Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

serikali haiwezi kufuta MOU,wakifuta wakristo watadai hospitali zao na shule zao..serikali wanahitaji zaidi MOU kuliko wakristo,.get that to your head
 
hao wote wana-fall kwenye ukristo,mkuu you talking like you have seen a ghost
Acha uongo wewe mbona wanaosali bikira maria hawaruhusiwi kusali na wenzao wakatoliki wakati wote ni dhehebu moja.Au unataka kuniambia mafundisho ya kibwetele nao ni ukristo?
 
Acha uongo wewe mbona wanaosali bikira maria hawaruhusiwi kusali na wenzao wakatoliki wakati wote ni dhehebu moja.Au unataka kuniambia mafundisho ya kibwetele nao ni ukristo?
tunaongelea mou au aina za madhehebu?lini uliwasikia hao wanalalamikia mou?
 
serikali haiwezi kufuta MOU,wakifuta wakristo watadai hospitali zao na shule zao..serikali wanahitaji zaidi MOU kuliko wakristo,.get that to your head
Na je serikali ikianza kudai misamaha ya kodi zao wana cha kulipa?

Na je serikali ikianza kudai misamaha ya kodi zao wana cha kulipa?

na huduma waliyotoa kwa wananchi serikali watailipaje?wakiwashitaki kwenye mahakama za kimataifa kwa kupora mali zao serikali watalipa damages?misamaha ya kodi hata bakwata na ngo wanapata,watumishi wa umma wanapata misamaha ya kodi waki-import magari..etc etc etc
 
tunaongelea mou au aina za madhehebu?lini uliwasikia hao wanalalamikia mou?
Kumbuka hizo shule na majengo ambayo wakristo wanaita ni mali zao ni zile zilizojengwa na wakoloni kwa kutumia rasilimali za nchi ya watanganyika.Na tukubaliana kuwa kama wanavyotaka kurithi mali hizo warithi pia na athari zilitokana ukoloni .
 
Mnatapatapa sana. Kama Kikwete alisema Kanisa linapokea mabilioni ni jukumu lenu kumhoji yeye mwenyewe binafsi atoe maelezo zaidi.
Hapo kwenye red unaelewa unachokizungumza? Wengine tumeishi huko na tunajua kinachoendelea. Ujerumani kuna kodi inaitwa Kirchensteur(Kodi ya Kanisa). Mimi kama mkatoliki nilikuwa nakatwa kodi hii. Sijui watu wa medhehebu mengine. Hii ni kodi ya kuendeshea shughuli za kanisa. Utasemaje wananchi wao wamelikataa kanisa na kulitenganisha na serikali wakati serikali hiyohiyo inakusanya kodi ili kuendesha shughuli za Kanisa? Hii hii kodi ndiyo tunaiona kwenye misaada inayosaidia huduma za jamii zinazotolewa bila ubaguzi wowote.
Mimi naona nyinyi mnapenda kulalama tu. Badilikeni
 
Ahali yangu suala langu ni pana sana linahitaji ufikiri na sio kutoa majibu rahisi kama yako.

Jiulize sababu za MoU hiyo za miaka hiyo mpaka leo zipo valid?
Je kwanini Serikali isijenge zake?
Je unajua makanisa haya yanachukua Serikalini kiasi gani kama admin fee kwa kukodisha majengo?

Kumbuka kuwa wanasamehewa misamaha ya kodi mbalimbali na vile vile Serikali kuweka wataalamu na wafanyakazi wake kuendesha hizo facilities.

Think before answer
 
According to its charter, the OIC aims to preserve Islamic social and economic values; promote solidarity amongst member states; increase cooperation in social, economic, cultural, scientific, and political areas; uphold international peace and security; and advance education, particularly in the fields of science and technology.[SUP][2][/SUP]
The flag of the OIC (shown above) has an overall green background (symbolic of Islam). In the centre, there is an upward-facing red crescent enveloped in a white disc. On the disc the words "Allahu Akbar" (Arabic for "God is Great") are written in Arabic calligraphy.

tofauti naona kwenye madhumuni: MUO inadhumuni la kusaidia watanzania("Tanzania People") wakati OIC inadhumuni la kudumisha Uislamu
 
Kama iliwachukua zaidi ya miaka kumi wamarekani kumkamata mtu mmoja, itachukua miaka mingapi kwa Tanzania?

Vita visikie na kuviona kwenye TV tu usiombe vipiganiwe nchini kwako.

Yaani mtuletee vita kwa sababu mmejaa wivu wa kike? Badilikeni jamani. Kikwete aliwaambia fursa ipo ni kuichangamkia tu. Kinachowashinda ni nini?
 
Mali zipi wewe mkoloni mweusi? ebu tuonyeshe shule iliyojengwa kwa nguvu za wakristo serikali ikapora.
 
Mkuu hiyo misamaha ya kodi kwa mashirika na taasisi za kidini ipo kila nchi na serikali za nchi hizo hazitaifishi mali za mashirika/taasisi hizo. That argument is irrelevant.
 
huoni hapo kwenye bold and red hilo swali kaiulize serikali ya ccm ya tanzania?misamaha ya kodi hata bakwata wanapata..
 
Kumbuka hizo shule na majengo ambayo wakristo wanaita ni mali zao ni zile zilizojengwa na wakoloni kwa kutumia rasilimali za nchi ya watanganyika.Na tukubaliana kuwa kama wanavyotaka kurithi mali hizo warithi pia na athari zilitokana ukoloni .
tofautisha ukoloni(serikali)na wamisionari..usitake kupotosha,lini wakoloni walijenga makanisa?
 
Kama iliwachukua zaidi ya miaka kumi wamarekani kumkamata mtu mmoja, itachukua miaka mingapi kwa Tanzania?

Vita visikie na kuviona kwenye TV tu usiombe vipiganiwe nchini kwako.
nani anataka vita?wewe ndio umeanza na vitisho kwa kunionyesha picha ya magaidi
 
Tatizo la hawa wenzetu wanapenda kulalamika bila kuwa na reasons,embu wajiulize waislam wangapi wanaenda pale pasada, hosp ya kanisa katoliki pele temeke usalama kupata huduma tena bure?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…