Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimekuuiza serikali ya ccm/kikwete wanatetea maslahi ya kanisa? kutoupenda kwangu uislam ni sawasawa na kama yule ambaye labda hapendi kuvaa nguo ya dhambarau lakini akiona mwenzake amevaa nguo ya rangi hiyo anakuwa hana tatizo...nina maana mimi binafsi uislam haunivutii lakini sina shida na muislam ...nijibu swali langu hapo juu...
Ufisadi wa MoU uko hapa ambapo DR Slaa nasikitika hakuweza kutuelezea kwa undani:
The government shall provide vacancies in its Teachers training colleges for training qualified persons as teachers earmarked for church owned schools. Article xi
The government shall endeavour to include financial assistance for church run social services in its bilateral negotiations particularly with the Federal Government of Germany. Consideration shall be made during its bilateral negotiations with other donors. Article xiii.
Sasa wakristo tujadiliane kwa hoja:
1)Hivi ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kutowa nafasi za upendeleo kwenye elimu kama artcle xi inavyosema, tena isitoshe kw manufaa ya kanisa?
2)Ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kuombea kanisa misaada katika Nyanja za kimataifa.
Sasa hapa ni kipi mnahitaji kuoneshwa ili muamini kwamba serikali inawazunguka waislam?
mkuu umejibu vyema, sina swali jingine...Ndiyo CCM wana maslahi na Kanisa wanamuenzi muanzilishi wa CCM Nyerere. Lete swali lingine.
Wenye akili ndogo watakubali kwamba MOU iko safi lakini,ukweli utasimama,kuna dini nyingine wamezoea propaganda na uongo mana dini zao na imani zao zinawafundisha hivyo.unaweza kumdanganya mtu kwa muda flani ila huwezi kumfanya mjinga muda wote.eti wanadai MOU iko kisheria,Kanisa ndio waasisi wa Ufisadi Tanzania,ndio mana adui yao mkubwa ni ujamaa na uislamu,ukisoma kitabu cha prof Huntington na john Sivalon utajua mfumo kiristo wa nchi yetu.ha ha ha inachekesha sana mtu anavyofagilia MOU na kansa inayolitafuna taifa
Dr. Slaa kaelezea kwa kirefu tu mantiki nyuma ya MoU. Nimeelewa.[/QU
halafu watu wakisema serikali inaendeshwa na makanisa mbishe
Fresh,
Ukifuatilia majibu ya Mnyamahodzo na wengine utaona maswali yako 2 yamejibiwa kwa kina ila inaonekana sio majibu uliyoyataka.
Naomba nikufahamishe hivi ya kuwa ktk mikataba kuna vitu vingi vya msingi mbali na maandishi na saini ambavyo kwa pamoja huusababisha mkatana kutekelezeka na kueleweka. Moja ya kanuni za kutafsiri sheria na mikataba zinalazimisha kuheshimiwa kwa kanuni ya "Rule of Context". Huwezi kuchagua/kuchomoa sentensi fulani kisha ukaitoa nje ya muktadha na kuipa tafsiri au kutaka ipewe tafsiri kinyume na mwili wa mkataba.
Nijibu swali lako la pili, kama ulivyosisitiza hapo juu kwa kupigia mstari. Nitaenda kwa urefu kidogo.
Kanisa lilikuwa linakubaliana na serikali ya Tanzania kuhusu namna ya kutoa huduma zilizotajwa na kujadiliwa kwa kina huko juu/nyuma. Kanisa kwa vile lina utaratibu wa kutoa huduma bora likasisitiza kuwa ubora walimu watakofundisha shule (zitakazoendeshwa na kanisa) lazima uheshimiwe na kutambuliwa. Hivyo wakaleta hoja mezani kuwa serikali itoe nafasi (wewe unasoma upendeleo) kwa walimu wenye sifa kupata mafunzo.
Wewe ulitaka kuwe na kitu kama hiki'....earmarked for state (or) muslim owned schools' ndipo hisia zako zingetulia kidogo, sio?
Well, sasa kama Kanisa lingesema hiyo sentensi (nadhani ambayo wewe ulitaka iwe) je hiyo MOU ingekuwa ni baina/kati ya Serikali vs nani? i.e. offer and receivership. Kuwepo kwa hicho kipengele ktk MOU kunalazimisha kutambulika kuwa wakishahitimu wataenda wapi.
