Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Mimi labda sijaelewa Slaa anatolea ufafanuzi kama msemaji wa kanisa au kiongozi wa chadema.Babu mbona unatuchanganya uko upande upi
anaongea kama witness so cjui kama kuna tatzo...unless ukitaka kuliumba tatizo kwa ubishi wako...
 
anaongea kama witness so cjui kama kuna tatzo...unless ukitaka kuliumba tatizo kwa ubishi wako...

Binafsi nampongeza DR Slaa kwa kuonesha ni jinsi gani alihusika kwenye huu ufisadi wa MoU wazi wazi.

Maswali ya ufisadi huu kwa mujibu wa contents za MoU ni haya hapa:

Ufisadi wa MoU uko hapa ambapo DR Slaa nasikitika hakuweza kutuelezea kwa undani:

The government shall provide vacancies in its Teachers training colleges for training qualified persons as teachers earmarked for church owned schools. Article xi

The government shall endeavour to include financial assistance for church run social services in its bilateral negotiations particularly with the Federal Government of Germany. Consideration shall be made during its bilateral negotiations with other donors. Article xiii.

Sasa wakristo tujadiliane kwa hoja:

1)Hivi ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kutowa nafasi za upendeleo kwenye elimu kama artcle xi inavyosema, tena isitoshe kw manufaa ya kanisa?

2)Ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kuombea kanisa misaada katika Nyanja za kimataifa.

Sasa hapa ni kipi mnahitaji kuoneshwa ili muamini kwamba serikali inawazunguka waislam?

Ufisadi unaanza hapo kwenye hivyo vipengele viwili vya MoU. Jadili hoja sio mtu.
 
Kwa ufafanuzi huu mwenye kutaka kuelewa ameelewa labda yule asiyetaka huyo hakuna la kumfanya. Ni kama shetani leo umwambia dhambia mbaya pamoja na kwamba anajua ubaya wake na ndiyo maana alifukuzwa mbinguni, bado atabisha na kuendelea kushawishi watu waendelee kuitenda tu.
 
Hilo ndio tatizo lenu. Unakataa nini hapo:

Kwamba hizo article si sehemu ya MoU au kitu gani kimepotoshwa?

quote_icon.png
By Freshthinking

Ufisadi wa MoU uko hapa ambapo DR Slaa nasikitika hakuweza kutuelezea kwa undani:

The government shall provide vacancies in its Teachers training colleges for training qualified persons as teachers earmarked for church owned schools. Article xi

The government shall endeavour to include financial assistance for church run social services in its bilateral negotiations particularly with the Federal Government of Germany. Consideration shall be made during its bilateral negotiations with other donors. Article xiii.

Sasa wakristo tujadiliane kwa hoja:

1)
Hivi ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kutowa nafasi za upendeleo kwenye elimu kama artcle xi inavyosema, tena isitoshe kw manufaa ya kanisa?

2)
Ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kuombea kanisa misaada katika Nyanja za kimataifa.

Sasa hapa ni kipi mnahitaji kuoneshwa ili muamini kwamba serikali inawazunguka waislam?

Ufisadi unaanza hapo kwenye hivyo vipengele viwili vya MoU. Jadili hoja sio mtu.

Ndio maana mnaambiwa msome elimu dunia zaidi ili muweze kuanalyze mambo kitaalam

Kukusaidia

1) serikali sio ilitakiwa itoe upendeleo...shule kama zilivyo hospitali, serikali iliomba kanisa liendelee kuhudumia watanzania wote bila kubagua .... Sehemu ya makubaliano hayo ni serikali kupeleka watumishi kwenye shule na hospitali hizo na kuwalipa mishahara na stahili zao mbali mbali .... Nenda kwenye shule hizo na hospitali kama kcmc utakuta watumishi walioajiriwa na serikali, wanalipwa na serikali na kuna walioajiriwa na kanisa, wanalipwa na kanisa.....lakini wote wanatoa huduma kwa watanzania wote bila kubagua ...... Kinyume na hivyo ni serikali iruhusu makanisa yaendeshe shule na hospitali hizo wanavyotaka kibiashara, ambako zitakua kama agakhan mzizima school or hospital.....watanzania wangapi watamudu hawa wa kijijini?

2) hiyo issue ya misaada ni kwamba kama serikali na kanisa zinaendesha hizo shule na hospitali kwa pamoja, isiwe ni jukumu la kanisa tu kuomba misaada mbali mbali ..... Serikali nayo inatakiwa ifanye jukumu hilo kwa upande wake pia

I hope nimekusaidia ukaelewa mkuu
 
Typical mudi follower. Ndio lugha zenu hizo zisizo na staha. Hii ni aibu.

Mudi follower wana akili hawana porojo kama wewe. Hivo hiyo ni aibu kubwa kuliko kiongozi kama DR Slaa kuthubutu kuja kutetea ufisadi huu wa MoU?

