Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini


Hapa unazungumzia "Tanzania isijiunge na OIC", jibu mbona unalo tayari? Tanzania haina dini, hamna aliyepinga hiyo OIC kuwajengea mashule na mahospitali, kwa nini mnataka Nchi kama nchi ijiunge na taasisi ya kiislamu? Ndiyo yale yale ya kutaka mahakama ya kadhi itambuliwe na katiba huku mmesharuhusiwa ninyi kama ninyi mzianzishe wala hamna aliyewazuia. Mbona mnangangania Tanzania! kuna siri gani hapa? Nchi kama nchi haina dini, period.
 



Freshthinking


mkuu leo sikupenda tulumbane.

Kuna hoja unaijenga vizuri lakin mwishoni conclusion inabakia matatani.

Nani apeleke malalamiko ya waislam serikalini

a) Wakristu ambao wanalalamikiwa au

b) waislam yaan walalamikaji

Je hili nalo ni la kukomaa nalo hapa mkuu wangu! lete mtazamo wako.
 
Tatizo langu laudini haliwashindi nyie wakristo mnaodhulumu taia wenzenu kwa kutumia MoU kwa kisingizio kwamba na waislamu wanatumia huduma. Lengo ni kila siku waislamu wawategemee wakristo kwenye mashule na mahospitali?

Wakati wa sherehe ZA idi KWENYE msikiti wa Ghadafi Mhe Rais alisema Kama waislamu tatizo ni MOU, Nanyi leteni ya kwenu badala ya kukaa KULALAMIKA , au bado mko KWENYE mchakato wa kuandika?
 
Hawa Wailamu badala ya kuhangaika na mikataba mibovu ya raslimali za taifa, baadala yake wanalalamikia serikali kuridhia misaada ya ujerumani kwa makanisa ya Tanzania... Hata haiingii akilini!

Ujinga mtupu!!!!! Mi afrika ndivyo tulivyo!!!,
 


Hongera kwa kumpatia Fresh Majibu ya uhakika. Namuomba akasome historia kabla ya kudandia mandala.
 

Hivi OIC (Organization of Islamic Cooperation) umeifuatilia vizuri au unapekecha tu keyboard hapo kujifurahisha? OIC members wake ni Islamic Countries na haiamini katika Universal Declaration Of Human Rights, wanayo ya kwao inaitwa Islamic Declaration of Human Rights. Na hii declaration imedraw alot from Quran and Sunnah. Sasa kwa akili za kawaida tu how can this be implemented in a country ambayo hata wapagani wamo? Tanzania haina dini, kama OIC inaweza kuzipa taasisi za kiislamu hapa nchini misaada ili wajenge mashule na mahospitali kwa faida ya watanzania mbona ndio mambo tunayoyataka. Lakini kulazimisha nchi kujiunga nafikiri si sawa.
 
Hakuna kitu kibaya katika taifa au kwa upande wa difulani kuwa na watu wenye akili mgando ni mbaya sana kwa taifa linalo endelea na lililo endelea ,badala ya kuzungumzia maendeleo tuna zungumzia udini? Wazazi wenu ,nyie na viongozi wenu wametokea na kupata huduma ktk hizi taasisi ,hapa mnatakiwa tuzungumzie ni jinsigani serekali inatakiwa kuzisaidia na kuhakikisha zinasonga mbele. Wenzenu wali wekeza na kuhakikisha bila kuwekeza katika elimu kwanza na afya hakutakuwa na msingi zuri wa dini,ila kwa wengine waliwekeza kwanza ktk dini tuu wakiamini ukielimisha hakutakuwa na msingi imara wa dini,ndiyo maana leo tunazungumzia maada ya kipuuzi kiasi hiki
 

Asante Pax.
Hiyo inapaswa kuwa ni mada nyingine ya peke yake siku nyingine. Ila si vibaya pamoja na mengine ajiulize ni kwanini Waislam wengi wanapinga Tanzania isiwe na uhusiano wa kibalozi na Israel, ambayo ni nchi kamili?
 
