Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Kitu gani nilichozungumza na ku contradict uliyopost?!

Summer iliyopita nilikuwepo Frankfurt nilichokiona ni kuwa hata Waislamu katika baadhi ya Misikiti wanalipa kiasi fulani cha pesa kila mwezi misikitini mwao ili likitokea jambo la dharura kama vile mmoja wao amefariki hana haja ya kuzikwa katika nchi ya Kikafiri bali wanausafirisha mwili wake kwao (hasa hasa Waturuki).

Kama hawa Waislamu wakitaka, ada yao hii inakusanywa na serikali kupitia mishahara yao lakini serikali nayo inakata kodi, hii ni sawasawa na wanavyotendewa Wakristo.

Kwa hiyo kama ungeniambia kuwa pesa za wanachama wa Kanisa mojawapo au baadhi ya Makanisa ya Kikristo ujerumani wameona kuwa kulipishana ada wenyewe kwa wenyewe kila mwezi ni taabu au kuna uzito fulani hivyo wameona ni bora kuichia serikali iwakusanyie in return serikali nayo inazikata kodi hapo nitakuelewa.

Nitakuelewa pia ukiniambia kuwa hizi hela za Wakristo walioziachia serikali iwakusanyie ndio ambazo Wakristo (Si Serikali ya Ujerumani) ndio wanazoyapa Makanisa ya Tanzania nitakuelewa, lakini haiwezi kufikia idadi ya mamilioni sembuse mabilioni ya pesa za Kitanzania kwa mwaka.
 
Sasa haya mabilioni wanayopewa Makanisa kila mwaka yanatoka wapi kama sio mfukoni mwa serikali ya Watanzania?
 
Shule shule shule shule...shule muhimu bandugu. Naona haya mafundisho ya MoU uliyoyapokea, umeyapokea kama IMANI. Hata ukieleweshwa vipi hautaelewa.
Nimekubandikia kipande kutoka maelezo ya Dr. Slaa. Angali bold na link chini...halafu uniambie wajerumani wakisikia watakasirika...
MISEREOR - HOME
 
Sadeeq, kule kwa wenzetu ni sheria na lazima ulipe kodi ya kanisa kama wewe ni dhehebu husika. Hata kama kanisa likikusanya lenyewe hiyo kodi ni lazima ufanyike mchakato wa kuangalia kama umelipa kiasi kinachoendana na mapato yako. Hela hiyo ndiyo inakuja kubasua mabusha ya akina ustaadhi wetu. Badala ya kushukuru mnalalamika...

Article 137 of the Weimar Constitution of 1919 and article 140 of the German Basic Law of 1949 are the legal basis for this practice.
 
1. Hao unaowasema ufahamu wanao ila wana chuki dhini ya Ukristo na Wakristo. Mahubiri haya yanasikika kwenye mihadhara kadhaa jijini Dar es Salaam na baadhi yako recorded kwenye CDs.
2. Tatizo ni kwamba wakielewa wanadhani wataonekana wameshindwa hivyo wameamua kukomaa maana wanaona bila kufanya hivyo watachekwa kwamba wameshindwa hoja.
3. Ndiyo maana mara nyingi ikiletwa hoja moja ikionekana kama imeeleweka wanaibuka na nyingine, ikielekea kueleweka tu wanakuja na nyingine tena... Ni vigumu kumwelewesha mtu wa namna hii maana nia yake ni kuelewa bali kutafuta vipengele ambavyo anaweza kuvitumia kukushinda.
4. Kitu kibaya zaidi ni kutoona kwamba Mwalimu Nyerere aliwasaidia kwa kutaifisha shule na hospitali za mission otherwise wangekuwa nyuma sana.
5. Mimi bado najiuliza: hivi Waislamu wana shule na hospitali ngapi nchini au wananyimwa vibali vya umiliki?
 
We unaumwa kweli, tena unaumwa wazimu. Ni msaada gani OIC inatoa zaidi ya tende na nyama za kondoo wakati wa Eid-Alhaji?

Hebu kabla hujaongea utumbo zikague hizo nchi wanachama wa OIC halafu jiulize wana nini. Hivi Uganda na Mozambique wanasaidiwa nini na OIC? Kama una mipango ya kufanya ugaidi sawa, lkn kama ni Elimu, Afya na Maendeleo hiyo hamna. Idadi ya vyuo vikuu katika nchi zooote za OIC ukijumlisha pamoja ni sawa na vyuo vikuu vya India.

