mizambwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2008
- 4,422
- 1,791
mwite dr slaa aje afafanue kama sio kutueleza kwanini bakwata walijitoa??
Yeye si alikuwa katibu mkuu kipindi hicho,bila shaka atakuwa anaufaham ukweli,,
1.je,ni kweli bakwata walijitoa kwa kuwa walikuwa hawana kitu na njaa kali??
2.au bakwata walionekana kama ni tishio kwa mipango mingine iliyofichikana wakatengw??
Kikubwa nilichokiona alichokisema dr slaa hapo ni yeye kutotaka kuisemea bakwata na kutotaka kujiingiza kwenye mjadala kama bakwata ni wasemaji wa uislam na waislam nchini hapa,hili bado lina ukakasi na dr slaa lazima atuweke wazi,,
siku zote kweli humfanya mtu kuwa huru zaid.
Mhhh
Kwa mtazamo wangu finyu inatakiwa viongozi wa BAKWATA ndio waitwe ili wathibitishe kama kweli walijitoa na katika mazungumzo hayo na kutueleza sababu za kujitoa. Tukimuuliza mtu mwingine kama Dr. Slaa sidhani kama anaweza kuwa na jibu lililonyooka la kutueleza kuhusu upande wa pili kujitoa.
WAITENI BAKWATA WAJIBU TUHUMA kwa nini walijitoa na kusababisha na sisi Waislamu tusisaini MOU kama walivyofanya Wakatoliki!!!!!!!!
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!