Ufisadi wa MoU uko hapa ambapo DR Slaa nasikitika hakuweza kutuelezea kwa undani:

The government shall provide vacancies in its Teachers training colleges for training qualified persons as teachers earmarked for church owned schools. Article xi

The government shall endeavour to include financial assistance for church run social services in its bilateral negotiations particularly with the Federal Government of Germany. Consideration shall be made during its bilateral negotiations with other donors. Article xiii.

Sasa wakristo tujadiliane kwa hoja:

1)Hivi ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kutowa nafasi za upendeleo kwenye elimu kama artcle xi inavyosema, tena isitoshe kw manufaa ya kanisa?

2)Ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kuombea kanisa misaada katika Nyanja za kimataifa.

Sasa hapa ni kipi mnahitaji kuoneshwa ili muamini kwamba serikali inawazunguka waislam?

Ufisadi unaanza hapo kwenye hivyo vipengele viwili vya MoU. Jadili hoja sio mtu.
 
...

The government shall provide vacancies in its Teachers training colleges for training
qualified persons as teachers earmarked for church owned schools.
Sasa kosa ni lipi iwapo the church likiomba qualified person kwenda kusoma ili waje kuwa qualified teachers waliosoma TTC za serikali, and then kwenda kuserve as teachers kwenye shule za kanisa? Au unataka kusema walimu waliosoma TCC wanakatazwa kwenda kufundisha shule za kiisilamu? Sana sana mamlaka za elimu zimekuwa zikisisitiza ubora wa walimu katika shule binafsi, sasa kama waisilamu mmeamua shule zenu zifundishwe na mtu yeyote ili mradi anaitwa Abdalla au Said, matokeo yake ndo hayo, wakristu wanaperform vizuri kwenye shule zao na waisilamu on average wanaendelea kushika nafasi za chini. Pengine hilo halikuhitaji hata MOU, ni automatically walimu lazima wawe wamepitia mafunzo ya ualimu, kwa hiyo hakuna hoja hapo ya kuilalamikia MOU
 
Dr Slaa kitaaluma ni Padre ni vizuri angefunguka zaidi kuhusu ili suala la MoU.
 
Mkuu wanakuja baadae muda huu wapo vibarazani Wanakunywa gahawa

Tusisahau kuwa mpaka sasa maaskofu wametoa option mbili,serikali kuwaelezea uma ni nini kilichomo ndani ya MOU(sidhani kama kuna maelezo zaidi ya alioeleza Dr Slaa) au kuvunja MOU ambayo madhara yake yatakuwa makubwa kwani operational/administrative cost zitaenda kwa mtanzania pasipo kujali dini,kabila wala chama mfano sasa ivi kuna manesi/madokta wanaolipwa mshahara na serikali moja kwa moja kutokana na MOU kama mambo yakibadirika sio siri kuwa x-ray itakuwa 150000,wakina shehe ponda wajiulize ni waislam wangapi watamudu iyo????
Sheikh PONDAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!Anashikishwa UKUTA na wadau wenzake,Hawa jamaa akili zao ndogo kama Sisimizi aka (KAFULILA)!Pu................................VU!
 
Huduma za jamii ni kazi ya serikali, kwa hiyo mashirika ya dini yanafanya hivyo kwa hisani tu. kwa maneno mengine serikali ilitakiwa kufanya hayo yote, lakini tuyashukuru hayo mashirika kwa kuisaidia serikali. na nina uhakika mashirika ya dini zote yananufaika na fedha za serikali, ingawa yanatofautiana viwango kulingana na yalivyojiwekeza.
Ushauri: Tumieni haya mashirika kujiendeleza hasa kielimu, kwasababu miaka ijayo mambo yatakuwa mabaya zaidi. mimi watoto wangu nawapeleka shule yoyote iliyo bora bila kujari ni ya kiislamu au kikristo ilimradi inafuata maadili na kutoa elimu bora. Chonde chonde ndugu zangu badala ya kuendeleza malumbano ni vizuri ukatumia fulsa zilizopo ili baadae usiendelee kuwa mlalamikaji. Sisi ni ndugu ukristo na uislamu umeletwa ukatukuta, sasa iweje uwe bora zaidi ya udugu wetu? kama dini zinatugombanisha basi hizi dini hazina maana.

Kwa sasa shule binafsi ndizo bora zaidi ni hiari ya kila mmoja wetu kuona ubora huo. shule hizo hazichagui mtoto kwa dini yake.Hii ni fursa mpya inayotengeneza bomu jipya wale wanaowekeza zaidi kupeleka watoto wao kwa fedha za mifukoni kwao watakuwa bora zaidi miaka ijayo. Hivi sasa Elimu ni fedha na Afya ni fedha hakuna jinsi tunavyoweza kurudi nyuma kwenye huduma za bure za kijamii. Sekta binafsi ndio ina nguvu kuilalamikia serikali kwa sasa ni kupoteza muda.
 
