Darius Tanz
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 461
- 137
anaongea kama witness so cjui kama kuna tatzo...unless ukitaka kuliumba tatizo kwa ubishi wako...Mimi labda sijaelewa Slaa anatolea ufafanuzi kama msemaji wa kanisa au kiongozi wa chadema.Babu mbona unatuchanganya uko upande upi
Mimi labda sijaelewa Slaa anatolea ufafanuzi kama msemaji wa kanisa au kiongozi wa chadema.Babu mbona unatuchanganya uko upande upi
anaongea kama witness so cjui kama kuna tatzo...unless ukitaka kuliumba tatizo kwa ubishi wako...
Hilo ndio tatizo lenu. Unakataa nini hapo:
Kwamba hizo article si sehemu ya MoU au kitu gani kimepotoshwa?
By Freshthinking
Ufisadi wa MoU uko hapa ambapo DR Slaa nasikitika hakuweza kutuelezea kwa undani:
The government shall provide vacancies in its Teachers training colleges for training qualified persons as teachers earmarked for church owned schools. Article xi
The government shall endeavour to include financial assistance for church run social services in its bilateral negotiations particularly with the Federal Government of Germany. Consideration shall be made during its bilateral negotiations with other donors. Article xiii.
Sasa wakristo tujadiliane kwa hoja:
1)Hivi ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kutowa nafasi za upendeleo kwenye elimu kama artcle xi inavyosema, tena isitoshe kw manufaa ya kanisa?
2)Ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kuombea kanisa misaada katika Nyanja za kimataifa.
Sasa hapa ni kipi mnahitaji kuoneshwa ili muamini kwamba serikali inawazunguka waislam?
Ufisadi unaanza hapo kwenye hivyo vipengele viwili vya MoU. Jadili hoja sio mtu.
Typical mudi follower. Ndio lugha zenu hizo zisizo na staha. Hii ni aibu.
Sasa kosa ni lipi iwapo the church likiomba qualified person kwenda kusoma ili waje kuwa qualified teachers waliosoma TTC za serikali, and then kwenda kuserve as teachers kwenye shule za kanisa? Au unataka kusema walimu waliosoma TCC wanakatazwa kwenda kufundisha shule za kiisilamu? Sana sana mamlaka za elimu zimekuwa zikisisitiza ubora wa walimu katika shule binafsi, sasa kama waisilamu mmeamua shule zenu zifundishwe na mtu yeyote ili mradi anaitwa Abdalla au Said, matokeo yake ndo hayo, wakristu wanaperform vizuri kwenye shule zao na waisilamu on average wanaendelea kushika nafasi za chini. Pengine hilo halikuhitaji hata MOU, ni automatically walimu lazima wawe wamepitia mafunzo ya ualimu, kwa hiyo hakuna hoja hapo ya kuilalamikia MOU...
The government shall provide vacancies in its Teachers training colleges for training qualified persons as teachers earmarked for church owned schools.
Mkuu wanakuja baadae muda huu wapo vibarazani Wanakunywa gahawa
Sheikh PONDAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!Anashikishwa UKUTA na wadau wenzake,Hawa jamaa akili zao ndogo kama Sisimizi aka (KAFULILA)!Pu................................VU!Tusisahau kuwa mpaka sasa maaskofu wametoa option mbili,serikali kuwaelezea uma ni nini kilichomo ndani ya MOU(sidhani kama kuna maelezo zaidi ya alioeleza Dr Slaa) au kuvunja MOU ambayo madhara yake yatakuwa makubwa kwani operational/administrative cost zitaenda kwa mtanzania pasipo kujali dini,kabila wala chama mfano sasa ivi kuna manesi/madokta wanaolipwa mshahara na serikali moja kwa moja kutokana na MOU kama mambo yakibadirika sio siri kuwa x-ray itakuwa 150000,wakina shehe ponda wajiulize ni waislam wangapi watamudu iyo????
mkuu serikali ni nani huyo?
