Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Ni kulekule kukosa pa kushikia sasa mnatapatapa.Mashirika yapo mengi na yalikuwa yanasaidia katika huduma hizi tangu tunapata uhuru. Hata mkipewa maelezo kutoka kwa hayo mashirika mtaanza kutafuta maswali mengine...ndivyo mlivyo...
Kweli usanii una mwisho wake!

Mara Serikali ya Ujerumani, mara serikali ya TZ ilikuwa ni observer tu, mara ni Shirika la MISEREOR (haliwezi kutoa idadi ya hayo mabilioni kila mwaka) , sasa mnasema kuwa ni mashirika mengi!

Je, unaweza kututajia hayo mashirika mengine?
 
Wengine watanisaidia kuongeza. Kwa wakatoliki yalikuwepo/na mengine bado yapo kama:Misereor, Maryknoll, Holy Ghost Fathers, kuna hawa the Benedictine Fathers ambao wamesaidia sana Mtwara tangu zama tunapata uhuru...
Maryknoll Africa - Mission in Tanzania
http://www.dailynews.co.tz/index.php/local-news/6881-kikwete-pledges-support-to-holy-ghost-fathers

Kwa ujumla ukielezwa kila kitu walichofanya/na wanachofanya haya mashirika kwenye jamii mbalimbali hapa Tanzania, utapata aibu kubwa sana.
Kama nilivyosema mwanzo. Shule shule shule...ukiwa na ka shule hata kadogo utakuwa na utashi wa kuchunguza mambo siyo kumeza tu kila kitu anachokuambia shehe wako. Akina Ustadhi Ilunga na Basaleh wote wanayajua haya ila wanawapumbaza na hadithi zao za kufikirika za Mfumo Kristo...
 
Kwa hiyo haya Mashirika ndiyo yaliyofunga mkataba wa MoU na Serikali ya Tanzania?

Soma upya maelezo ya Dr. Slaa upate kujua kilichopelekea MoU utajua ni kwanini hii MoU imesainiwa kati ya Makanisa ya hapa Tanzania na serikali ya Tanzania na siyo makanisa ya Tanzania na mashirika haya yanayotoa msaada au serikali na mashirika haya yanayotoa misaada. Jiulize ni kwanini haya mashirika wakati fulani yalikataa kutoa misaada. Jibu limo kwenye maelezo ya Dr. Slaa .
Vinginevyo sitaweza kukusaidia maana kama huelewi utakuwa umeamua mwenyewe tu kuwa mjinga. Kila kitu kipo wazi hata kwa mwenye mtindio wa ubongo kuweza kukielewa.
 

Sasa MoU na wewe tumuamini nani? Ndio maana hii issue inabidi ikaguliwe tujue ukweli. Uliona wapi fisadi akakubali ufisadi wake? Atakuja na logical reasoning na kufanya wegine wote hawajasoma na hawana akili! Endelea kuamini unavyoamini lakini fact kwangu ni kwamba huu ni ufisadi unless proven otherwise with supporting details sio blaa blaa zako.
 


Ndugu yangu Moshdar, ni kweli waislamu wanaujua ukweli ila tu tamaa, ubinafsi na kutaka kuleta udini ktk nchi hii ndo vinawasukuma kuwachochea vijana ambao hawajui hata hiyo MOU ilikujaje licha ya ukweli kuwekwa bayana. Lakini hawa ni wa kusamehewa tu maana hawajui walitendalo. Kisasi ni juu yake Bwana; kwa hiyo kisasi tumwachie yeye aliyezifanya mbingu na nchi.[/QUOTE]

Mkuu Mpenda.Haki, kati ya mafundisho ya wakristu ambayo nayaheshimu ni hili la kutolipiza ubaya kwa baya. kwamba ukipigwa shavu moja mgeuzie na la kushoto,kwamba mtu akikunyanganya shati moja mwachie achukue na la pili; hilo nalikubali mkuu na kwa hakika nimewaona wakristu wakionesesha hilo kwa vitendo kwa siku hizi. uoga wangu mkuu ni kuwa huu upole wa wakristu utakuja ku-fire back on to them. dallili zinaonesha kuna siku wakristu wataamka na watakachokutana nacho ni majambia yanaungukia juu ya shingo zao. itakuwa too late. ni heri kushtuana na kuandaana mapema. kama huniamini jifanye mwislamu siku moja moja za ijumaa ingia misikitini na sikiliza mahubiri yao, utakuja kuniambia. mimi nimeshaingia humo mara nne na niliyoyaskia ndo yalinifanya kwanza niwe atheist lakini pia na mimi ninunue kabisa jambia langu tiyar kwa mapambano. nikajisemea potelea mbali, Siwezi kufa kibudu mimi, if I must die let me nobly die mkuu
 

Mkuu Sweke 34, sina neno na maono yako ila kama utakubal hapo red tuwe na mtizamo tofauti kidogo. Kuwa kama mtu hana uwezo kabisa wa kutafuta elimu basi ajitahidi aipate hata hiyo kidogo. Lakini kimsingi lengo liwe ni kupata elimu kubwa kwa kadri inavyowezakana. Unajua little knowlegde is sometimes very dangerous than no knowledge at all.
 
Point taken...
 

1. Asante kwa mchango wako mzuri sana.
2. Mimi nimekuwa nikiuliza hivi: walioeneza dini ya Kiislamu Zanzibar na Tanganyika, 1) walijenga shule ngapi? 2) walijenga hospitali ngapi? Ili iwe rahisi kujibu, nikataka npewe shule 2 na hospitali 2 tu mfano: atakayejibu aseme shule fulani na hospitali fulani Zanzibar na pia aseme shule fulani na hospitali fulani Tanganyika. Hadi muda huu sijapata jibu lake.
 

