa nafasi za upendeleo kwenye elimu kama artcle xi inavyosema, tena isitoshe kw manufaa ya kanisa?

2)
Ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kuombea kanisa misaada katika Nyanja za kimataifa.

Sasa hapa ni kipi mnahitaji kuoneshwa ili muamini kwamba serikali inawazunguka waislam?

Ufisadi unaanza hapo kwenye hivyo vipengele viwili vya MoU. Jadili hoja sio mtu.
 
Hata wakiisoma MOU, hawataielewa, watarudi barabarani kwenda kumng'oa Ndalichako kule NECTA. Ole wake sasa hivi atakayeniletea maandamano hapa wizarani !
 
Hata wakiisoma MOU, hawataielewa, watarudi barabarani kwenda kumng'oa Ndalichako kule NECTA. Ole wake sasa hivi atakayeniletea maandamano hapa wizarani !

Mkuu Jabulani hebu jibu hizi hoja hapa. Nani asiyeelewa MoU ambayo imeandikwa kwa kizungu cha kawaida tu:
Jikite kwenye hizo article za MoU
quote_icon.png
By Freshthinking

Ufisadi wa MoU uko hapa ambapo DR Slaa nasikitika hakuweza kutuelezea kwa undani:

The government shall provide vacancies in its Teachers training colleges for training qualified persons as teachers earmarked for church owned schools. Article xi

The government shall endeavour to include financial assistance for church run social services in its bilateral negotiations particularly with the Federal Government of Germany. Consideration shall be made during its bilateral negotiations with other donors. Article xiii.

Sasa wakristo tujadiliane kwa hoja:

1)
Hivi ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kutowa nafasi za upendeleo kwenye elimu kama artcle xi inavyosema, tena isitoshe kw manufaa ya kanisa?

2)
Ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kuombea kanisa misaada katika Nyanja za kimataifa.

Sasa hapa ni kipi mnahitaji kuoneshwa ili muamini kwamba serikali inawazunguka waislam?

Ufisadi unaanza hapo kwenye hivyo vipengele viwili vya MoU. Jadili hoja sio mtu.
 
serekali ndiyo iliyo taifisha shule na hosptali za kanisa kwa ajili ya manufaa ya serekali.ukiangalia zaidi wanaofaidika sana ni serekali ndiyo maana walitaifisha mali za kanisa ili serekali iweze kunufaika na hakuna mtu yeyote ambaye anaweza kutaifisha mali ambayo haina manufaa kwake.kinacho onekana kupata hasara hapa ni kanisa.kabla ya serekali kutaifisha mali ya kanisa,kanisa lilikuwa na shule,hosptali n.k. Na sehemu zote hizo kulikuwa na watumishi ambao walikuwa wanalipwa na kanisa pasipo kutegemea hata sent ya serekali.lakini mbona maaskofu wameshatoa tamko lao kuwa serekalii iwe huru kuivunja mou lakini irudishe mali ya kanisa na ya waislam iliyotaifisha ili kila mtu atoe huduma kivyakevyake kama ili vyokuwa hapo awali.ukizingatia kuwa kutoa huduma za kijamii si kazi ya kanisa.

mkuu serikali ni nani huyo?
 
Back
Top Bottom