Huduma za jamii ni kazi ya serikali, kwa hiyo mashirika ya dini yanafanya hivyo kwa hisani tu. kwa maneno mengine serikali ilitakiwa kufanya hayo yote, lakini tuyashukuru hayo mashirika kwa kuisaidia serikali. na nina uhakika mashirika ya dini zote yananufaika na fedha za serikali, ingawa yanatofautiana viwango kulingana na yalivyojiwekeza.
Ushauri: Tumieni haya mashirika kujiendeleza hasa kielimu, kwasababu miaka ijayo mambo yatakuwa mabaya zaidi. mimi watoto wangu nawapeleka shule yoyote iliyo bora bila kujari ni ya kiislamu au kikristo ilimradi inafuata maadili na kutoa elimu bora. Chonde chonde ndugu zangu badala ya kuendeleza malumbano ni vizuri ukatumia fulsa zilizopo ili baadae usiendelee kuwa mlalamikaji. Sisi ni ndugu ukristo na uislamu umeletwa ukatukuta, sasa iweje uwe bora zaidi ya udugu wetu? kama dini zinatugombanisha basi hizi dini hazina maana.
Sasa kosa ni lipi iwapo the church likiomba qualified teachers waliosoma TTC za serikali kwenda kuserve as teachers kwenye shule za kanisa? Au unataka kusema walimu waliosoma TCC wanakatazwa kwenda kufundisha shule za kiisilamu? Sana sana mamlaka za elimu zimekuwa zikisisitiza ubora wa walimu katika shule binafsi, sasa kama waisilamu mmeamua shule zenu zifundishwe na mtu yeyote ili mradi anaitwa Abdalla au Said, matokeo yake ndo hayo, wakristu wanaperform vizuri kwenye shule zao na waisilamu on average wanaendelea kushika nafasi za chini. Pengine hilo halikuhitaji hata MOU, ni automatically walimu lazima wawe wamepitia mafunzo ya ualimu, kwa hiyo hakuna hoja hapo ya kuilalamikia MOU
Hawa waislmu watakufa huku wanalalamikaDk Slaa tunashukuru kwa huu ufafanuzi ila sasa sijui kama wamekuelewa,kwasababu zaidi ya mwalimu wa madrasa sijui kama hata mwalimu darasani wanamuelewaga
Kikwete kitaaluma ni Ustadhi?Dr Slaa kitaaluma ni Padre ni vizuri angefunguka zaidi kuhusu ili suala la MoU.
Mkuu wanakuja baadae muda huu wapo vibarazani Wanakunywa gahawa
Wenzao wamesoma shule za misheni ndio maaana wana akili na wala hawahoji kitu,wao wamesomea KIBLATAN SEMINARY sasa watakumbuka nini?serekali ni rais wa tanzania,makam wa rais,jaji mkuu,mkuu wa usalama kitaifa,mkuu wa polisi tz n,k.
ccm na kanisa havijawahi kutengana/kutenganishwa msichanganye mambo,mmesahau kanisa ndio lilitamka kwamba kikwete huyu ni chaguo la mungu na waislam tukasema astaghafirullah,wakristo wakakenua sana leo mnajidai kujitenganisha nae??!!kikwete ni chaguo la kanisa na kawekwa pale na kanisa,mkapa hakua chaguo la mungu wa wakatoliki aliwekwa pale na nyerere ndio mana alikua halisikilizi kanisa na ndio mana hata siku anamnadi kikwete uchaguzi wa 2010 siku ile kikwete alipoanguka kabla mkapa aliwasemea ovyo kina pengo kwamba kama wanatamani siasa wavue majoho waje kwenye siasa tupambanie huku,tuongee tu mambo mengine haya mambo achaneni nayo
Ufisadi wa MoU uko hapa ambapo DR Slaa nasikitika hakuweza kutuelezea kwa undani:
The government shall provide vacancies in its Teachers training colleges for training qualified persons as teachers earmarked for church owned schools. Article xi