.
Kutokana na simu ninayo tumia siwezi kukupa like.ila chukua like . Ukiwa na kilema usipo kubali aina ya kilema ulicho kuwa nacho utasumbuka sana,sijui kuna shule ,vyuo au hospitali ngapi za wenzetu zinazo toa huduma kwa kiwango cha juu? Hivi mlisha fanya research ktk maeneo fulani kukiwa na watu wengi wa aina moja na wa dini moja huwa kuna kuwa na maendeleo sana au kuna kuwa hakuna maendeleo kabisaa. Nachukia sana udini ktk maisha yangu .
 

Mkuu Pax, hawa jamaa wapo kijumlajumla tu, hawataki analysis ya aina yoyote. yani wao ni "chukua hapa wapu" halafu unaweka pale paaaaa, basi. ghafla bin vuu tu mambo iwe byeeee. kufanya uchambuzi ili wajue mchele ni upi wauchukue uwafae na pumba ni zip wazitupe hawataki.

ukiacha huo mfano uliompa, hawa jamaa ukiwasoma post zao ni kwamba wanataka sasa hivi, yaan sasa hivi, mathalani kwenye matokea ya mitihani ijayo mwaka huu, kiwango cha ufaulu wa wanafunzi wa theists wa kiislamu iwe sawa na ile ya theists wa kikiristu, kwa ubora na wingi. yan kiwe sawa tu, just like that from no where. ukiwaambia suala la kuwekeza, miundombinu, waalimu, HR nzuri, menejement ya kisayansi, uchambuzi wa changamoto na matatizo, hard work, consistence, sacrifice, kujituma, vision mission....hivyo vyote wao hawaki kuskia, they just want to be equal, baas, just like that. hawajui wenzao wametoil for years and years with a lot of sacrifices. na zaid kwa theists wa kikristu ni kitu ambayo iko inherent kwenye hizo dini yao. embu angalieni wenyewe waislamu, ukikuta kanisa hapa, hapo pembeni kuna nursery, pale kuna hosptal, yaan is a question of their phylosophy, yaan ndivyo walivyo, its natural to them, si kitu wana lazimisha. sasa cha msingi jifunzeni kwao na tekelezeni kwenu. hiyo ndo njia pekee, hiyo strategy nyingine mnayotumia ya humo misikitini kuwa eti kafir chinja kafir chinja haitawapeka popote ndugu zanguni....uzur ni kwamba naona tu kwamba theist wakristu wapo tiyar siku zote kuwaona ninyi theists waislam nanyi mnatoka, ni nyie tu sasa..

ushaur wa bure wala msinilipe. Embu Lianzisheni halafu tuone kama hamtapewa ushirikiano. katika yote anzeni na elimu kwanza na jiwekeen malengo na MIPANGO. kwamba after certain years, say ten years, tuwe hapa then after another ten yers tuwe pale.. msije mkafkiri ni jambo la kufumba na kufumbua. istoshe msifanye kwa kushindana na mtu, fanyeni huku mkichukulia kama harakati tu za kujiendeleza na kuendeleza dunia kwa vizazi vijavyo. lengo liwe hasa kwa ajili ya kizazi cha pili au tatu na kuendelea...

haya bana msijesema hamkuambiwa. vinginevyo kama mnataka kuendelea kuskiza na kusoma fitna za mzee Mohammed Said na mambo zenu za redio iman...haya, sawa tu, ila tutakutana kwenye soko la ajira la afrika ya mashariki.
 

kaka aman wala usiogope ni kwamba hakuna kitu kama uwepo wa mungu. ni kwamba tu watu wana interest zao. mungu wa wapi wa kuchinjachinja binadamu kama kuku! unaona kinachoendelea huko Nigeria, mali, somalia nk nk. watu wana chinjana eti kwa imani kuwa wanampigania Mungu wao...hivi wewe unaamini kitu kama hicho? hata kama hujalionaga darasa sintaweza kuelewa kwa nini huon kuwa kina mzee Mohammed Said ni ama wapo kimaslahi zaid au ni just frustrated chaps ambao wapo tiyari kusema liwalo na liwe potelea kote...
 
Ukiyasoma vizuri maelezo ya Dr. Slaa, yanaelekwa vizuri tu, lakini kuna watu wabishi sana, hata kama kitu kiko straigght, wataleta mbwembwe za kupinga pinga tu!
 
