Hivi OIC (Organization of Islamic Cooperation) umeifuatilia vizuri au unapekecha tu keyboard hapo kujifurahisha? OIC members wake ni Islamic Countries na haiamini katika Universal Declaration Of Human Rights, wanayo ya kwao inaitwa Islamic Declaration of Human Rights. Na hii declaration imedraw alot from Quran and Sunnah. Sasa kwa akili za kawaida tu how can this be implemented in a country ambayo hata wapagani wamo? Tanzania haina dini, kama OIC inaweza kuzipa taasisi za kiislamu hapa nchini misaada ili wajenge mashule na mahospitali kwa faida ya watanzania mbona ndio mambo tunayoyataka. Lakini kulazimisha nchi kujiunga nafikiri si sawa.
Mkuu
Pax, hawa jamaa wapo kijumlajumla tu, hawataki analysis ya aina yoyote. yani wao ni "chukua hapa wapu" halafu unaweka pale paaaaa, basi. ghafla bin vuu tu mambo iwe byeeee. kufanya uchambuzi ili wajue mchele ni upi wauchukue uwafae na pumba ni zip wazitupe hawataki.
ukiacha huo mfano uliompa, hawa jamaa ukiwasoma post zao ni kwamba wanataka sasa hivi, yaan sasa hivi, mathalani kwenye matokea ya mitihani ijayo mwaka huu, kiwango cha ufaulu wa wanafunzi wa theists wa kiislamu iwe sawa na ile ya theists wa kikiristu, kwa ubora na wingi. yan kiwe sawa tu, just like that from no where. ukiwaambia suala la kuwekeza, miundombinu, waalimu, HR nzuri, menejement ya kisayansi, uchambuzi wa changamoto na matatizo, hard work, consistence, sacrifice, kujituma, vision mission....hivyo vyote wao hawaki kuskia, they just want to be equal, baas, just like that. hawajui wenzao wametoil for years and years with a lot of sacrifices. na zaid kwa theists wa kikristu ni kitu ambayo iko inherent kwenye hizo dini yao. embu angalieni wenyewe waislamu, ukikuta kanisa hapa, hapo pembeni kuna nursery, pale kuna hosptal, yaan is a question of their phylosophy, yaan ndivyo walivyo, its natural to them, si kitu wana lazimisha. sasa cha msingi jifunzeni kwao na tekelezeni kwenu. hiyo ndo njia pekee, hiyo strategy nyingine mnayotumia ya humo misikitini kuwa eti kafir chinja kafir chinja haitawapeka popote ndugu zanguni....uzur ni kwamba naona tu kwamba theist wakristu wapo tiyar siku zote kuwaona ninyi theists waislam nanyi mnatoka, ni nyie tu sasa..
ushaur wa bure wala msinilipe. Embu Lianzisheni halafu tuone kama hamtapewa ushirikiano. katika yote anzeni na elimu kwanza na jiwekeen malengo na MIPANGO. kwamba after certain years, say ten years, tuwe hapa then after another ten yers tuwe pale.. msije mkafkiri ni jambo la kufumba na kufumbua. istoshe msifanye kwa kushindana na mtu, fanyeni huku mkichukulia kama harakati tu za kujiendeleza na kuendeleza dunia kwa vizazi vijavyo. lengo liwe hasa kwa ajili ya kizazi cha pili au tatu na kuendelea...
haya bana msijesema hamkuambiwa. vinginevyo kama mnataka kuendelea kuskiza na kusoma fitna za mzee Mohammed Said na mambo zenu za redio iman...haya, sawa tu, ila tutakutana kwenye soko la ajira la afrika ya mashariki.