Sasa kosa ni lipi iwapo the church likiomba qualified teachers waliosoma TTC za serikali kwenda kuserve as teachers kwenye shule za kanisa? Au unataka kusema walimu waliosoma TCC wanakatazwa kwenda kufundisha shule za kiisilamu? Sana sana mamlaka za elimu zimekuwa zikisisitiza ubora wa walimu katika shule binafsi, sasa kama waisilamu mmeamua shule zenu zifundishwe na mtu yeyote ili mradi anaitwa Abdalla au Said, matokeo yake ndo hayo, wakristu wanaperform vizuri kwenye shule zao na waisilamu on average wanaendelea kushika nafasi za chini. Pengine hilo halikuhitaji hata MOU, ni automatically walimu lazima wawe wamepitia mafunzo ya ualimu, kwa hiyo hakuna hoja hapo ya kuilalamikia MOU

Jabulani
siwezi kudoubt uwezo wa lugha ya kiingereza hata kidogo ila unapotosha kwa makusudi.

MoU inasema hivi

The government shall provide vacancies in its Teachers training colleges for training qualified persons as teachers earmarked for church owned schools. Article xi

Yaani serikali itowe nafasi katika vuo vyake vya ualimu kwa kuwafundisha wakufunzi ambao watakwenda kusomesha katika shule za kanisa.

Hapa nafasi za upendeleo ni kwa ajili ya kufundisha walimu kwenye vyuo vya serikali ili wakitoka waende kufundisha kwenye shule za kanisa. Huu si ufisadi??????????????
Sasa wakristo tujadiliane kwa hoja:

1)Hivi ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kutowa nafasi za upendeleo kwenye elimu kama artcle xi inavyosema, tena isitoshe kw manufaa ya kanisa?

2) Kama huyu DR anashabikia MoU ambayo iko kifisadi kunufaisha kundi moja la jamii, itakuwa vipi baadaye kwenye upresident?
 
Dk Slaa tunashukuru kwa huu ufafanuzi ila sasa sijui kama wamekuelewa,kwasababu zaidi ya mwalimu wa madrasa sijui kama hata mwalimu darasani wanamuelewaga
Hawa waislmu watakufa huku wanalalamika

Juzi weneyewe wamejionea kule Mkuranga jimboni kwa Malima yaani wananchi mchana kweupe wanasema wanona bora kupeleka watoto madrasa kwa sababu hakuna gharama kubwa kuliko shule za msingi kwa sababu ni gharama, muislamu mwenzao malima anawambia changieni nguvu mjenge shule hawataki wao wanataka madrasa tu, matokeo yake ndo haya unamsema vibaya jirani kisa anakula wali kila siku
 
ufafanuzi huu unaweza kusaidia kupata majibu ya malalamiko mbalimbali kuhusu MOU.
 
ccm na kanisa havijawahi kutengana/kutenganishwa msichanganye mambo,mmesahau kanisa ndio lilitamka kwamba kikwete huyu ni chaguo la mungu na waislam tukasema astaghafirullah,wakristo wakakenua sana leo mnajidai kujitenganisha nae??!!kikwete ni chaguo la kanisa na kawekwa pale na kanisa,mkapa hakua chaguo la mungu wa wakatoliki aliwekwa pale na nyerere ndio mana alikua halisikilizi kanisa na ndio mana hata siku anamnadi kikwete uchaguzi wa 2010 siku ile kikwete alipoanguka kabla mkapa aliwasemea ovyo kina pengo kwamba kama wanatamani siasa wavue majoho waje kwenye siasa tupambanie huku,tuongee tu mambo mengine haya mambo achaneni nayo

Mkuu kauli ya kwamba Kikwete ni chaguo la Mungu halikuwa tamko la CCT/TEC, bali ilikuwa kauli ya Methodius Kilaini kama yeye. Tusichanganye au kuhukumu kanisa kwa kauli ya mkristo moja kwa hisia na mtazamo wake.

Ukitaka kujua ilikuwa kauli ya Kilaini BOFYA HAPA
 
Ufisadi wa MoU uko hapa ambapo DR Slaa nasikitika hakuweza kutuelezea kwa undani:

‘The government shall provide vacancies in its Teachers training colleges for training qualified persons as teachers earmarked for church owned schools’. Article xi

Kumbuka kwa muda mrefu serikali imekuwa ikifundisha watu wanaokwenda kufanya kazi katika taasisi zake. Taasisi za elimu za kanisa zilikuwa zinakosa watu. Shule si majengo bali ni uwepo wa wanafunzi na walimu wanaotumia majengo.
Kanisa lilihitaji sana hawa waalimu wenye sifa. Na ndiyo sababu lilikuwa tayari kupeleka vyuoni watu wenye sifa si mazuzu just kwa upendeleo wa kanisa.

Pili, unaweza kutuonyesha wapi wamesema kuwa shule hizo zinafundisha watu kwa manufaa ya kanisa tu? Husianisha na shule alizosoma Mwanaasha K.

Unapojadili hili usiache muktadha uliokuwepo nyakati mkataba huu unawekwa.
 
Back
Top Bottom