Yaani unataka kuniambia kuna sababu ya kuionea gere Somalia?! Poor you. Sisi wengine hatuli nyama za kondoo any way
 
umeielewa MoU au Dr. Slaa sehemu ya MoU imesema government shall provide financial assistance au macho yana matongotongo

1. Wewe ni bure kabisa hata ungeeleweshwa namna gani!
2. Hiyo MoU ni kwa ajili tu ya zile hospitali za misheni ambazo zinatoa huduma za afya kwa wananchi wote. Makubaliano ni kutaka huduma hizo ziwanufaishe wananchi wote na kwa gharama nafuu. Hivyo, serikali inachangia asilimia 50 na makanisha yaliyokwenye hiyo MoU asilimia 50. Hospitali kama hizi ni zile kubwa kama vile KCMC, Bugando nk na si zote.
3. Mfano, Mbagala Mission Hospital inahudumia wananchi wote na haiko kwenye huo utaratibu japo ni ya misheni.
4. Ndiyo maana wakati ule wa mgomo KCMC na Bugando walishiriki lakini si hospitali kama Mbagala Mission ambayo inamilikiwa na Kanisa kwa asilimia 100.
5. Hospitali ambazo ziko kwenye MoU - serikali na kanisa - vinachangia wataalamu na fedha.
6. Shule za Kanisa (seminari au vyuo vikuu vyake) haviko kwenye MoU - mfano, St Augustine (nisecular university) lakini haina ruzuku kutoka serikalini; Marian Secondary School ni secular lakini haipokei ruzuku kutoka serikalini.
7. Nashindwa hata nikueleweshe je maana hata pale kitu kinaeleweka unajifanya huelewi ili kutetea hoja yako.
 
Serikali itoe ufafanuzi juu ya hili,maji yameshafika shingoni,wenye kulipa kodi wameshang'amua.Ndio matokea ya kufanya mambo kwa sirisiri,sasa mmeona siri hazarani.Siku zote uwongo hauteteeki.Tutazunguka weeeee but tunabaki palepale huu mkata ni wa kifisadi.
 
Mimi labda sijaelewa Slaa anatolea ufafanuzi kama msemaji wa kanisa au kiongozi wa chadema.Babu mbona unatuchanganya uko upande upi

Kwani mtu kama anakijua kitu haruhusiwi kuelezea mpaka awepo kwenye chama au kanisa? Acha kuchanganya mambo bwana!
 
Kwa hiyo ni taasisi inayosaidia makanisa tz na si Serikali ya Ujerumani? Umechanganya haki na batili!

Ile kodi ya Kanisa Mkristo anaweza kutoilipia na wakati akifariki ni serikali ndio itamhudumia mazishi yake (sehemu ya (kuzikiwa) kupitia kodi yake anayolipia serikalini.

Ukiangalia declaration ya mwaka ya ulipaji wa kodi za nchi nyingine za Ulaya utaona inakuonyesha kuna asilimia ndogo ya kodi yako imekwenda kwenye mambo ya mazishi kama wewe si mwanachama wa Kanisa lolote au hutaki kulilipia Kanisa.
 
Hili shirika linapokea pesa toka serikali ya ujerumani kwa ajili ya kusaidia miradi ya maendeleo kupitia makanisa.

Hili shirika linapokea pesa toka serikali ya ujerumani kwa ajili ya kusaidia miradi ya maendeleo kupitia makanisa.

Kuna wachangiaji wengine wanaolichangia hili shirika yaani si Makanisa ya Ujerumani kupitia serikali yao peke yake... sijakosea?
 
dr kumbe unajua kubomoa ni sekunde na kujenga inachukua muda.
Mbona kila kukicha unahamasisha migomo na maandamano na kuhatarisha amani ya nchi yetu?
JE, UNAIJUA THAMANI YAKE?
.
 
Dr acha kufumba fumba watu macho kwa maneno yako kichwa cha mkataba kinatosha kubashiri nini hicho?kinahusu nini? Kwa nani na nani? Na kipi kilichopo ndani?
Hembu rudia kukisoma na dictionary pembeni.
 
Mkuu, ulipopokea takwimu hizo kwa upande wa taasisi za serikali hukujiuliza

1. Hospitali za serikali za mikoa ya Shinyanga, Mwanza, Mara, Kagera, Tabora, Dodoma, Kigoma, Morogoro, Iringa, Lindi, Pwani, Mtwara, Ruvuma, Singida, Arusha, n.k. ziliendeshwaje, maana hamna hesabu ya fedha zake hapo kwenye majedwali.

2. Hospitali za wilaya zinazomilikiwa na serikali nazo ziliendeshwaje?

Mtoa data ama amekosea, au alitaka kupotosha makusudi.
 
Kuna wachangiaji wengine wanaolichangia hili shirika yaani si Makanisa ya Ujerumani kupitia serikali yao peke yake... sijakosea?
Kuna kampeni ya kwaresima kila mwaka: MISEREOR - Lenten Campaign na kuna fedha toka serikalini.

Nisahihishe hapo: Wizara ya Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo ya Ujerumani, inatoa sehemu ya fedha zake za miradi ya maendeleo nchi zinazoendelea na kulipa shirika hili. Shirika hili la Misereor nalo linatoa misaada hiyo kupitia makanisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…