Illusion ndiyo unayoiita ufisadi? Hata hiyo logical reasoning unajua ni nini? Kama unajua basi kwa vile wewe ndiye unayeuona huo ufisadi mbona hujaprove na unataka mtu ambaye hajauona ndiye approve? Ndiyo logical reasoning hiyo? Oh, my God! Umejifunzia wapi logic wewe?
 

Hatushindani kusoma kaka, kama unajua zaidi ya wengine tumia elimu yako kunufaisha familia yako na taifa lako.

Nilishaandika vya kutosha kuhusu hili na sipendi kurudia tena. Kaa na imani yako juu ya MoU na mimi nikae na ya kwangu.

Fisadi hawezi kukiri ufisadi wake.
 

Of course, ili kuewa vizuri unahitaji kuwa na open mind. Kujadili mambo wakati una closed mind haikusaidii. Waislamu wengi (kwa maana ya wale wanaotoa mihadhara na kulalamika) wako prejudiced towards Wakristo na hivyo haiwezekani wakasema kitu positive. Si tunasikia mahubiri kila siku huko mitaani? Imagine mtu anapoteza muda wake kuwasema Wakristo vibaya kwenye mihadhara na wakati huohuo Mkristo anachakalika kutafuta kazi na shule nzuri ili ampeleke mtoto wake akisoma. Ikitokea amefanikiwa kuapata kazi na mtoto wake kupata shule yuleyule aliyepoteza muda wake kwenye mhadhara anaanza kulalamika tena kwamba ananyimwa fursa za kusoma na ajira. What nosense!
 
Kama huu uchochezi ndiyo zingekuwa huduma za jamii, basi Tanzania tungekuwa tumeshafanikiwa kuutokomeza ukimwi.

Nimesikiliza mahubiri yake nimesikitika sana! Nimeona kama hana akili kabisa au kama ana akili na anahubiri dini basi hiyo dini ya ajabu sana. Anasema eti shekh anapouawa kama yule mwanaharakati aliyeuliwa Mombasa anawaambia "nanyi tafuteni shekh, padre au kardinali ua... hata kwa kujificha." Anasema "Uislamu unafundisha kisasi na ndiyo uhai wa Waislamu". Kwa kweli haya mahubiri hayatoki kwa Mungu! I can't believe God can inspire anybody to say what this guy says.
 
Uislamu unafundisha kisasi na ndiyo uhai wa Waislamu...
 
Nafikiri ahali yangu ujaelewa nimekusudia nini. Mimi nimebainisha kwa kina kabisa kile alichoeleza Dr Slaa kwa upande wake. Suala la msingi kwa Dr Mwenzangu hapo JE SABABU WALIZOTOA KWA SERIKAI YENU mpaka kufanikisha hiyo MoU zipo valid mpaka leo? Kumbuka kuwa kila karne na Zama zake. Na waarabu tunasema every reason has its season. Kumbuka kuwa wakti wa Nyerere na Azimio la Arusha kutaifisha na kudhulumu mali za taasisi na wananchi kuzigeuza za umma ilikuwa sahihi. Wakti wa Mou 1991 sababu za kurejeshewa mali zilizodhulumiwa na kutaifishwa na Serikali hususan maskuli na mahospital OK. Je wakti huu kuendelea na hiyo MoU ni sahihi? hapo ndipo utajiona unakwenda na kasi ya wakti katika kubaini mambo. Kuhusu suala la waarabu na skuli na majumba yao. Nitakupa moja habib Punja ilala school ( siku hizi inaitwa Ilala primary sch ipo mtaa Arusha kama sijakosea. Na skuli ya AZANIA SEC. na nyingine nyingi tu. Lakin kwa upande wa Znz ni karibu zote. Na kwa taarifa yako mpaka mwaka 1964, Zanzibar ilikuwa na wasomi wengi sana ukilinganisha na Tanganyika kwa kigezo cha urari (ratio) idadi ya raia wa nchi hizo mbili huru. nami naomba nikuulize. Je unajua makanisa yenu yanachukua kiasi gani kwa mwaka kutokana na hiyo MoU?
 
Kama huu uchochezi ndiyo zingekuwa huduma za jamii, basi Tanzania tungekuwa tumeshafanikiwa kuutokomeza ukimwi.

kwa sisi wana wa afrika huu ndo urith wa dini aliotuachia mkoloni mzungu na mwarabu. ni urithi wa Mungu Mmoja mwema sana na anayeponya roho zetu ili twende mbinguni.....poor africans!!!
 
kwa sisi wana wa afrika huu ndo urith wa dini aliotuachia mkoloni mzungu na mwarabu. ni urithi wa Mungu Mmoja mwema sana na anayeponya roho zetu ili twende mbinguni.....poor africans!!!
Unakumbuka ulichokisema kuhusu kupigwa kofi shavu moja na kumpa shavu jingine apige kofi...kitu unachokipenda kwa wakristu lakini ukatoa tahadhari kuhusu majambia? Basi ndugu yangu ndiyo hivyo, upande mmoja umerithi uvumilivu,wema nk na upande mwingine umerithi fujo,vita , visasi nk kama unavyoona kwenye video clip. Wote tungekuwa tunapenda visasi hii nchi tungekuwa tumeshachinjana kanisa la kwanza tu lilipochomwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…