sasa hii memorandum naona imejikita zaidi katika provision of elimu na afya, sasa maafa yake kwa uislamu ni nini?
Ukiwasema wana wivu, na chuki ....watatukana hapa na kuondoa thread zako...wako humu wengi kweli utapata kila aina ya matusi subiri waje kutoka wanakotoka ??....nafikiri tuigawe nchi into two parts north (christians) and south muslims, ili kusiwe na blablah na unyonyaji na upendeleo wa kijinga hivi!!!
OIC na mahakama ya kadhi inawatoa roho itakuwa na MOU?mtasema kuwa wino wa serikali kwanini uwanufaishe waislamu? na mambo mengi.anyway tutafikaGame Theory,
..safi sana mkuu.
..sasa usiishie kulalamika tu.
..andika MOU kati ya serikali na Bakwata au Shura ya Maimamu ili Waislamu nao wafaidike.
.
OIC na mahakama ya kadhi inawatoa roho itakuwa na MOU?mtasema kuwa wino wa serikali kwanini uwanufaishe waislamu? na mambo mengi.anyway tutafika
Ndg utapoteza muda wako kuwahabarisha watu ambao tayari wapo biased..It has been stated vey clearly kuwa MoU ni kwa ajili ya kutoa huduma hizo za afya na elimu kwa waTz..sio wakristu peke yao..Hili ndilo la muhimu, lakini watu wengine kwa masilahi yao watai-spin hii ishu, ikionekana ndivyo sivyo wao ndo wanafurahia.
Na nani aliwaambia watu kuwa kwa serikali ya Tanzania kujiunga na OIC watanufaika waislamu peke yao???... Talk of double standards!
Imagine ingekuwa waislam wamesign huu mkataba wa siri...
Naona nchi ingegeuka juu chini
kwa sababu serikali ilikuwa inawapa wakiristo pesa,muhimu ni serikali iwafidie waislam pesa ilizowapa hawa wakrsito na kodi yao
maana huu ni usanii wa hali ya juu tena toka kwa kiongozi mkuu kama lowasa na sioni kwa nini waislam wasilipwe fidia.
Pamoja na yote hata hawa waksristo wakiongozwa na pengo wanapinga nchi kujiunga na oic kwa hoja eti watafaidika waislam wakati wao wanaikamua system wanavyotaka
ama kweli waislam wa tanzania wavumilivu
duh!
Ndg utapoteza muda wako kuwahabarisha watu ambao tayari wapo biased..It has been stated vey clearly kuwa MoU ni kwa ajili ya kutoa huduma hizo za afya na elimu kwa waTz..sio wakristu peke yao..Hili ndilo la muhimu, lakini watu wengine kwa masilahi yao watai-spin hii ishu, ikionekana ndivyo sivyo wao ndo wanafurahia.
Nimeisoma MoU
Ninahitaji kuelewa zaidi maelezo ya neno "shall" yalivyotumika katika Part Four (Obligations) katika Article XI, XII, na hasa XIII.............
Game Theory said:Imagine ingekuwa waislam wamesign huu mkataba wa siri...
Naona nchi ingegeuka juu chini
kwa sababu serikali ilikuwa inawapa wakiristo pesa,muhimu ni serikali iwafidie waislam pesa ilizowapa hawa wakrsito na kodi yao
maana huu ni usanii wa hali ya juu tena toka kwa kiongozi mkuu kama lowasa na sioni kwa nini waislam wasilipwe fidia.
Pamoja na yote hata hawa waksristo wakiongozwa na pengo wanapinga nchi kujiunga na oic kwa hoja eti watafaidika waislam wakati wao wanaikamua system wanavyotaka
ama kweli waislam wa tanzania wavumilivu
duh!
Nimeisoma MoU
Ninahitaji kuelewa zaidi maelezo ya neno "shall" yalivyotumika katika Part Four (Obligations) katika Article XI, XII, na hasa XIII.............
Alwatan said:Subiri spin za akina abdulhalim sasa... Half truths zitakapogeuzwa kuwa the whole truth, and nothing but the truth!
Sio tatizo kubwa ila waislamu nao wana yao sasa haiwezekani ikawa upande mmoja tu ,au hulioni hilo ?sasa hii memorandum naona imejikita zaidi katika provision of elimu na afya, sasa maafa yake kwa uislamu ni nini? kwamba hizo shule na hospitali na za wakristo pekee yake au? maana kama kule peramiho ile hospitali ni ya wote na inatoa huduma kuliko hospitali za serikali, ukienda Njombe utakuta hospitali za walutheri etc, na sasa hivi Pengo alikuwa anajenga shule Rufiji je hizi zote ni juhudi za kuwaonea Waislamu? Bagamoyo kuna shule ya Marion Girl's na kuna watoto wa wakubwa wengi tu wanasomo huko na ni waislamu, je aliye iweka au kuwaruhusu waislamu kusoma huko kafanya kosa? Nakuomba ndugu yangu pale penye kitu kizuri tukiseme kibaya tukiseme, tusije panda hii mbegu ya ubaguzi haito tupeleka kokote.
Kwa Mfano kuna watu wazuri tu na ni waislamu mimi nina waheshimu na kuwapenda kwa matendo yao eg Marehemu Prof Harub, kuna Prof Shivji, na kuna wakristu wabaya wabaya kweli kweli na mimi ninawapinga kwa matendo yao kama Raisi Mstaaafu BWM na wengineyo wenye matendo kama yake.