Nafikiri ahali yangu ujaelewa nimekusudia nini. Mimi nimebainisha kwa kina kabisa kile alichoeleza Dr Slaa kwa upande wake. Suala la msingi kwa Dr Mwenzangu hapo JE SABABU WALIZOTOA KWA SERIKAI YENU mpaka kufanikisha hiyo MoU zipo valid mpaka leo? Kumbuka kuwa kila karne na Zama zake. Na waarabu tunasema every reason has its season. Kumbuka kuwa wakti wa Nyerere na Azimio la Arusha kutaifisha na kudhulumu mali za taasisi na wananchi kuzigeuza za umma ilikuwa sahihi. Wakti wa Mou 1991 sababu za kurejeshewa mali zilizodhulumiwa na kutaifishwa na Serikali hususan maskuli na mahospital OK. Je wakti huu kuendelea na hiyo MoU ni sahihi? hapo ndipo utajiona unakwenda na kasi ya wakti katika kubaini mambo. Kuhusu suala la waarabu na skuli na majumba yao. Nitakupa moja habib Punja ilala school ( siku hizi inaitwa Ilala primary sch ipo mtaa Arusha kama sijakosea. Na skuli ya AZANIA SEC. na nyingine nyingi tu. Lakin kwa upande wa Znz ni karibu zote. Na kwa taarifa yako mpaka mwaka 1964, Zanzibar ilikuwa na wasomi wengi sana ukilinganisha na Tanganyika kwa kigezo cha urari (ratio) idadi ya raia wa nchi hizo mbili huru. nami naomba nikuulize. Je unajua makanisa yenu yanachukua kiasi gani kwa mwaka kutokana na hiyo MoU?
Mkuu barubaru hapo kwenye red, hili swali lako ni sahihi lakini tatizo unalielekeza kwa mtu siye sahihi. hili swali linamhusu Jakaya Mrisho kIKWETE na serikali yake ya chama tawala CCM. SERA ZAO NDIZO ZINAZOTEKELEZWA nchini sasa hivi, siyo sera za Sweke 34 na wala siyo za Slaa, ni za kiwete na kwa bahati nzuri Kikwete ni atheist wa kiarabu mwenzako. Sasa nikuulize, ulishawahi kwenda kumuuliza kIKWETE hilo swali?