Kwa mfano Kanisa lingesema Serikali itoe mafunzo halafu lisiseme wakifuzu wataenda wapi, Serikali huenda ingekataa maana haikuwa na fedha za kutoa huduma mama husika sembuse kufikiria kutoa ajira mpya, kwani haikuwa na uwezo wa kifedha wakati. Kanisa liliweka bayana kuwa litateua watu wenye sifa na kisha litawapokea na kuwapangia kazi (ajira). Kanisa halikusema litapeleka watu wa dhehebu fulani tu, bali wenye sifa/uwezo ndio kigezo! Na hao wahitimu hawekuwa wanakwenda kufanya kazi kanisani bali mashuleni, hivyo dhana ya Kanisa kufaidika kama Kanisa ni dhaifu mno
Na kama hoja hiyo inakuumiza na kukuchefua hebu jiulize ni vipi leo inakuwa maelfu ya walimu wanahitimu kila mwaka ..... je ni % wanaopata ajira, hasa serikalini? Nadhani unaona bayana kuwa hoja yako inaelea hewani na kupotelea huko!
Kwa hivyo in context, ni kuwa Kanisa liliitaka Serikali iheshimu na kuwajibika kimkataba juu hoja muhimu ya ubora wa walimu kama sehemu ya utekelezaji wa MOU nzima. Jitahidi usisome zaidi ya kilichoandikwa.
Duh!
Ama kweli ****** mna mambo!
Hamlali?
sasa kuna watu wanataka kubadilisha maneno mara ohh Ujerumani mara ohhh sijui nini
waislam walipopeleka MoU yao ambayo ilikuwa ilikuwa sawa na hii wakaambiwa ohhh fanyeni Subra kwanza kuja kushtuka too late.
Mimi naona badala ya kubishana kila mmoja apige madili kivyake au mnasemaje maana hapa ni ngumu kutaka FAIR PLAY wakati the entire game is UNFAIR
Well done.Niruhusu nikuulize swali rahisi lakini litakalokupa ufahamu rafiki, swali lenyewe ni hili: Kwa mfano Tanzania wanawake wanaishi takriban miaka 54 na wanaume kwenye 50, kwa hiyo kwa kuwa tumeshindwa kuhakikisha life expectancy ya wanaume inalingana na ya wanawake, basi tuwaue wanawake wote mara wafikishapo umri wa miaka 50 for the sake of equality?
Logic ya swali hili ni kwamba idea ya kwamba MoU ifutwe ili waislam wawe sawa na wakristo haina tofauti yoyote na ile ya kuwaua wanawake mapema ili wafe katika umri sawa na wanaume. Ni jambo gani hasa gumu kwa ndugu zetu wa kiislamu kujiorganize na kujenga mashule, mahospitali, vyuo n.k na kisha kuomba serikali kusaidia? Nchi hii inahitaji huduma zaidi na zaidi na sio kubomoa zile ambazo tayari zipo. Ninyi watu wachache acheni kudhalilisha dini ya kiislamu kwa ku argue vitu ambavyo hata mtoto wa kindergaten hawezi kuargue. Ni hilo tu, ukitaka kunisikia sikia, otherwise endeleeni kujidhalilisha na kuidhalilisha dini ya kiislamu.
usisahau na kufunga kiremba almaarufu kama baby show:shut-mouth:Inaitwa pedo au pekosi
Ufisadi wa MoU uko hapa ambapo DR Slaa nasikitika hakuweza kutuelezea kwa undani:
The government shall provide vacancies in its Teachers training colleges for training qualified persons as teachers earmarked for church owned schools. Article xi
The government shall endeavour to include financial assistance for church run social services in its bilateral negotiations particularly with the Federal Government of Germany. Consideration shall be made
Kwa kuwa humu JF kuna wabunge tena wa pande zote: chama tawala na upinzani. Tena wapo waislamu na wakristo.
Tuwaombe John Mnyika, Zitto, Tundu Lissu, HKigwangalla, Dr F. Ndugulile n.k. walipeleke hili suala kama swali kwa Waziri mkuu, au hoja binafsi inayoomba maelezo ya kina ya serikali, na ipate muda wa kujadiliwa ili kuondoa usiri uliopo, na kuweka wazi mambo yaliyopo kama ni kwa maslahi ya watanzania wote au vikundi fulani tu.
Ndiyo CCM wana maslahi na Kanisa wanamuenzi muanzilishi wa CCM Nyerere. Lete swali lingine.
dr. kumbe nae yumo kwenye MoU?