Si JK alituambia kuwa serikali ilitoa mabilioni kwa Kanisa, mbona hamkukanusha wakati ule? au tuna kosa gani kulihoji hili?!Kimeshawekwa mezani. Mmesutwa kwa kauli yenu ya uwongo kuwa MOU inatoa fedha za serikali kwa hospitali za makanisa. Kumbe ni fedha za wahisani. Mmesutwa kwa uwongo wenu kwamba hospitali za makanisa zilijengwa kwa hela ya walipa kodi wa Tanzania, kumbe ni hela ya walipa kodi wa Ulaya.
Hiyo serikali ya Ulaya inayotoa hela za kodi za wananchi wake (ambao wamelikataa Kanisa na kulitenganisha na Serikali)na kuyapa Makanisa ya Tanzania inabidi utaratibu ufanyike ili tupate kauli yao nao wanasemaje kihusu hili.
*Wabunge wa chama tawala na upinzani hawaibui hoja za ufisadi mkubwa namna hii bungeni kutokana na kufungamana kwao na sera za vyama vyao hivyo huu ni wakati muafaka kuruhusu wagombea binafsi.