Sawa ila Propaganda za Ukanda dhidi ya CHADEMA hutumiagi Ubongo kufikiri? Au?

ijapo mimi ni atheist lakini huwa nina kubaliana na kitu nabii au maono. Mzee Nyerere alikuwa nabii...skiza maneno yake....

mtu yeyote aliyefilisika sera, akishafilisika sera, atajikhalalisha kwa udini wake au kwa ukanda wake, uzanzibar wake au uzanzibara wake....agalia maneno ya mzee yanavyodhihiri mchana kweupe. yaan hapa watu silaha ni udini ukanda, udni ukanda. BTW hivi CUF baada ya kugrow weak imeaacha udini sku hizieee?!!
 
mbona Dr Slaa haongelei hayo mabilioni ambayo Serikali inawapatia makanisa kila mwaka chini ya hiyo MOU? au ni kuna MUO nyingine tena? Dr Slaa tunaomba uliongelee hilo nalo ili tuwekane sawa kuwa upande mwingine wa jamii hawanyonyeki chini ya huo mkataba. Tunaomba pia ufafanuzi juu ya serikali kutoa pesa kuchangia maendeleo ya kanisa kama inavyosomeka ktk hiyo MOU. Itasaidia kuondoa wingu la malalamiko baina ya jamii ya watanzania. Mos usifute ujumbe huu tafadhali
 

1. kama mtanzania unahaki ya kufanya research halafu tuletee ulichokipa tujadi

2. kama mtanzani unahaki kikatiba kuiomba serikali yako kukupa majibu

3. Unaamini akikuletea majibu hutaanza kuvutana naye? kama ndiyo utavutana nae, basi serikali ndiyo sehem sahihi kupata majibu

Niwajibu wako kuenda serikalini kuutafuta ukweli maana yote yanayojadiliwa hapa hakuna mweye imani na majibu yayotolewa na

kupata majibu yasio na utata wowote ni serikalini sio kwa Dr slaa, kama Slaa ataona inafaa kwahiari yake nakama anadata za

kutosha anaweza lakini la muhimu niwewe usisubili kuletewa uanze kubishana kama tunavyofanya sasa.
 

na si kutaja tu bilioni kadha, bali pia isemwe kwa hizo bilioni kadha ni wajawazito wangapi wamehudumiwa, na mabusha mangapi yamepasuliwa, ni matende mangapi yameponywa nk nk. miezi miwili iliyopita nililazwa kcmc, vibarakashe, mitandio, burkha zilikuwepo kila mahali, salam aleikhum kwa sana tu, si watoa huduma si wahudumiwaji...kama kuna asiyekubali basi na itumwe timu hata kesho.

tatizo ndugu zetu hamtaki kutibu tatizo ninyi mnahangaika na chuki zenu. hivi sasa tupo dunia ya utandawazi, ni ushindani kwa ku-go front. kama hamtaki kufunga mikanda na kupambana nan atawatizama ninyi eti mnabaki nyuma? the weak will definitely die. mmeona mafisad wanavokomba mpaka mboga?! shaur yenu ninyi bakini kulialia tu. watu hawakimbii tena, sasa hivi ni kwamba wanapaa mawinguni
 
Mkuu Adolay; Nimeipenda hii. Walipa kodi wa TZ wana haki ya kuhoji matumizi ya kodi zao. Mjibu hoja mkuu sasa awe Serikali. Dr Slaa ametoa mwanga wa chimbuko la MOU. Swali la kwanini MOU? limejibiwa kitaalam na DR wa UKWELI. Dr Amemaliza kazi yake Serikali sasa inajukumu lake!! kutoa majibu!!
 
Safi sana Rais wetu mtarajiwa. Tatizo hawa jamaa zetu wanapenda kukurupuka tu. Mimi nawashauri wawekeze kwenye elimu dunia na wasikalie tu elimu ahera.
 

Haya ukomeshe basi
 
PETS: Public Expenditure tracking systems: Walipa kodi wote; waislamu na hata wakristo wahoji serikali serikali yao sasa siyo Dr Slaa tena. Serikali inajua inatoa sh ngapi kwa nani na kwa matumizi gani na kwa nini. Spare the Dr on this please he has played his part on Why the MOU? and the rationale!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…